Ajivue uwenyekiti basi kama hawezi kuwaunganisha wafuasi wake kudai mabadiliko ya kifungu cha katiba kinachohusika na uundwaji wa tume huru. Sio rahisi mtu mmoja kudai katiba nje ya chama kilichosajiliwa kisheriaMbowe kaamua kudai tume huru ya uchaguzi, ww dai katiba mpya. Wapinzani walipokaa kimya ww mbona hukudai katiba mpya?
Walidanganywa na CUF wakajisahau.Wapinzani wa nchi hii wanachekesha sana JK aliwapa chansi ya kutengeneza katiba mpya wakaichezea na wakasua wakatoka nje
Na cha kushangaza kilichowafanya wasusie bunge sio kipengele cha katiba mpya ila ni kipengele cha muundo wa serikali 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikubali kuniachia uwenyekiti wa CHADEMA utauona moto wangu mkuu. Ukiitaka pepo sharti upate misukosuko. Viongozi wetu wana mali nyingi mno zinazohitaji huruma na ulinzi wa serikali.Kwa hiyo Katiba mpya Ni ya Mbowe wewe mleta Uzi haikuhusu?
Jibu kwa hojakilaza ktk ubora wake
Mbowe kaamua kudai tume huru ya uchaguzi, ww dai katiba mpya. Wapinzani walipokaa kimya ww mbona hukudai katiba mpya?
Atumie peeepoooz pawa kujadilianaIlishaelezwa kuwa katiba sio kipaumbele kwa sasa. Sasa atadaije katiba mpya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kabisa! Hawa wanaojiita wapinzani ni tatizo. Pia linaanzia kwenye mikogo isiyo na maana. Sasa hivi CHADEMA haioni kama kuna vyama vingine vya upinzani. Wanaomba maridhiano wao tu badala ya kuwashirikisha wapinzani wote. wanafahamu kabisa kwamba siasa za TZ ni pamoja na Zanzibar, huko hawana kiti hata kimoja. Kifuatacho, kambi kuu upinzani itahamia chama kingine wao pia wanasahaulika.Ni vigumu sana na fujo kwa wapinzani kudai tume huru ya uchaguzi wakati uundwaji wa tume ya uchaguzi na kazi zake vyote vipo kwa mujibu wa katiba yetu ya sasa.
Ni makosa kuunda tume ya uchaguzi iliyo kinyume na vile Katiba inavyoagiza. Miaka 4 sasa baada ya uchaguzi wapinzani walikuwa kimya kwa visingizio wanavyovijua wao bila kujadili tatizo mama la chaguzi zetu ambalo ni katiba.
Dakika za lala salama kuelekea uchaguzi mwingine ndiyo wanakurupuka na kumdai Waziri Mkuu tume huru ya Uchaguzi. Ndiyo maana na Waziri Mkuu hakupata tabu ya kumjibu Mbowe kuwa katiba iliyopo ni kwa mujibu wa Katiba yetu.
Tunaomba wapinzani msitafute mchawi kaeni kimya kuhusu tume huru.
Muungano wa vyama vya upinzani unaundwa wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi ili kuwarahisishia kuingia bungeni kwa maslahi yao na familia zao lakini sio kwa wanachama wao na taifa. Tulitarajia vyama vyote viungane mapema kudai katiba mpya inayozaa tume huru ya uchaguzi. Tumewagundua na tunawamulika janjajanja yaoUko sahihi kabisa! Hawa wanaojiita wapinzani ni tatizo. Pia linaanzia kwenye mikogo isiyo na maana. Sasa hivi CHADEMA haioni kama kuna vyama vingine vya upinzani. Wanaomba maridhiano wao tu badala ya kuwashirikisha wapinzani wote. wanafahamu kabisa kwamba siasa za TZ ni pamoja na Zanzibar, huko hawana kiti hata kimoja. Kifuatacho, kambi kuu upinzani itahamia chama kingine wao pia wanasahaulika.
Sasa wanadai tume. kuna mtu hapa aliwaomba waunde tume ya CHADEMA tu halafu waone shida ya katiba. Wamesahau DCs na RCs wote ni makada wa CCM. Hawakumbuki kuwa DCs na RCs ni weneyeviti wa ulinzi usalama wilayani na mikoani na polisi wako chini yao. Utashinda kwa tume wakati unategemea ulinzi wa mtu mwingine?
Wamekalia umbea ulaya na US badala ya kueleza mambo ya msingi.
Wewe una wazimu au ndio jana umekuja ktk nchi hii?? Tadea, Tlp, Udp, Cuf ndio waungane navyo au unamaanisha vyama gani.Muungano wa vyama vya upinzani unaundwa wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi ili kuwarahisishia kuingia bungeni kwa maslahi yao na familia zao lakini sio kwa wanachama wao na taifa. Tulitarajia vyama vyote viungane mapema kudai katiba mpya inayozaa tume huru ya uchaguzi. Tumewagundua na tunawamulika janjajanja yao
Acheni ungeseNi vigumu sana na fujo kwa wapinzani kudai tume huru ya uchaguzi wakati uundwaji wa tume ya uchaguzi na kazi zake vyote vipo kwa mujibu wa katiba yetu ya sasa.
Ni makosa kuunda tume ya uchaguzi iliyo kinyume na vile Katiba inavyoagiza. Miaka 4 sasa baada ya uchaguzi wapinzani walikuwa kimya kwa visingizio wanavyovijua wao bila kujadili tatizo mama la chaguzi zetu ambalo ni katiba.
Dakika za lala salama kuelekea uchaguzi mwingine ndiyo wanakurupuka na kumdai Waziri Mkuu tume huru ya Uchaguzi. Ndiyo maana na Waziri Mkuu hakupata tabu ya kumjibu Mbowe kuwa katiba iliyopo ni kwa mujibu wa Katiba yetu.
Tunaomba wapinzani msitafute mchawi kaeni kimya kuhusu tume huru.
Hii miradi ni yetu wote sio ya Magufuli rekebisha hapo. Shida kubwa viongozi wetu wa upinzani wako pale kama ajira yao na sio kuwasaidia watanzania wenye maoni mbadala. Hivyo wengi wao wanaogopa mali zao kupoteaKenya walipofarakana 2007/08, mazingira ya wakati huo yalipelekea katiba kuwekwa kando na kutafutwa ufumbuzi wa kisiasa (Political Solution).
Kuna wakati mazingira yanaweza yakalazimu itafutwe namna nyingine kwa maslahi ya nchi pale inapoonekana ufumbuzi wa haraka hauwezi kuletwa na katiba iliyopo ambayo pia utakuta mapungufu yake ndio chanzo cha tatizo.
Hapo ndipo inapoonekana jinsi ilivyo vigumu kwa mchawi wako kukuponya.
Anyway, kuna uwezekano mdogo sana kwa hii serikali kuridhia marekebisho ya katiba ili mazingira ya uchaguzi yawe mazuri kwa wadau wote ila likitokea hilo la kukomaa, uwezekano wa hii nchi kutengwa na wadau wa maendeleo ni mkubwa mno hali itakayomuweka Bw. Magufuli ktk wakati mgumu sana tu kwenye awamu yake ya mwisho na miradi yake yoote anayotambia itabaki mahame tu na sielewi itatangazwa kuwa "Heritage Sites". Time will tell.
Hivi kukiwa na Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ndio Chadema itajenga Ofisi Kuu za Chama? Naomba kuongeza sauti kama hamjasikia hapo Ufipa!Ni vigumu sana na fujo kwa wapinzani kudai tume huru ya uchaguzi wakati uundwaji wa tume ya uchaguzi na kazi zake vyote vipo kwa mujibu wa katiba yetu ya sasa.
Ni makosa kuunda tume ya uchaguzi iliyo kinyume na vile Katiba inavyoagiza. Miaka 4 sasa baada ya uchaguzi wapinzani walikuwa kimya kwa visingizio wanavyovijua wao bila kujadili tatizo mama la chaguzi zetu ambalo ni katiba.
Dakika za lala salama kuelekea uchaguzi mwingine ndiyo wanakurupuka na kumdai Waziri Mkuu tume huru ya Uchaguzi. Ndiyo maana na Waziri Mkuu hakupata tabu ya kumjibu Mbowe kuwa katiba iliyopo ni kwa mujibu wa Katiba yetu.
Tunaomba wapinzani msitafute mchawi kaeni kimya kuhusu tume huru.
Usisahau kuwa CHADEMA ni chama cha siasa cha upinzani sawa na Democratic, Labour , ODM, etc. Kazi kubwa ya chama cha upinzani ni kuwashawishi na kuwaunganisha wooote wenye maoni tofauti dhidi ya kinachofanywa sasa na anayetawala kwa njia za kidemokrasia na kisheriaAcheni ungese
yaani nyie watz mmeridhika na hali zenu halafu mnategemea Mbowe aje awasemee nyambavuuuuu
Wewe una mkono wa suweta nn?Wewe una wazimu au ndio jana umekuja ktk nchi hii?? Tadea, Tlp, Udp, Cuf ndio waungane navyo au unamaanisha vyama gani. Kazi ya chama kinachounda kambi ya upinzani bungeni ninini? Kazi ya mwenyekiti wa chama cha upinzani ni nini? Kazi ya chama cha upinzani ni nini? Hata Nyerere, Kenyatta, Mandela, nk pia walikuwa viongozi wa vyama vya upinzani, kwani walifanyaje kazi zao?
Come of age please.
Sijasahau mkuuUsisahau kuwa CHADEMA ni chama cha siasa cha upinzani sawa na Democratic, Labour , ODM, etc. Kazi kubwa ya chama cha upinzani ni kuwashawishi na kuwaunganisha wooote wenye maoni tofauti dhidi ya kinachofanywa sasa na anayetawala kwa njia za kidemokrasia na kisheria
Wewe Acha Hizoo bana,Unaujua Mchakato wa Katiba Ulivyo Mrefu?Ni vigumu sana na fujo kwa wapinzani kudai tume huru ya uchaguzi wakati uundwaji wa tume ya uchaguzi na kazi zake vyote vipo kwa mujibu wa katiba yetu ya sasa.
Ni makosa kuunda tume ya uchaguzi iliyo kinyume na vile Katiba inavyoagiza. Miaka 4 sasa baada ya uchaguzi wapinzani walikuwa kimya kwa visingizio wanavyovijua wao bila kujadili tatizo mama la chaguzi zetu ambalo ni katiba.
Dakika za lala salama kuelekea uchaguzi mwingine ndiyo wanakurupuka na kumdai Waziri Mkuu tume huru ya Uchaguzi. Ndiyo maana na Waziri Mkuu hakupata tabu ya kumjibu Mbowe kuwa katiba iliyopo ni kwa mujibu wa Katiba yetu.
Tunaomba wapinzani msitafute mchawi kaeni kimya kuhusu tume huru.
Mkuu Kula Like,like like Tena Ikiwezekana Mtag mtoa mada ili aje akujibu hapa,isijekuwa katumwa ili ampotoshe mbowe na waTZ wapoteze muda
Hapana mkuu hawajapata tu kiongozi shupavu mwenye sera mbadala wa kuunganisha fikra na nguvu zao. Viongozi wako kifamilia na kikanda zaidi kuliko kitaifa. Uongozi uko ki ajira zaidi kuliko kitumishi na kihuduma. Viongozi wa vyama ni wakwepa kodi pia, hivyo wanakosa ujasiri wa kupoint finga kwa mtawalaSijasahau mkuu
Ila watz wapo dormant sana katika kupigana haki zao za kiraia