Dkt. Ananilea Nkya: IGP kusema Rais atapinduliwa ni kutweza utu wa Rais, kuonesha jeshi limeshindwa kumlinda

Mm mwenyewe nilimshangaa sana mtu mkubwa kama IGP analeta taharuki eti Kuna watu wanataka kuoindua serikali!! Jeshi la polisi linazidi kujidhalilisha
 
Hao mabwana wa huko ulaya unaowayukana ndio wanao kuweka wewe hai kuanzia dawa unazotumia mpaka nguo unazovaa na technology unayotumia sasa kuwatukana ni yao kwa hiyo acha upumbavu utakapo jitegemea kwa chochote hata elimu ndio uanze kuwatukana
 
Kauli ndicho chanzo cha kila kitu, kauli kama hii haiwezi kupuuzwa,ukizingatia Dr mihogo sio,verified madman.
Angelikuwa verified madman hata jeshi letu lisingeshughulika naye!.
Huyu Dr A.Nkya, hajui afanyalo!..wala anachozungumza!
Acheni uoga na kuhamisha goli mnaonekana mmefeli sana
 
Huyu nadhani yeye ndio angeanza kutumia akili, hao anaowasema hawajakamatwa kwasababu ya kupinga mkataba ANAPOTOSHA, Hao wamekamatwa kwa maneno yenye kushawishi Mapinduzi katika Nchi.

Labda tuwaulize Mtu akipinga Mkataba akifanya kosa hapaswi kukamatwa? Wale washughulikiwe vzuri.
 
Huyu mama anazungumz amaneno ya Point angelifaa kuwa IGP Wa Tanzania Kwanini Rais Wetu hawachaguwi watu wenye akili ya uongozi kama huyu mama? Hongera sana huyu mama Kwa maneno yake. Sijaona Mwanamke waKi-Tanzania akizungumza kwasuhajaana ushupavu pasipo na kuogopa kama huyu mama .
 
Kama video inavyosema hapa chini.

Wasaidizi wengi wa Raisi wanaonekana ni ndiyo mzee. Hawana uzalendo hata kiduchu kwa taifa.

Hatua nyingi wanazochukia zinampunguzia credit Raisi kwa wananchi na kudhalilisha Taifa.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…