Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Imepangwa iwe hivyo bro.Imekuaje wame kutana wote sehemu moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imepangwa iwe hivyo bro.Imekuaje wame kutana wote sehemu moja
Point of correction Mnyika Maua Seminary,Lisu kasoma Ilboru n Galanos,Nchimbi sijui aliposomaNchimbi .......Uru seminary
Mnyika..........Sengerema seminary
Lissu...........Dunghunyi seminary
Kitima.......Dunghunyi seminary
Hofu ya maandamano
Yupo...Usalama wangu
Lazima nichukue hatua
SAMIA MUST GO
Kupinga DHULMA hakuhitaji mtu awe kiongozi mkubwa....Mm ni chadema original kwa hotuba nzuri ya nchimbi nimeguswa sna na nchimbi.SIYO MNAFIKI AMEGUSWA SANA NA MATENDO YA UKATILI UNAOFANYWA NA CCM NA INAONEKANA NI GENGE NDOGO NDANI YA CHAMA NA NCHIMBI AMELIKUTA.Nchimbi roho ya mungu ipo ndani yako.KATAA UNAFIKI KATAA UTEKAJI HILO GENGE.UNAFAA KUWA KIONGOZ MKUBWA
😲😲We jamaa vipiKitimw atagombea jimbo gani kupitia chama chake ?
Nchimbi atafukuzwa CCMAman iwe nanyi wana wa MUNGU
Leo nikifatilia kongamano la ekrist takatifu nimemuona baba padre kitima akiwapandisha madhabahuni katibu mkuu wa CCM dk Emmanuel chimbi, katibu mkuu wa chadema John mnyika na makamu mwenyekiti wa chadema tundu lisu
Tuendelee kuliombea aman taifa letu dhidi ya watu wenye roho za kuliangamiza na kututenganisha
Watu muda wote wanawaza kuua kila asiye waunga mkono
Wanataka wapendwe lakini watanzani wamegoma kabisa kuwapenda
LONDON BOY
====
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Dk Charles Kitima amewaita mbele ya kongamano la tano la Ekaristi Takatifu, Katibu Mkuu wa CCM, Dk Emmanuel Nchimbi na Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu pamoja na Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika kwa ajili ya kusalimia waumini.
Kongamano hilo linafanyika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam, leo Jumapili, Septemba 15, 2024.
Mbali nao, viongozi wengine wa kisiasa waliohudhuria ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko na Waziri wa Ujenzi, Innoncent Bashungwa, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila na Spika mstaafu, Anne Makinda.
Pia maaskofu, mapadri, watawa wa kiume na kike na waumini wa kanisa hilo wamejitokeza kwa wingi kushiriki kongamano hilo lililofunguliwa Septemba 12, 2024
😲😲😲Hawajazichapa?
TAHARUKI yako ni ya kitoto sana....Nchimbi atafukuzwa CCM
Hata akihamia shida Nini,usichopenda wewe,kizuri kwa wenzio!Sema wasimuhamishie Chadema
CCM ipo.....hata akihama mh.Samia....Hata akihamia shida Nini,usichopenda wewe,kizuri kwa wenzio!
Wangalifanyiwa waislam pasingelika humu. Hongera Tundu LissuAmani iwe nanyi wana wa MUNGU
Leo nikifatilia kongamano la Ekaristi takatifu nimemuona baba Padre Kitima akiwapandisha madhabahuni katibu mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi, Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika na Makamu Nwenyekiti wa CHADEMA-Bara, Tundu Lissu.
Tuendelee kuliombea amani taifa letu dhidi ya watu wenye roho za kuliangamiza na kututenganisha.
Watu muda wote wanawaza kuua kila asiye waunga mkono
Wanataka wapendwe lakini watanzani wamegoma kabisa kuwapenda
LONDON BOY
====
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Dk Charles Kitima amewaita mbele ya kongamano la tano la Ekaristi Takatifu, Katibu Mkuu wa CCM, Dk Emmanuel Nchimbi na Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu pamoja na Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika kwa ajili ya kusalimia waumini.
Kongamano hilo linafanyika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam, leo Jumapili, Septemba 15, 2024.
Mbali nao, viongozi wengine wa kisiasa waliohudhuria ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko na Waziri wa Ujenzi, Innoncent Bashungwa, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila na Spika mstaafu, Anne Makinda.
Pia maaskofu, mapadri, watawa wa kiume na kike na waumini wa kanisa hilo wamejitokeza kwa wingi kushiriki kongamano hilo lililofunguliwa Septemba 12, 2024.
Pia soma: Maaskofu Katoliki: Tunu yetu ya amani nchini imeshambuliwa kutokana na matukio ya watu kutekwa na kuuawa ya hivi karibuni