Akili za kijinga kama hizi, bado zipo mtaani zinafanya nini? si bora tukubadirishe na gunia la mahindi.Labda familia yake ndio iseme maana ndio wanaofaidika na huo uchaguzi wake hasa ndani ya cdm lakini katika ngazi Taifa sisi tume huru ipi wakati miaka yote uchaguzi huru na wa haki na.pia Rais Magufuli anatosba hakuna haja ya uchaguzi tena wala nn
Hatususi uchaguzi, hata kama tume haitakuwa huru tutashiriki. Ila uhakika ni kwamba watawala watatuomba tusitishe mikakati yetu na hapo hatutakuwa na muda wa kuwasikiliza. Wakati ni sasa kila Mtanzania asema tunataka tume huru tusisubiri yaharibikeNyie vyama vya upinzani unganeni muwe na msimamo, mjenge hoja ya kushawishi watu tususie uchaguzi kama hakutakuwepo na tume huru.
Tamaa na ubinafsi wekeni pembeni..kwa pamoja tuirudishe demokrasia.
ndo ulivyo na akili ndogo. hutaki bunge, uoni faida ya wanasiasa. wakati huo unataka urekebishiwe mifuo ya kodi. hujjui hiyo mifumo ni shereia zinazotungwa na bunge na hao wanasiasa?Siwezi kumfaidisha mwanasiasa. Wala hanigawii mshahara wake. Hata bunge lingefutwa tu halina faida.
Mimi nataka turekebishe mifumo ya kodi na kupunguza urasimu wa biashara nchini.
Tetea kadri unavyoweza mkuu. Ila jua wanasiasa wengi wana akili ndogo sana kuliko mimi.ndo ulivyo na akili ndogo. hutaki bunge, uoni faida ya wanasiasa. wakati huo unataka urekebishiwe mifuo ya kodi. hujjui hiyo mifumo ni shereia zinazotungwa na bunge na hao wanasiasa?
Tatizo hujui siasa ni nini. Kwa kifupi na kwa msaada wako Siasa ni mfumo mfumo wako wa maisha, siasa ndo inakupangia wewe uvae nini, ule nini, ufanye biashara wapi, kodi yako ikusanywe je, usome shule za aina gani. yote haya na mengine yanaamliwa na siasa na wanasiasa. ukisikia mtu anasema hataki siasa na wawanasiasa mpe pole hajui halitendaloTetea kadri unavyoweza mkuu. Ila jua wanasiasa wengi wana akili ndogo sana kuliko mimi.
Kodi na urasimu vikipunguzwa itachochea biashara nchini na kukuza uchumi.
Masuala ya uchaguzi ni faida ya mwanasiasa na familia yake tu.
Siasa kwa afrika ni kudanganyana na kuangalia tumbo la mwanasiasa.Tatizo hujui siasa ni nini. Kwa kifupi na kwa msaada wako Siasa ni mfumo mfumo wako wa maisha, siasa ndo inakupangia wewe uvae nini, ule nini, ufanye biashara wapi, kodi yako ikusanywe je, usome shule za aina gani. yote haya na mengine yanaamliwa na siasa na wanasiasa. ukisikia mtu anasema hataki siasa na wawanasiasa mpe pole hajui halitendalo
Kiazzzz!Labda familia yake ndio iseme maana ndio wanaofaidika na huo uchaguzi wake hasa ndani ya cdm lakini katika ngazi Taifa sisi tume huru ipi wakati miaka yote uchaguzi huru na wa haki na.pia Rais Magufuli anatosba hakuna haja ya uchaguzi tena wala nn
Siwezi kumfaidisha mwanasiasa. Wala hanigawii mshahara wake. Hata bunge lingefutwa tu halina faida.
Mimi nataka turekebishe mifumo ya kodi na kupunguza urasimu wa biashara nchini.
Siasa kwa afrika ni kudanganyana na kuangalia tumbo la mwanasiasa.
Huo ni ujuha..!Hatususi uchaguzi, hata kama tume haitakuwa huru tutashiriki. Ila uhakika ni kwamba watawala watatuomba tusitishe mikakati yetu na hapo hatutakuwa na muda wa kuwasikiliza. Wakati ni sasa kila Mtanzania asema tunataka tume huru tusisubiri yaharibike
Hiyo kodi atapunguza nani, kama siyo mwanasiasa? Ni sawa na mtu anayesema anataka ndizi lakini hataki mgomba!!!Tetea kadri unavyoweza mkuu. Ila jua wanasiasa wengi wana akili ndogo sana kuliko mimi.
Kodi na urasimu vikipunguzwa itachochea biashara nchini na kukuza uchumi.
Masuala ya uchaguzi ni faida ya mwanasiasa na familia yake tu.
Akili za kijinga kama hizi, bado zipo mtaani zinafanya nini? si bora tukubadirishe na gunia la mahindi.
Labda familia yake ndio iseme maana ndio wanaofaidika na huo uchaguzi wake hasa ndani ya cdm lakini katika ngazi Taifa sisi tume huru ipi wakati miaka yote uchaguzi huru na wa haki na.pia Rais Magufuli anatosba hakuna haja ya uchaguzi tena wala nn
Wanasiasa musitupotezee muda. Siasa ni ajira yenu na mara zote mimi nimeamini hamuhangaiki na mambo muhimu ya wananchi. Shida yenu ni kurudi Bungeni muendelee na ajira.Msikilize Katibu Mkuu wa CHADEMA Mhe. John Mnyika