Aaah, kumbe wote hao Seminarists? Ila sina uhakika kwa Nchimbi! Kwa Mnyika tafuta seminari nyingine badala ya Sengerema!Nchimbi .......Uru seminary
Mnyika..........Sengerema seminary
Lissu...........Dunghunyi seminary
Kitima.......Dunghunyi seminary
Yes, kwa Mnyika uko sahihi mkuu! Sengerema Seminari ya hivi karibuni Mnyika hawezi kusoma huko!Point of correction Mnyika Maua Seminary,Lisu kasoma Ilboru n Galanos,Nchimbi sijui aliposoma
Lisu, Nchimbi & Mnyika walialikwaImekuaje wame kutana wote sehemu moja
Alikuwa kiongozi mkuu wa kampeni za Lissu mwaka 2020 kuelekea uchaguzi.Kitimw atagombea jimbo gani kupitia chama chake ?
Alikuwa kiongozi mkuu wa kampeni za Lissu mwaka 2020 kuelekea uchaguzi.
Walihudhuria kama waumini wengineImekuaje wame kutana wote sehemu moja
Baba Askofu ni mwanasiasa wa upinzani anayetumia lugha za kiungwana lakini moyoni mwake haipendi kabisa CCM...Shekhe Issa Ponda pia alikuwa ktk kampeni za Lissu.
Baba Askofu ni mwanasiasa wa upinzani anayetumia lugha za kiungwana lakini moyoni mwake haipendi kabisa CCM.
Ndiye aliyekuwa kinara wa kusambaza waraka kuhakikisha uwekezaji wa DPW unapingwa makanisani, tofauti na Sheikh Ponda aliyepokea uwekezaji kwa akili chanya.
Akina Kitima na Kanisa Katoliki kwa Ujumla, nawaombeni msaidie Mama Samia asisimame mwaka 2025.Ataliangamiza Taifa hili akipewa mitano mingine.Amani iwe nanyi wana wa MUNGU
Leo nikifatilia kongamano la Ekaristi takatifu nimemuona baba Padre Kitima akiwapandisha madhabahuni katibu mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi, Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika na Makamu Nwenyekiti wa CHADEMA-Bara, Tundu Lissu.
Tuendelee kuliombea amani taifa letu dhidi ya watu wenye roho za kuliangamiza na kututenganisha.
Watu muda wote wanawaza kuua kila asiye waunga mkono
Wanataka wapendwe lakini watanzani wamegoma kabisa kuwapenda
LONDON BOY
====
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Dk Charles Kitima amewaita mbele ya kongamano la tano la Ekaristi Takatifu, Katibu Mkuu wa CCM, Dk Emmanuel Nchimbi na Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu pamoja na Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika kwa ajili ya kusalimia waumini.
Kongamano hilo linafanyika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam, leo Jumapili, Septemba 15, 2024.
Mbali nao, viongozi wengine wa kisiasa waliohudhuria ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko na Waziri wa Ujenzi, Innoncent Bashungwa, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila na Spika mstaafu, Anne Makinda.
Pia maaskofu, mapadri, watawa wa kiume na kike na waumini wa kanisa hilo wamejitokeza kwa wingi kushiriki kongamano hilo lililofunguliwa Septemba 12, 2024.
Pia soma: Maaskofu Katoliki: Tunu yetu ya amani nchini imeshambuliwa kutokana na matukio ya watu kutekwa na kuuawa ya hivi karibuni
Labda makanisa mengine lakini siyo kanisa katoliki. Hawajahi kukaa kimyaKanisa limezidiwa nguvu. Watu wanatekwa na kuuwawa viongozi wote kimya...
SAMIA MUST GO,SEPTEMBER 23 TO REMEMBERKanisa limezidiwa nguvu. Watu wanatekwa na kuuwawa viongozi wote kimya...
SAMIA MUST GO, SEPTEMBER 23 TO REMEMBERMm ni chadema original kwa hotuba nzuri ya nchimbi nimeguswa sna na nchimbi.SIYO MNAFIKI AMEGUSWA SANA NA MATENDO YA UKATILI UNAOFANYWA NA CCM NA INAONEKANA NI GENGE NDOGO NDANI YA CHAMA NA NCHIMBI AMELIKUTA.Nchimbi roho ya mungu ipo ndani yako.KATAA UNAFIKI KATAA UTEKAJI HILO GENGE.UNAFAA KUWA KIONGOZ MKUBWA
Kwani uwongowanaupinga mkataba huo kisa ni waarabu tu
Amani iwe nanyi wana wa MUNGU
Leo nikifatilia kongamano la Ekaristi takatifu nimemuona baba Padre Kitima akiwapandisha madhabahuni katibu mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi, Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika na Makamu Nwenyekiti wa CHADEMA-Bara, Tundu Lissu.
Tuendelee kuliombea amani taifa letu dhidi ya watu wenye roho za kuliangamiza na kututenganisha.
Watu muda wote wanawaza kuua kila asiye waunga mkono
Wanataka wapendwe lakini watanzani wamegoma kabisa kuwapenda
LONDON BOY
====
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Dk Charles Kitima amewaita mbele ya kongamano la tano la Ekaristi Takatifu, Katibu Mkuu wa CCM, Dk Emmanuel Nchimbi na Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu pamoja na Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika kwa ajili ya kusalimia waumini.
Kongamano hilo linafanyika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam, leo Jumapili, Septemba 15, 2024.
Mbali nao, viongozi wengine wa kisiasa waliohudhuria ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko na Waziri wa Ujenzi, Innoncent Bashungwa, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila na Spika mstaafu, Anne Makinda.
Pia maaskofu, mapadri, watawa wa kiume na kike na waumini wa kanisa hilo wamejitokeza kwa wingi kushiriki kongamano hilo lililofunguliwa Septemba 12, 2024.
Pia soma: Maaskofu Katoliki: Tunu yetu ya amani nchini imeshambuliwa kutokana na matukio ya watu kutekwa na kuuawa ya hivi karibuni
Sidhani kama dua yao itanya kazi..Hawa walisema watasoma dua.
Wewe labda una chuki zako binafsi. Hujasikia Tamko la Waraka wa TEC Leo wakilaani na kuitaka Serikali kukomesha mambo haya na walioshindwa kudhibiti hali hii wakishauriwa kujipima kama hizo nafasi zinawatosha?Kanisa limezidiwa nguvu. Watu wanatekwa na kuuwawa viongozi wote kimya...
Siasa siyo uadui, at the end of the day, wote wanabakia kuwa ni wa Tanzania .Imepangwa iwe hivyo bro.
Indeed anapaswa kupongezwa na Chama chake na Mwenyekiti wake kwa kuwa anatekeleza 4R za Rais kwa vitendo.Afukuzwe Kwa kosa lipi?
Ni uongo ndio haukuona hata lipumba nae alihoji huo mkataba vipi nae alikuwa anasukumwa na chuki? Ukweli ni kwamba ninyi ni kasukuKwani uwongo
Lipumbafu ni mnafikiNi uongo ndio haukuona hata lipumba nae alihoji huo mkataba vipi nae alikuwa anasukumwa na chuki? Ukweli ni kwamba ninyi ni kasuku