pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Hivi upumbavu na ajinga ni asili ya ukoo wenu wote au ni ktk familia yenu tu?... Mbowe na genge lake ndio waliosaini mkataba wa WHO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi upumbavu na ajinga ni asili ya ukoo wenu wote au ni ktk familia yenu tu?... Mbowe na genge lake ndio waliosaini mkataba wa WHO.
Serikali hii ni ya vitu zaidi kulilo watu! Hauna aibu?
Nchi imeachafuka kiasi hiki? Kwamba proffesional yako uliyonayo inadhalilishwa na uluwa/njaa mpaka unafikia kubadilisha maneno kuongea kisicho sahihi. Inasikitisha sana.Naibu Waziri wa Wizara ya Afya Jinsia Wazee na Watoto amesema watu wengi wanasema Tanzania haitoi data, ambapo amesema data haina haja ya kutangazwa kila siku na Waziri, utakuwa ni ujinga mtupu...
sijasema data hazipo,Misplaced argument!! Magonjwa yote uliyotaja ikiwemo na corona hutolewa data. Kinachotakiwa ni kutoa hizo data kwa vyombo husika, hata kama itakuwa mara moja kwa mwezi. Kama hujui hili basi wewe ni layman - data za kila siku zinaonesha upimaji na kwa kuwa upimaji unapaswa kufanyika kila siku wanakwepa hitaji hilo. Lakini kama Dr. Mollel anasema data huwasilishwa kwa mwezi - sio vibaya. Tatizo ni kutowasilishwa kabisa ili kuleta picha kuwa vifo vyote havina uhusiano na covid-19!!
... mimi na wewe nani mjinga? Kusoma hujui hata picha?Hivi upumbavu na ajinga ni asili ya ukoo wenu wote au ni ktk familia yenu tu?
Mh. Waziri yuko sahihi. Unatangaza data za wanaokufa ili iweje? Ili wananchi wawe na hofu? Tangaza mikakati ya watu kujikinga na magonjwa, hatushindani kwa idadi ya watu wanaokufa, ni ujingaAmesema Data huwa inataka uchakataji ili kujua tatizo ya magonjwa yanayosababisha vifo na kujua namna ya kuyakabili.
Ahaaaa. Mbona sijakupata kamanda.Nimecheka kwa nguvu mzee wa kushikiwa akili, naona umejitokeza baada ya kuwazingua miungu wako.
Maelezo alivyo yatoa hayahitaji uwezo wa juu sana kuogelea. Yeyote aliye fanya medicine hata kiwango cha Clinical officer anatakiwa kufahamu na kuelezea. Tusifanye hili ni tatizo COVID -19 la ajabu sana katika field ya medicine.Abaki kwenye fani yake ya dentistry awaachie md specialist wa internal medicine na nyinginezo watoe mchakato wa magonjwa.
we are not building castle in the air,We're just building a castle in the air.
Chanjo hizo ni za Freemason. Msikubali