Dkt. Ananilea Nkya: IGP kusema Rais atapinduliwa ni kutweza utu wa Rais, kuonesha jeshi limeshindwa kumlinda

Dkt. Ananilea Nkya: IGP kusema Rais atapinduliwa ni kutweza utu wa Rais, kuonesha jeshi limeshindwa kumlinda

Ipo script inazunguka mitandaoni inayojaribu kuonyesha waliokamatwa hawana tuhuma zenye kuhatarisha usalama wa serekali yetu.

Nimeshindwa kuwaelewa zaidi pale wanapoona mtu / watu wanakamatwa kwa kauli zenye utata na hatari kwa taifa letu, Wao kazi yao huwa ni kukemea vikali waachiwe huru.

-Huku wakisahau kwamba walipaswa kuwakemea na kuona ya kwamba lugha walizokuwa wakizitumia hao wanaowatetea hazikuwa sahihi na zilikuwa za kutweza.

Kudhalilisha na kufedhehesha,kwao hilo hawakuliona kabisa, I doubt hizi taasisi si za kutenda haki na kutetea UTU, kwa usawa kama vile zinavyojibinafsi kuwa ni za HAKI.

========

Katika hali ya kawaida, mazingira ya kawaida kabisa, popote duniani raia wa kawaida, hawezi kufanya uhaini. Mtu anayeweza kufanya uhaini ni mtu ambaye ana connectiona na mfumo wa serikali, jeshi au yuko ndani serikalini na ana connection ya jeshi la kuweza kufanya ivyo ili kumfikia rais.
Mm mwenyewe nilimshangaa sana mtu mkubwa kama IGP analeta taharuki eti Kuna watu wanataka kuoindua serikali!! Jeshi la polisi linazidi kujidhalilisha
 
nawe hata hueleweki unaandika nini, hao mafeminist waganga njaa tu wanawatumikia mabwana zao walioko Ulaya, waache serikali kupitia vyombo vyake vya ulinzi na usalama ifanye kazi yake. Wazalendo unaotaka nchi yetu iendelee kuwa na amani tumesikia wale wapuuzi lugha walizokuwa wanatumia, ni za kichochezi, za kujenga chuki, kuigawa nchi na za kihaini. Walikuwa wameweka wazi kabisa wataondoa serikali kabla ya 2025 kwa maandmano yasiyo na kikomo. Hao Kina Ananilea Nkya na Anna Henga ni wapuuzi tu wanaojali matumbo yao, nchi hii ikihaibika hutawasikia popote zaidi pengine ya kukimbilia huko kwa mabwana zao wanaowafadhili. Wapuuzwe hao wapuuzi.
Hao mabwana wa huko ulaya unaowayukana ndio wanao kuweka wewe hai kuanzia dawa unazotumia mpaka nguo unazovaa na technology unayotumia sasa kuwatukana ni yao kwa hiyo acha upumbavu utakapo jitegemea kwa chochote hata elimu ndio uanze kuwatukana
 
Kauli ndicho chanzo cha kila kitu, kauli kama hii haiwezi kupuuzwa,ukizingatia Dr mihogo sio,verified madman.
Angelikuwa verified madman hata jeshi letu lisingeshughulika naye!.
Huyu Dr A.Nkya, hajui afanyalo!..wala anachozungumza!
Acheni uoga na kuhamisha goli mnaonekana mmefeli sana
 
Huyu nadhani yeye ndio angeanza kutumia akili, hao anaowasema hawajakamatwa kwasababu ya kupinga mkataba ANAPOTOSHA, Hao wamekamatwa kwa maneno yenye kushawishi Mapinduzi katika Nchi.

Labda tuwaulize Mtu akipinga Mkataba akifanya kosa hapaswi kukamatwa? Wale washughulikiwe vzuri.
 
Ipo script inazunguka mitandaoni inayojaribu kuonyesha waliokamatwa hawana tuhuma zenye kuhatarisha usalama wa serekali yetu.

Nimeshindwa kuwaelewa zaidi pale wanapoona mtu / watu wanakamatwa kwa kauli zenye utata na hatari kwa taifa letu, Wao kazi yao huwa ni kukemea vikali waachiwe huru.

-Huku wakisahau kwamba walipaswa kuwakemea na kuona ya kwamba lugha walizokuwa wakizitumia hao wanaowatetea hazikuwa sahihi na zilikuwa za kutweza.

Kudhalilisha na kufedhehesha,kwao hilo hawakuliona kabisa, I doubt hizi taasisi si za kutenda haki na kutetea UTU, kwa usawa kama vile zinavyojibinafsi kuwa ni za HAKI.

========

Katika hali ya kawaida, mazingira ya kawaida kabisa, popote duniani raia wa kawaida, hawezi kufanya uhaini. Mtu anayeweza kufanya uhaini ni mtu ambaye ana connectiona na mfumo wa serikali, jeshi au yuko ndani serikalini na ana connection ya jeshi la kuweza kufanya ivyo ili kumfikia rais.
Huyu mama anazungumz amaneno ya Point angelifaa kuwa IGP Wa Tanzania Kwanini Rais Wetu hawachaguwi watu wenye akili ya uongozi kama huyu mama? Hongera sana huyu mama Kwa maneno yake. Sijaona Mwanamke waKi-Tanzania akizungumza kwasuhajaana ushupavu pasipo na kuogopa kama huyu mama .
 
Kama video inavyosema hapa chini.

Wasaidizi wengi wa Raisi wanaonekana ni ndiyo mzee. Hawana uzalendo hata kiduchu kwa taifa.

Hatua nyingi wanazochukia zinampunguzia credit Raisi kwa wananchi na kudhalilisha Taifa.
 
Back
Top Bottom