Dkt. Emmanuel Nchimbi, Mnyika na Tundu Lissu wapandishwa madhabahuni na Padri Dkt. Charles Kitima

.
 
Imekuaje wame kutana wote sehemu moja
Soma vizuri ili uelewe.

Leoni siku ya Kongamano la Ekaristi Takatifu. Ni siku kubwa sana kwa imani ya Kikristo.

Wote hawa, Lisu, Nchimbi na Mnyika wamehudhuria hilo kongamano. Umeambiwa kuwa hata Biteko alikuwepo.
 
nilidhani kongamano linawahusu Wakatoliki. Mbona baadhi ya walioitwa mbele sio wakatoliki au ni usanii?
 
Picha ina majibu yote

Kumbe pamoja na ekaristi RC inapika wanasiasa machachari🤣
 
nilidhani kongamano linawahusu Wakatoliki. Mbona baadhi ya walioitwa mbele sio wakatoliki au ni usanii?
Define Catholic:- : In a broader sense, "catholic" (with a lowercase "c") means "universal" or "comprehensive." This reflects the original meaning of the word in early Christian theology, emphasizing the universality of the Christian faith
 

..labda Nchimbi ameokoka.

..fuatilia mwenendo wa Nchimbi alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na muandishi wa habari Daudi Mwangosi alipouwawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…