Kitalaamu yuko sawa, kwa wapumbavu hayuko sawa
Vile wewe huwa ni mtaalamu wa nini mpaka ututhibitishie kuwa yuko sawa? Are you an authority in epidemiology?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitalaamu yuko sawa, kwa wapumbavu hayuko sawa
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya Jinsia Wazee na Watoto amesema watu wengi wanasema Tanzania haitoi data, ambapo amesema data haina haja ya kutangazwa kila siku na Waziri, utakuwa ni ujinga mtupu.
Amesema Data huwa inataka uchakataji ili kujua tatizo ya magonjwa yanayosababisha vifo na kujua namna ya kuyakabili.
Kwa kipindi cha karibuni kumekuwa na taharuki ambayo imesababisha kila anayefariki kupakaziwa amekufa kwa #CoronaVirus hivyo inahitajika uchakataji kujua waliopakaziwa
Amesema ili kutoua watu, mtu akienda hospitali huwa wanasema ana matatizo ya kupumua ili kwanza kujua kama anashindwa kupumua kwa tatizo la presha, nimonia, sukari au bakteria.
Msikilize:
View attachment 1709630
Chato woyeeeeeee!Nilichoandika umekisoma? Na Je maelezo ya Dr Molel umeyasoma ukaelewa?
Narudia tena, Kitaaluma Yuko Sawa, Kwa wapumbavu hayuko Sawa, haijalishi hao wapumbavu wengine wako huko kwenye shirika ama ni wewe!!
Teh teh teh heee! Ha ha haaa! Ulikuwa gizani limekupata la utosini! Jiwe hilo!!! Ha ha haa uuuuwiiii!!!Ungekaa kimya @TUJITEGEMEE pengine ungeficha UPUMBAVU wako tukujue. Wewe unaniambia Mimi nawaza kusaidiwa, kwani kuficha data kuna uhusiano gani na kupata msaada?
Hata hiyo propaganda yenu ya kujifanya eti Tanzania nchi tajiri IMEBUMA. Last week Palamgamba Kabudi alikuwa kuomba huko France. Last two weeks Doto James amesaini mkopo wa EU wa Euro zaidi ya 300 Milioni.
Hapa anazungumziwa mbowe?Mbowe na genge lake ndio waliosaini mkataba wa WHO.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu ni mng'oa meno
Mng'oa MenoNi Dr kwenye field ipi ya kiafya?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Meno yaliyotoboka!Hivi huyu mwamba ni Dr wa kitu gani?
Utaratibu ktk nchi nyingine ukoje? Maelekezo ya WHO, shirika ambalo Tz ni mwanchama yanasemaje?Naibu Waziri wa Wizara ya Afya Jinsia Wazee na Watoto amesema watu wengi wanasema Tanzania haitoi data, ambapo amesema data haina haja ya kutangazwa kila siku na Waziri, utakuwa ni ujinga mtupu.
Amesema Data huwa inataka uchakataji ili kujua tatizo ya magonjwa yanayosababisha vifo na kujua namna ya kuyakabili.
Kwa kipindi cha karibuni kumekuwa na taharuki ambayo imesababisha kila anayefariki kupakaziwa amekufa kwa #CoronaVirus hivyo inahitajika uchakataji kujua waliopakaziwa
Amesema ili kutoua watu, mtu akienda hospitali huwa wanasema ana matatizo ya kupumua ili kwanza kujua kama anashindwa kupumua kwa tatizo la presha, nimonia, sukari au bakteria.
Msikilize:
View attachment 1709630
Something fishy there!Chanjo anayo iongelea ni ipi kumekuwa na utamaduni wa kuongezea na kutisha watu sasa kuna chanjo ya $5 na $20 hiyo ni laki 4 au wameanza kutumia kwa biashara
WHO wanapozihitaji ni raia wa kawaida.sijasema data hazipo,
data za magonjwa yote zipo na zinatumiwa ktk mipango mingine ya kisayansi ya kukabiliana na maradhi husika.
kinacho semwa na naibu waziri ni kuwa hakuna sababu ya kuanika data kila wakati isipo kuwa kwa taasisi zinazo husiana na mambo ya afya.
sasa wewe raia wa kawaida unazitaka data ili zikusaidie nini ? !!
Sent using Jamii Forums mobile app
mkitangaza za Corona mtutangazie na data za magonjwa mengine
Tukiwaambia mjisomee kabla ya kuchangia, sijui kama mnafanya hivyo.
Hata MTUHA huijui.
Vise versaKitalaamu yuko sawa, kwa wapumbavu hayuko sawa
Hawa ndiyo viongozi waliopatikana baada ya mchujo mkali sanaaaNaibu Waziri wa Wizara ya Afya Jinsia Wazee na Watoto amesema watu wengi wanasema Tanzania haitoi data, ambapo amesema data haina haja ya kutangazwa kila siku na Waziri, utakuwa ni ujinga mtupu.
Amesema Data huwa inataka uchakataji ili kujua tatizo ya magonjwa yanayosababisha vifo na kujua namna ya kuyakabili.
Kwa kipindi cha karibuni kumekuwa na taharuki ambayo imesababisha kila anayefariki kupakaziwa amekufa kwa #CoronaVirus hivyo inahitajika uchakataji kujua waliopakaziwa
Amesema ili kutoua watu, mtu akienda hospitali huwa wanasema ana matatizo ya kupumua ili kwanza kujua kama anashindwa kupumua kwa tatizo la presha, nimonia, sukari au bakteria.
Msikilize:
View attachment 1709630
Hii ni pandemic, siyo mafua yale tuliyozoea. Mafua haya mageni yanahitaji mitungi ya gesi, yakikupata kapuku na hela ya jews human unakufilia mbali. Wenye nazo unasikia wanasoma, nimeletwa nlikuwa nimwekewa hewa yangu nyumbani.Hakuna awezaye kujibu kisayansi hoja zake za kisayansi. Katumia data kuhusu matatizo ya upumuaji kuwa yapo hata kabla ya Corona na yalishika namba 2 duniani kwa kusababisha vifo.
Unaandika kama msomi lkn ni msomi usiyeijua dunia inatoka wap na inaenda wap halafu ukiwa unafanya kitu fanya kitu kwa faida yakoo yn faida km inchi na jinsi unavyoona itakusaidia ww unazani hz takwimu zinasaidia nn mm rafiki yangu alipona corona baada ya watu wa afya kumdanganya anaumwa nimonia lkn yy mwenyewee anasema angejua anaumwa corona bc asingepon kutokana na hofu na sio siri wengi wanakufa kwa hofu na sio corona ndio maan watuwazim hs wenye mapresha yn presh + corona jibu ni kifoStatistics zinasaidia kujua ukubwa wa janga, umri gani wameathirika zaidi na walindwe vipi. Kama ugonjwa utaendelea basi litakua na ukubwa gani na watu wangapi wanakadiriwa kuupata na Serikali isaidie vipi. Hili ni janga la dunia we owe this to the world. Lazma ije isemwe this tragedy claimed how many lives, dunia ilijikingaje na inaelekea kuumaliza vipi.
Je unadhani zile chanjo za polio na kifua kikuu zinakuja kiholela? Wanakadiria nchi kwa mwaka wanazaliwa wangapi, wangapi wanakadiriwa kupata chanjo na ugonjwa umeshuka kwa kiasi gani??
Kwani statistics za waliokufa kwa malaria mamilioni kwa dunia nzima kuna mtu anaamka tu halafu anaitaja??? In general statictics zinakusaidia pia wewe na Serikali yenu mtapewa msaada wa chanjo kwa kiasi gani.