Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Kwasababu ndilo kabila lenye wajinga wengi kuwadanganya ni rahisi kabisaUkiacha Sukuma gang makundi mengine ya CCM ni yapi?
Alafu kwanini mama amekimbilia mapema kuwa Chief Hangaya wa wasukuma akaacha kuwa Chief kwenye makabila mengine?
mkitaka hata nyie mumuite mumpe uchifu kwani kawazuiaSwali zuri hilo!!!
Kwa hiyo mama ni kiongozi wa Wasukuma peke yao? Chief wa Wahehe sijui ni Nani?
Diallo anazeeka vibaya kwanza hana historia nzuri kwenye utawala wowote hadi wafanyakazi wake wa SAHARA MEDIA wameishi kwa kulialia mishahara hatoiAkijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kujua kwanini sasa kunaibuka makundi ndani ya CCM Dr Diallo amesema na yeye anasikia tu kwamba kuna makundi likiwemo Sukuma gang.
Diallo amesema Mwanza ndiko waliko Wasukuma original lakini wote wanamuunga mkono Rais Samia ambaye ni Chifu wao akitambulika kama Chifu Hangaya.
Sasa hao Sukuma gang wanatokea wapi ikiwa hapa Mwanza hawatambuliki? amehoji Mwenyekiti wa CCM Dr Anthony Diallo.
Source: Star tv
CCM covid 19Kuna Boyz 2 men,Kuna wahuni,Kuna Gang of wastaafu,Kuna CCM Jesuits,Kuna wateule,Kuna CCM magamba ,Kuna CCM mkono wa Baunsa na mengine mengii
Diallo ametufungia mwaka!Eeeh
NaamCCM covid 19
CCM Ufipa original
Kabisa, kikundi Cha watu wachache walafi wa madaraka wanajibebesha kwenye mgongo wa wasukuma, Diallo kamalizaDiallo ametufungia mwaka!
Unakuta Chenge naye anajiita Mtemi wa Wasukuma!Eeeh
Kabisa, kikundi Cha watu wachache walafi wa madaraka wanajibebesha kwenye mgongo wa wasukuma, Diallo kamaliza
Kazi kweliChifu tangu lini akawa mama? Mambo mengine ni ushabiki wa kisiasa tu
ππππHuyu diallo...
Kadri anavyo zeeka ndo akili zinakua chache.
Mwanamke na uchifu, wapi na wapi!!
Shinyanga ni jina ambalo lilitokana na mti,mti ambao jina lake huitwa inyanga,acha kupotosha umma wa WatanzaniaWasukuma Org ni Mwanza shinyanga maana yake Shinyaga kwa kisukuma na kwa kiswahili mavi ya ng'ombe kwa hiyo ni eneo ambalo wafugaji wa kisukuma walihamia!
Diallo anatapatapa. Alipe tu kodi alizokadiriwa. Asitafute huruma na usaliti kwa wenzakeAkijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kujua kwanini sasa kunaibuka makundi ndani ya CCM Dr Diallo amesema na yeye anasikia tu kwamba kuna makundi likiwemo Sukuma gang.
Diallo amesema Mwanza ndiko waliko Wasukuma original lakini wote wanamuunga mkono Rais Samia ambaye ni Chifu wao akitambulika kama Chifu Hangaya.
Sasa hao Sukuma gang wanatokea wapi ikiwa hapa Mwanza hawatambuliki? amehoji Mwenyekiti wa CCM Dr Anthony Diallo.
Source: Star tv
Inyanga ndo nini? Acha ujuaji!Shinyanga ni jina ambalo lilitokana na mti,mti ambao jina lake huitwa inyanga,acha kupotosha umma wa Watanzania
OpportunistsAkijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kujua kwanini sasa kunaibuka makundi ndani ya CCM Dr Diallo amesema na yeye anasikia tu kwamba kuna makundi likiwemo Sukuma gang.
Diallo amesema Mwanza ndiko waliko Wasukuma original lakini wote wanamuunga mkono Rais Samia ambaye ni Chifu wao akitambulika kama Chifu Hangaya.
Sasa hao Sukuma gang wanatokea wapi ikiwa hapa Mwanza hawatambuliki? amehoji Mwenyekiti wa CCM Dr Anthony Diallo.
Source: Star tv
Wewe ndio uache mjuaji,inyanga ni mti wa mbono au hata mbono huujui?mimi msukuma pure tena wale wa kukomba na chaiInyanga ndo nini? Acha ujuaji!
Upo sahihi SuchackWewe ndio uache mjuaji,inyanga ni mti wa mbono au hata mbono huujui?mimi msukuma pure tena wale wa kukomba na chai
Kwa hiyo lisu hatakufa?Utakufa nacho kijiba cha roho Magufuli kafa kamuacha Lissu mliyetaka kumwua wewe na yeye...
Unalo limekuganda.