Benk Huwa zinauzaje nyumba za watu?Wanauzaje bandari?
Huwa ni Mikataba kushindwa kutekelezrka
Hivyo hivyo nabandari itakuwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Benk Huwa zinauzaje nyumba za watu?Wanauzaje bandari?
Mm mwenyewe nilimshangaa sana mtu mkubwa kama IGP analeta taharuki eti Kuna watu wanataka kuoindua serikali!! Jeshi la polisi linazidi kujidhalilishaIpo script inazunguka mitandaoni inayojaribu kuonyesha waliokamatwa hawana tuhuma zenye kuhatarisha usalama wa serekali yetu.
Nimeshindwa kuwaelewa zaidi pale wanapoona mtu / watu wanakamatwa kwa kauli zenye utata na hatari kwa taifa letu, Wao kazi yao huwa ni kukemea vikali waachiwe huru.
-Huku wakisahau kwamba walipaswa kuwakemea na kuona ya kwamba lugha walizokuwa wakizitumia hao wanaowatetea hazikuwa sahihi na zilikuwa za kutweza.
Kudhalilisha na kufedhehesha,kwao hilo hawakuliona kabisa, I doubt hizi taasisi si za kutenda haki na kutetea UTU, kwa usawa kama vile zinavyojibinafsi kuwa ni za HAKI.
========
Katika hali ya kawaida, mazingira ya kawaida kabisa, popote duniani raia wa kawaida, hawezi kufanya uhaini. Mtu anayeweza kufanya uhaini ni mtu ambaye ana connectiona na mfumo wa serikali, jeshi au yuko ndani serikalini na ana connection ya jeshi la kuweza kufanya ivyo ili kumfikia rais.
Hao mabwana wa huko ulaya unaowayukana ndio wanao kuweka wewe hai kuanzia dawa unazotumia mpaka nguo unazovaa na technology unayotumia sasa kuwatukana ni yao kwa hiyo acha upumbavu utakapo jitegemea kwa chochote hata elimu ndio uanze kuwatukananawe hata hueleweki unaandika nini, hao mafeminist waganga njaa tu wanawatumikia mabwana zao walioko Ulaya, waache serikali kupitia vyombo vyake vya ulinzi na usalama ifanye kazi yake. Wazalendo unaotaka nchi yetu iendelee kuwa na amani tumesikia wale wapuuzi lugha walizokuwa wanatumia, ni za kichochezi, za kujenga chuki, kuigawa nchi na za kihaini. Walikuwa wameweka wazi kabisa wataondoa serikali kabla ya 2025 kwa maandmano yasiyo na kikomo. Hao Kina Ananilea Nkya na Anna Henga ni wapuuzi tu wanaojali matumbo yao, nchi hii ikihaibika hutawasikia popote zaidi pengine ya kukimbilia huko kwa mabwana zao wanaowafadhili. Wapuuzwe hao wapuuzi.
Karma is dish best served coldNimekupa angalizo halisi ya kazi ya karma ni nini 'is a revolving dude that hits anybody at any time for the purpose without want'
Acheni uoga na kuhamisha goli mnaonekana mmefeli sanaKauli ndicho chanzo cha kila kitu, kauli kama hii haiwezi kupuuzwa,ukizingatia Dr mihogo sio,verified madman.
Angelikuwa verified madman hata jeshi letu lisingeshughulika naye!.
Huyu Dr A.Nkya, hajui afanyalo!..wala anachozungumza!
Huyu mama anazungumz amaneno ya Point angelifaa kuwa IGP Wa Tanzania Kwanini Rais Wetu hawachaguwi watu wenye akili ya uongozi kama huyu mama? Hongera sana huyu mama Kwa maneno yake. Sijaona Mwanamke waKi-Tanzania akizungumza kwasuhajaana ushupavu pasipo na kuogopa kama huyu mama .Ipo script inazunguka mitandaoni inayojaribu kuonyesha waliokamatwa hawana tuhuma zenye kuhatarisha usalama wa serekali yetu.