Bunsen Burner
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 909
- 1,101
Wakati huo mafisadi yaliyokubuhu yatakuwa yamepoteza vielelezo na ushahidi!
Kumbe na nyie mnanjaa Kali Sanaa. Tulieni CCM itawalishaa msihofuu
Imewafuga Wala ruzukuCCM itamlisha nani wakati yenyewe inategemea wizi wa kura ili iendelee kula hela za wananchi? Au unadhani kodi za wananchi ni fedha zinazotokana na miradi ya CCM?
Watamfuga nani wakati hata majengo ya urithi wa enzi za chama kimoja wameshindwa kupiga rangi? CCM ingekuwa na uwezo huo viwanja vya mpira walivyopora visingechoka kihivyo. Acheni mazoea na hela za wanaume tafadhali.Imewafuga Wala ruzuku
Ruzuku unakulaa au huliiWatamfuga nani wakati hata majengo ya urithi wa enzi za chama kimoja wameshindwa kupiga rangi? CCM ingekuwa na uwezo huo viwanja vya mpira walivyopora visingechoka kihivyo. Acheni mazoea na hela za wanaume tafadhali.
Kweli kabisa. Hata manyani yaliponyimwa mbaazi yakasema mbaazi zeneyewe mbichi. Kiboko yao tundulissu kapata mbunge mmoja tu huku alikuta wabunge 107 wa Luwassa na Dr Slaa. Akawapoteza wote kwa matusi akiwamo boss mbowe na Halima.Tulisema hapa na tunaendelea kusema kila siku. Tuna bunge la ovyo kabisa kuwahi kutokea, ovyo kabisa.
Ruzuku unakulaa au hulii
Kwani mlishakubali kuwa mligaragazwa kihalali?Nitashangaa kama hao CDM wataacha hiyo ruzuku, huku ripoti ya CAG inaonyesha wizi kiasi hicho. Yaani CDM waiache ili izidi kuibiwa?
Ndiyo maana tunahitaji katiba mpya. Kwa riport hii ya CAG bunge lilipaswa kuagirisha shuguli zingine japonkwa siku 3 kujadili report na kuielekeza serikali kuwawajibisha wapigaji.Kanuni zinamruhusu Spika kupangia ratiba taarifa ya CAG baada ya kuwa imeshakabidhiwa Bungeni?
Huu uzwazwa una malengo gani hasa?
Bunge lipi unalisema?Ndiyo maana tunahitaji katiba mpya. Kwa riport hii ya CAG bunge lilipaswa kuagirisha shuguli zingine japonkwa siku 3 kujadili report na kuielekeza serikali kuwawajibisha wapigaji.
2020 hakukuwa na uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Kwani hao wanaoiba fedha za umma ndio waliona uchaguzi ulikuwa wa maana?Kwani mlishakubali kuwa mligaragazwa kihalali?
Mbona ruzuku mnanyakua nyakua2020 hakukuwa na uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Kwani hao wanaoiba fedha za umma ndio waliona uchaguzi ulikuwa wa maana?
Mbona ruzuku mnanyakua nyakua
Simulijikanyaga eti hamtachukua mkwanja wa ruzuku kisa eti hamkubali matokeo? Sasa ndio mumukubali kwamba mligaragazwa kweupeeKwani ruzuku ni mali ya yule dhalimu aliyenajisi uchaguzi?
Fikra zako zi.eishia kwenye mambo ya vyama. Get back to your sense.Mbona huwakatazi wasipitishe bajeti ya serikali inayolipa ruzuku ya chama chako?
Jitahidi kuandika kwa ufasaha boss. Unaweza pia kurudi shule maana sasa hivi elimu ni bure.Simulijikanyaga eti hamtachukua mkwanja wa ruzuku kisa eti hamkubali matokeo? Sasa ndio mumukubali kwamba mligaragazwa kweupee
Mmmmh. Mbona na wewe ni mwanakikundiiFikra zako zi.eishia kwenye mambo ya vyama. Get back to your sense.
Umetambua elimu Bure baada ya kuvuta mkwanja wa ruzuku. Huna loloteJitahidi kuandika kwa ufasaha boss. Unaweza pia kurudi shule maana sasa hivi elimu ni bure.