Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

Wanafiki ni watu wabaya sana. Wiki zilizokwisha CCM walilaani CHADEMA kuwasimamisha au kuwafukuza Wanachama waliotoa tuhuma za 'Heche na tone tone'. CCM ilisema, Wanachama hao wana haki na msajili wa vyama awalinde. Leo wanatumia upanga ule ule wa CHADEMA wakisema wamemwelekeza mtuhumiwa 'kibla' kabla ya ''kumchinja'', ni halali

JokaKuu
 
Pumbavu zenu atokee mwanaccm mwingine azungumzie katiba mpya huyo tuta-mpolepole.
 
Nashauri,nashauri!!

Mmeenda mbali sana!!
Kama amestaafu utumishi na siasa haikutosha!!?

Hata mafao sasa asipate!!?
Sawa hata kama operation yuda imeshinda,Angebaki ndani ya chama kwaajili ya matumizi ya baadae ya chama!!

Any way,kazi na utu,tunasonga mbele!!
 
""KARIBU SANA CHADEMA DR.NCHIMBI TUJE KUZUNGUSHA MIKONO, PIIIPOO PAWAAA ""
 
Kwq hyo na alivyosema ana staafu na siasa zenyewe wakaamua kummalizia kabisa
 
😂😂😂😂
 

Kwani bado kuna walio na akili huko CCM?

Angalia tu hata hizo resume zao. Angalia resume ya huyo makamu wao mpya…..

Ni diploma mill after diploma mill.
 
Kungekuwa na Chama Cha upinzani imara:
Kama kilivyokuwa DP Cha Mchungaji, Mtikila na akaenda kugombea kama Rais angeshinda:
ila kwa sasa Bora anyamaze Kimya:
Shida kubwa hakuwa na washauri imara:
Uliitupa Diplomasia baada ya kuteuliwa wakati ndio iliyo mlea na kumpa heshima:
Mwenyewe akisoma hapa ataelewa:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…