RockCarnegie
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 963
- 1,927
Hizo sheria za kodi nani anazirekebisha na kuondoa urasimu!!?Siwezi kumfaidisha mwanasiasa. Wala hanigawii mshahara wake. Hata bunge lingefutwa tu halina faida.
Mimi nataka turekebishe mifumo ya kodi na kupunguza urasimu wa biashara nchini.
Tumeipenda wenyewe...chaguo letu milele...acha waisome namba...ccm mbele kwa mbeleAkili za CCM hizi! Hakuna mwana CCM anayeitaka tume huru!Maana mnajua hampedwi na hamuzi kushinda uchaguzi chini ya tume huru
Tope tope
Ww bora tukubadilishe na matakoAkili za kijinga kama hizi, bado zipo mtaani zinafanya nini? si bora tukubadirishe na gunia la mahindi.
Ww bora tukubadilishe na nguruweAkili za kijinga kama hizi, bado zipo mtaani zinafanya nini? si bora tukubadirishe na gunia la mahindi.
Nyie vyama vya upinzani unganeni muwe na msimamo, mjenge hoja ya kushawishi watu tususie uchaguzi kama hakutakuwepo na tume huru.
Tamaa na ubinafsi wekeni pembeni..kwa pamoja tuirudishe demokrasia.
Mbowe ni form 6 failure anayejua tu kuuza maneno, hana tofauti na Steve Nyerere kichwani. Katiba ya nchi haibadilishwi kwa dharura wala kwa matakwa ya kikundi cha manyumbu au beberu.
Umekaririshwa na mh. PolepoleMbowe ni form 6 failure anayejua tu kuuza maneno, hana tofauti na Steve Nyerere kichwani. Katiba ya nchi haibadilishwi kwa dharura wala kwa matakwa ya kikundi cha manyumbu au beberu.
Dr. Shika ana degree 4 na analala kwenye vituo vya mabasi. Wewe una kiwango gani cha elimu na elimu yako imekusaidia nini na imesaidia nini Taifa hili. Wewe ni kahaba tu umekaririshwa maneno ya kisenge hapa na akina Chakubanga.Mbowe ni form 6 failure anayejua tu kuuza maneno, hana tofauti na Steve Nyerere kichwani. Katiba ya nchi haibadilishwi kwa dharura wala kwa matakwa ya kikundi cha manyumbu au beberu.