Dkt. Philip Mpango: Mimi ni mzima, walionizushia kifo nimewasamehe

Kwa hiyo ni kweli Dr. Mpango amelazwa? Na sasa kaanza kufanya “mazoezi ya kifua” baada ya ile changamoto ya kupumua kupata nafuu kiasi?

Tutafunguka taratibu tu. Facts and figures never lie.
Hapa tu ndio serikali inashindwa kwenda na wakati, kwanini hawajifunzi nchi zingine uwazi? hawa ni viongozi na watu lazima waambie ukweli. kiongozi yoyote kapatwa na lolote lisemwe hadharani kwa haraka kabla umbea kuanza maana hata uwongo utaonekana kama ukweli sababu nyinyi kwenu kila kitu siri. Siri ukija kuwa raia wa kawaida kiongozi ni public hakuna siri. Uwazi ni muhimu sana hata wambea hawatapa jipya la kuongea. sio aibu mtu kuumwa na mkiwa wa wazi hata watu watawaombea wanaowapenda.
 
My Take: Tumuombee Mpango na wagonjwa wengine wote.
Wasiwe wanaficha wanapoumwa.

Zoezi angalau limefanya kazi kwa kuhabarisha watu kuwa kumbe alikuwa/anaumwa. Kwani mtu kuwa mgonjwa ni siri au aibu hadi watu wadadisi kama walivyofanya?

Watu wenye akili nzuri kama Dr Mpango wasijiingize kwenye haya mambo ya uigizaji yanayofanyika sasa.

Hongera kwa ushindi huo.
 
Kwa hyo unataka kusema mpango ameshakufa ILA analeta ubishi[emoji19][emoji19]
Hata maalim Seif alikuwa anaendelea vizuri ghafla mambo yakabadilika. Muhimu ni kuzidisha maombi ti hizo ngonjera zitakuponzaaaaa
 
Hayo mazoezi ya Kifua, kwani kina matatizo gani?
 
Na kwa kweli nakuomba mpango uendelee kufanya mazoezi kwa nguvu zote. Hiyo ndiyo tiba halisi. Achana na hayo mazingaombwe ya JIWE. Halafu mjiulize, hivi ni kwa nini watu hawawatakii mema?
 
Abarikiwe apone mapema. Ila amesema "wimbi",wimbi gani hili?
 
Hata kama corona ipo , rais hakisema haipo yuko sawa, msiwape wananchi taharuki mpaka wanaogopa kutoka nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…