fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Alienda nayo kinyume kivipi? Mbona Polepole hakufutwa uanachama?Alienda kinyume na katiba ya chama chao
Ndugu yangu,naomba ujue kuwa ccm ina katiba yake ambayo inaeleza vizuri mno haki na wajibu wa kila mwanachama na kila kiongozi,tafuta katiba yao usome ndipo utajua kuwa nchimbi alivunja miiko ya uongozi.Kuhusu polepole,kwanza hakuwepo nchini na hatua za kumuita kwenye kamati yao ya nidhamu zilishaanza kuchukuliwa lakini hakuwepo nchini.Pia suala la polepole lina mauzauza mengi hakuna ajuaye yuko wapi,hakuna anayeweza kuthibitisha polepole alirejea nchini.Kwakuwa ni suala la kimauzauza mini siwezi kuongea zaidiAlienda nayo kinyume kivipi? Mbona Polepole hakufutwa uanachama?
Tunategemea na Asha naye atajiuzulu ni aibu kuwa katibu mkuu wa ccm.Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemfutia uanachama wa Chama hicho leo Agosti 26, 2026 aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmannuel Nchimbi ambaye alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa jana Agosti, 25, 2026.
Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro leo Agosti 26, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba.
Dkt. Migiro ameeleza kuwa uamuzi huo umefikiwa mara baada ya kukaliwa kwa vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya chama hicho ambavyo vilijadili suala la maadili ya Dkt. Nchimbi na vikaazimia kwa pamoja kumfuta uanachama mwanachama huyo.
Soma Pia: Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu
Asha aliomba kustaafunmuda mrefu yupo kwa muda tu,maisha yake ya bunafsi yana changamoto nyingi sana.Naamini amebakisha miezi 2 au 3 hivi atastaafuTunategemea na Asha naye atajiuzulu ni aibu kuwa katibu mkuu wa ccm.
Asante kwa kukumbusha hiloIla kafuatilie, alianza kulipwa baada ya Maridhiano. Kipindi ana kesi ya uhaini, mke wake alikuwa anachangiwa na raia ili kukidhi mahitaji ya nyumbani.
Kawaambia CHADEMA wapambane kupata katiba mpyandani ya chama kivipi, hata mimi ni mwanachama, wanachama inabidi tuelezwe kafanya kosa gani
Umeandika yote haya kutetea Ujinga aliokuwa akiuanika.Dr. Nchimbi ni mkongwe ndani ya chama, anajua ni makosa gani ukiyatenda utafukuzwa. Dr. Nchimbi alikuwa anajua siku nyingi kuwa lazima atafukuzwa, na alijua kuwa akifukuzwa atakwenda kuunga juhudi vyama vya upinzani, hata hotuba yake ile yenye ukakasi ililenga hilo. Ndiyo maana aliwaambia wananchi wadai katiba mpya itumike kwenye chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2030. Kwavyovyote vile kauli yake ya kuitaka katiba mpya itumike kwenye chaguzi zijazo haina tofauti na kauli za wapinzani; maana yake CCM ianguke ikibidi kwa kutumia Tume Huru ya Uchaguzi kwenye chaguzi zijazo. Amekikosea chama kwelikweli kwa kumbembeleza mwana kwa wimbo mbaya, sawa na kuimba "OOOh, oyo oyo oyo CCM shindwa, CCM shindwa CCM shindwa kwakutumia katiba mpya chaguzi zijazo kwa Tume Huru na Katiba mpya". Maana na yeye kama Polepole anajua CCM inashindaje kwa kutumia katiba hi
Hamna kitu hapo. Unajipotezea muda wako bure tu, kwa ccm ndio imetoka hivyo, wana heshima ya woga haijapata kuonekana.And you think watu hawata discuss kwa mtu ambae alifika position za juu? This is not 1960s
People want to know more, ussishie kusema mizania ya chama, no body give a *** about mizania, people want the actual facts
Tunasubiri kwa hamu sana hayo yatokee na mengi mengine pengine ujumbe utafika.Asha aliomba kustaafunmuda mrefu yupo kwa muda tu,maisha yake ya bunafsi yana changamoto nyingi sana.Naamini amebakisha miezi 2 au 3 hivi atastaafu
tunaomba moja aliyopingana nayo. Mambo kwa ushahidi.kupingana na sera za ccm
Uko sahihi, sasa hivi anaonekana yeye ndie aliyekosea. Yeye alikubali kuwa Makamu wa Rais kama mchakato wake wa kuwa Rais kamili lakini iligoma.Ynajua nchimbi kama aliona yeye hakubaliani na ccm na hamtaki samia,alitakiwa atangaze kujiuzulu,umakamu na ajitoe ccm,lakini kutoka hafharani na kutoa matamko ya kupingana na sera za ccm ni lazima ataadhibiwa na kawapa ccm mileage za bure.Angewakomesha kama anetangaza yeye kujiuzulu
Hawa walichofanya ni mchezo wa kuvizianaAlaf mzee nchimbi alishaona haya mapema.
Ndo maana kwenye barua ameandika anastaafu na siasa zenyewe.
Sasa unamfukuza uanachama mtu aliye staafu siasa?
Ni maamuzi yasiyotumia akili.
Maana keshajitoa ina kuwa ni kazi Bure .kumfuta ni kuonyesha ina kisasi nae.roho inakuuma Kwa maamuzi yake
BIG BRAIN. Kanusa yajayo!Nchimbi amejitoa kwenye vikwazo vya Marekani
Yawezekana sana akatembelea script ya Mu7. HOFU inaua!Kwa yanayoendelea kama akifika 2030 sitoshangaa akiforce kuvunja katiba aendelee kuongoza maana maadui wa ndani na nje ya chama wanazidi kuongezeka.
Kama ya upinzani kurudisha fomu. Kila ukienda mtu anafunga ofisi analala mbele🤣🤣🤣🤣Nimecheka hadi machozi, kwamba Stahiki zipo ila wakukulipa utamtafuta 🤣
His death is still in question though!. Angekuwa hai kwa msimamo yake wangeruka nae!. Hawa watu kwa sababu ya hofu kuu waliyo nayo hawataki upinzani wa aina yoyote ile!Kule malawi kwa kinachoendelea , usishangae TEACHER MCHONGA MENO nae angekuwepo angeitwa mhaini., yangemkuta ya slow slow.