Dkt. Mollel: Ni ujinga Waziri kutoa Data za Walioathiriwa na Corona kila siku. Bei ya chanjo ni Tsh 400,000


Chanjo anayo iongelea ni ipi kumekuwa na utamaduni wa kuongezea na kutisha watu sasa kuna chanjo ya $5 na $20 hiyo ni laki 4 au wameanza kutumia kwa biashara
 
Nilichoandika umekisoma? Na Je maelezo ya Dr Molel umeyasoma ukaelewa?

Narudia tena, Kitaaluma Yuko Sawa, Kwa wapumbavu hayuko Sawa, haijalishi hao wapumbavu wengine wako huko kwenye shirika ama ni wewe!!
Chato woyeeeeeee!
 
Teh teh teh heee! Ha ha haaa! Ulikuwa gizani limekupata la utosini! Jiwe hilo!!! Ha ha haa uuuuwiiii!!!
====
Yaani kwa akili zako kubwa kabisa kabisa, wewe upo tayari kumkopesha masikini hoehae asiye jua kesho atapata wapi kitafunwa achana na mlo wa mchana, mamilioni ya shilingi ukiwa na nia nzuri kabisa na uaminifu kuwa masikini huyo atakulipa mkopo wako kwa wakati? Kama upo tayari basi utakuwa unavizia figo, maini, moyo na viungo vingine vya masikini huyo kwa nia ovu!
 
Viongozi wenda Kuna mahali hukosea,kwenye kuzungumza, ukipata ofisi iwe ya uma au mashirika binafsi, kupekua baadhi ya mafaili kujua huendeshaji wake ni muhim

Tz mpaka leo yapo majanga mengi Kama taifa tumepitia,iwe ni njaa, maradhi mbali mbali, nk so mfumo wa kuyakabi au yamekua yakikabiliwa vipi upo,
Wizara ya afya na takwim ni Kama chakula Cha kila siku hakiepukiki, katika utendaji wa kila siku, that's Kuna report za kila wakati, na uptodated kabisa,

So mtendaji wa wizara hii kutoa takwim za tatizo flani kila wakati,saa, dakika, haliwezi kuwa Jambo geni, au Jambo lenye mtazamo hasi ,labda tu Kama anayakimbia majukum yake KWA mgongo wa nyuma,
 
Chanjo 400k bei ya V8 ni 400 M kwamba watu wafe tu ila kuishi kifahari kuendelee ! Kweli ujinga bado uko Africa kwa kiasi kikubwa!
 
Huyu ni mng'oa meno
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Utaratibu ktk nchi nyingine ukoje? Maelekezo ya WHO, shirika ambalo Tz nmwanchama yanasemaje?
Utaratibu ktk nchi nyingine ukoje? Maelekezo ya WHO, shirika ambalo Tz ni mwanchama yanasemaje?
Chanjo anayo iongelea ni ipi kumekuwa na utamaduni wa kuongezea na kutisha watu sasa kuna chanjo ya $5 na $20 hiyo ni laki 4 au wameanza kutumia kwa biashara
Something fishy there!
 
WHO wanapozihitaji ni raia wa kawaida.
Kutetea mambo yasiyo kwenye utaratibu ni shida zaidi.
Unahitaji akili zaidi kusema uongo kuliko kusema ukweli, hilo mlitambue.
 
Hawa ndiyo viongozi waliopatikana baada ya mchujo mkali sanaaa
 
Hakuna awezaye kujibu kisayansi hoja zake za kisayansi. Katumia data kuhusu matatizo ya upumuaji kuwa yapo hata kabla ya Corona na yalishika namba 2 duniani kwa kusababisha vifo.
Hii ni pandemic, siyo mafua yale tuliyozoea. Mafua haya mageni yanahitaji mitungi ya gesi, yakikupata kapuku na hela ya jews human unakufilia mbali. Wenye nazo unasikia wanasoma, nimeletwa nlikuwa nimwekewa hewa yangu nyumbani.
 
Unaandika kama msomi lkn ni msomi usiyeijua dunia inatoka wap na inaenda wap halafu ukiwa unafanya kitu fanya kitu kwa faida yakoo yn faida km inchi na jinsi unavyoona itakusaidia ww unazani hz takwimu zinasaidia nn mm rafiki yangu alipona corona baada ya watu wa afya kumdanganya anaumwa nimonia lkn yy mwenyewee anasema angejua anaumwa corona bc asingepon kutokana na hofu na sio siri wengi wanakufa kwa hofu na sio corona ndio maan watuwazim hs wenye mapresha yn presh + corona jibu ni kifo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…