Dkt. Emmanuel Nchimbi, Mnyika na Tundu Lissu wapandishwa madhabahuni na Padri Dkt. Charles Kitima

Kupinga DHULMA hakuhitaji mtu awe kiongozi mkubwa....

Hata dikteta Mobutu hakuanza akiwa wabaya.....
 
Nchimbi atafukuzwa CCM
 
Kila siku nasema tusiwaamini wanasiasa. Lisu na Nchimbi ni washkaji sana watatupiana maneno jukwaani kisha jioni wanakutana kunywa wine pamoja. Huwezi kuona Biden na Putin wammekaa pamoja.
Maandamano ya tarehe 23 yasiwe influenced na wanasiasa. Tuandamane sababu tumewachoka wanasiasa wote, Kule kenya Babu Odinga kawageuka Gen Z sasa hivi anakula Per diem za safari na President Rutto. Yani Chadema, ACT, CCM wote hawatatusaidia.
 
Yeye nchimbi ajiulize kwanini baba zake Amina Kambona;Gama;Kolimba na Kawawa hawakuwa na mambo haya yanatokea awamu ya 5 na sita .Kwanini wanazuia mawazo ya watu wengine wasijieleze?
 
Wangalifanyiwa waislam pasingelika humu. Hongera Tundu Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…