ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,716
- 2,388
Actually it's the opposite, huyu hakuyumba kwenye principles. Waliompokea Lowassa ndo hawawezi kuaminika[emoji28][emoji28][emoji28]yuko vzr kichwani ila imani tena haaminiki
Kama hayo mambo yakionekana kawaida, basi na vyama vyetu vya upinzani vingi vitaonekana vya kawaida pia.Jaribu kufuatilia siasa za Kenya, hayo mambo ni kawaida sana
Chadema ilikufa siku iliyokubali kumpokea Lowassa.Kama dikteta Magufuli hakuweza kuiua CDM baasi haitakufa leo wala kesho.
Kwann asingebaki CCM aifikishe mbali? Kama ana misingi anayoisimamia against utawala kwann alirudi utawalani akala teuzi?Kama hawangemtibua Silaa ungekuta Chadema wapo juu sana. Alijitahidi kukiondoa chama kwenye mfuko wa mtu mmoja ila akamwaga manyanga.
Dhana ya Chadema kuwepo juu kutokana na mtu fulani ilimdanganya Mwendazake akawapa vyeo akina Silaa, Silinde, Nassari, Lijuakali na wengine, huku akiwapa Ubunge Halima Mdee na wenzake kwa mategemeo ya kuidhoofisha Chadema. Hii ni dhana potofu. Kilichopo ni kwamba, CCM ni sawa na Samaki aliyeoza. Hata ikitokea Freeman Mbowe akahamia CCM, Chadema itaendelea kuwa juu kwa sababu CCM imeuawa na Wanasiasa waliokikabidhi Chama hicho mikononi mwa Polisi. Kwa nini Waafrika hatujifunzi? Jeshi la Polisi la Makaburu lilikuwa na nguvu sana. Jiulizeni, kilichokuwa Chama Tawala cha Makaburu kiko wapi? Yale Magari ya kuwamwagia upupu wafuasi wa ANC ya Nelson Mandela yamehama Afrika Kusini baada ya kununuliwa na Jeshi la Polisi Tanzania, chini ya Chama cha Mapinduzi, CCM. Kwa nini CCM inashindwa kujifunza kutokana na Historia hii ya miaka ya karibuni?Kama hawangemtibua Silaa ungekuta Chadema wapo juu sana. Alijitahidi kukiondoa chama kwenye mfuko wa mtu mmoja ila akamwaga manyanga.
Tulimpa UbaloziAlipokuja ccm mlimpa nini?
Kati ya Kenya na TZ ni wapi upinzani una nguvu?Kama hayo mambo yakionekana kawaida, basi na vyama vyetu vya upinzani vingi vitaonekana vya kawaida.
Ni wapumbavu TU wanaomwita Dr .Slaa Msaliti.[emoji28][emoji28][emoji28]yuko vzr kichwani ila imani tena haaminiki
Magufuli ana mazuri yake Kama uchapakazi.. lakini Ni kiongozi mbaya Sana..Kama ni kweli basi mbowe na wahuni wenzie wamekubali kuwa chadema ipo shimoni sasa wanatafuta mtu wa kukitoa chama shimoni .. wakumbuke huyo jamaa alikuwa mfuasi wa siasa za magufuli [emoji1787]tuliwaambia chadema siku nyingi kuwa kumpinga mzalendo ni kujichimbia shimo wenyewe wakabisha ....chadema washukuru kuwa sasa hivi hakuna chama chochote cha upinzani chenye kubeba legasi ya nyerere wala magufuli vinginevyo wangebaki mdomo wazi maana kifo cha hicho chama kinge vunja rekodi ya vifo vyote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] msiwachezee watu akili aisee....Siasa ni dynamic. Hakuna rafiki wa kudumu na adui wa kudumu
Kama CCM walimpokea tena Lowasa tena kwa mbwembwe, kwa nini Chadema wasimpokee tena katibu wao mkuu bora wa wakati wote?
Chadema ya leo ni mti ambao Mzee Slaa alishiriki kuupanda.
Kwa kweli hawajitambuiChadema ni majuha hayana akili. Lowassa aliyezaliwa ndani ya CCM walimuamini, alafu Leo wanasema hawamuamini slaa
mapambano dhidi ya nini?Kwenye mapambano huwezi chagua silaha Kikubwa ushindi upatikane.
Dr. Slaa hakuisaliti CDM bali yeye alisalitiwa na viongozi wakuu wa CDM kina Mbowe. Sera ya CDM ilikuwa wazi kupinga ufisadi ulioongozwa na Lowassa. Ghafla ufisadi unaondolewa kwenye sera ya CDM na list of shame inafutwa kwenye website ya CDM. Hapo nani alisalitiwa?Na kukisaliti wakati kilipokuwa kinahitaji sana uwepo wake?
Kweli duniani maajabu hayakomi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fisadi LOW-HASAChadema ilikufa siku iliyokubali kumpokea Lowassa.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Ya Wana CCM walioikongoloa Tanzania yetu na kuifanya kama dduka lao binafisimapambano dhidi ya nini?
Kote, tatizo la Tanzania ni Tume ya uchaguzi kuwa upande wa CCM.Kati ya Kenya na TZ ni wapi upinzani una nguvu?