Dkt. Philip Mpango: Mimi ni mzima, walionizushia kifo nimewasamehe

Kwa hili tuko pamoja, hapa uko sahihi.
 

..huu ugonjwa ukishaingia na kusambaa nchini kwako kuudhibiti ni vigumu.

..MAKOSA aliyoyafanya Magufuli kama Raisi ni kutohimiza hatua za tahadhari baada ya Tz kukwepa ile wave ya kwanza ya maambukizi.

..tungekuwa makini kipindi cha miezi minne au mitatu nyuma tungeweza kuepuka maambukizi na vifo vinavyotokea sasa hivi.

..kuna kipindi serikali ilikuwa inafanya MAJIGAMBO kwamba Corona ipo kwa majirani zetu tu, huku Tanzania tuko salama.
 
Tunakufa binadamu, ila simu hazifagi...wanatumia walio hai. Hongera kwke
 
Nimekulewa JokaKuu
 
Kama hakushiriki kwenye kudhulumu kura za watanzania namwombea kwa Mungu apone haraka Ila Kama Ni mshirika kwenye dhuluma hiyo namwachia Mungu wa Haki amtendee kadri yeye alivotutendea sisi wenziwe.
Mkuu, imeandikwa "Wapendeni adui zenu,waombeeni wanaowaudhi".
 
Kwahyo kumbe Dr Mpango nikweli amelazwa sababu ya changamoto ya kupumua? Naona amepata nafuu na sasa hatumii tena ventilator
 
Kusema ugonjwa hautakiwi kuogopwa ni sawa na kusema akili zako hazina tofauti na za punda. Usiogope ugonjwa kwa vipi? Unaanisha ujipeleke tu bila kuchukuwa tahadhari? Mbona magojwa mwengine watu wanachukuwa tahadhari? Kweli uongozi umevamiwa
 
Kusema ugonjwa hautakiwi kuogopwa ni sawa na kusema akili zako hazina tofauti na za punda. Usiogope ugonjwa kwa vipi? Unaanisha ujipeleke tu bila kuchukuwa tahadhari? Mbona magojwa mwengine watu wanachukuwa tahadhari? Kweli uongozi umevamiwa
We ni mwehu nakufahamu.
 
Get well soon Dr Mpango. Nilipoona ile tanzia fake nilifadhaika sana.
 
Kwa hiyo kwa Kuwa yeye Ni first citizen sidmsi wengine tusijilinde japo hata kwa barakoa tu!!! Hatuna shida na yeye kulindwa au kujilinda, Ni haki yake kikatiba, shida yetu kwa Nini anasema watu wasivae barakoa Tena anaziita mabarakoa Mara mavitambara!!! Wakati yeye ana jukumu na wajibu wa kikatiba kutulinda sisi kwa kutoa uongoz sahihi?
 
Mkuu, imeandikwa "Wapendeni adui zenu,waombeeni wanaowaudhi".
Mkuu wajua ukichukulia kijuujuu kila mstari mmoja wa biblia unaweza kuanzisha dhehebu!!

Kwan hujasoma biblia hiyo hiyo kuwa auwaye kwa upanga Naye atauliwa kwa upanga?!!!
 
Amewaombea msamaha kwa Yesu au kwa Mungu? Hivi kwani watu wakifanya dhambi wanamkosea Yesu au wanamkosea Mungu? Maana nijuavyo mimi Yesu mwenyewe anamuomba Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…