Lengo gani ?. La kuwalinda mafisadi?. Huyo anamlinda mme wake, ambaye ana tuhuma za ufisadi.
Unaongea km umetoka kunya ubongo,ko unavoambiwa bunge ni dhaifu ambacho unakataa ni nini?!!HUWEZI endesha kikao cha bunge bila utaratibu
Muda wa BAJETI wakianza kuchambua ripoti ya CAG hiyo bajeti itajadiliwa lini!?
Tulishangilia wapinzani kuondolewa bungeni sasa tunalia kilio cha mbwa koko.Mkuu huu taratibu na kanuni za bunge za kujadili hii report ya CAG ni mfumo unao toa mwanya wa wahusika wa ubadilifu kujipanga kwa kuhalalisha ufisadi uliojitokeza. Nadhani muda umefika wa kuwa na utaratibu ambao utaleta tija na mafisadi kuuogopa.
Unaongea km umetoka kunya ubongo,ko unavoambiwa bunge ni dhaifu ambacho unakataa ni nini?!!
Unawekaje utaratibu wa kupitisha bajeti mpya kabla ya kuhakiki matumiz ya bajeti iliyopita na kuwawajibisha waliokwamisha miradi ya maendeleo ama kuitia hasara taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajadili bajeti gani isiyoakisi utekelezaji wa iliyopita?HUWEZI endesha kikao cha bunge bila utaratibu
Muda wa BAJETI wakianza kuchambua ripoti ya CAG hiyo bajeti itajadiliwa lini!?
SAWA tunaelewa Kuna mbinu chafu za kuzika hoja za ulaji! Rais aliomba siku 21 makatibu Wakuu watoe majawabu na Kwa ansadi ya Bunge Naibu wako Zungu alikiri Hilo linafanyika ndani ya siku hizo.Spika Tulia amesema Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano wa mwezi November 2023
Huyo ni baada ya Kamati za Bunge kuwa zimeshakamilisha wajibu wake wa kisheria.
==========
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2021/22 itajadiliwa kwenye mkutano ujao wa bunge, Novemba 2023, baada ya kamati za hesabu za Serikali kumaliza kazi zake.
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema Bunge halitachukua hoja zitakazochangiwa na mbunge sasa kuhusu ripoti ya CAG kwa sababu mkutano wa sasa wa bunge ni wa bajeti na si kujadili ripoti hiyo.
View attachment 2586406
Source: Swahili Times
Mkutano wa 11 (huu unaoendelea sasa) wa bunge ni mkutano wa bajeti.Sheria gani kafuata?. Ya kumlinda mme wake?
Basi endeleeni kupiga kelele, mnajitekenya wenyewe kwa kukosa maarifa.Lazima mtetee ufisadi eti kasoro za ukaguzi. Huyo mama yako alikuwa anamwambia nani apishe ? Kama sio wizi?. Acheni utani.
Mkuu nadhani ingependeza sana kama CAG akimaliza ukaguzi wake iwepo Taasisi ya kitaamu ambayo itashughulia KAGUZI HIZO. Aidha ni vema kabla ya ukaguzi unao fuata ni vyema Wananchi waka elezwa yatokanayo na utekelezaji wa ukaguzi uliopita. Huu utaratibu wa ukaguzi wa kila mwaka na Wananchi hawapati mrejesho wa utekelezaji wake hauna afya kwa CAG na Watanzania kwa ujumla wao.Tulishangilia wapinzani kuondolewa bungeni sasa tunalia kilio cha mbwa koko.
Tumeumizwa sana.
Wahuni si watu
Hoja makini ssnaMkuu nadhani ingependeza sana kama CAG akimaliza ukaguzi wake iwepo Taasisi ya kitaamu ambayo itashughulia KAGUZI HIZO. Aidha ni vema kabla ya ukaguzi unao fuata ni vyema Wananchi waka elezwa yatokanayo na utekelezaji wa ukaguzi uliopita. Huu utaratibu wa ukaguzi wa kila mwaka na Wananchi hawapati mrejesho wa utekelezaji wake hauna afya kwa CAG na Watanzania kwa ujumla wao.
Huyo anadhani wanambea ni wajinga, labda magu afufukeSpika Tulia anapaswa kuadhibiwa kwa kutokuona umuhimu wa kujidali ripoti hii hata kwa dharura.
Naelewa ilipaswa kamati za bunge ziipitie lkn kutoa mwanya huu mafisadi watapoteza ushahidi.
Wana Mbeya watusaidie kumwadhibu 2025
Nimesikitika sana nilipomuona Mhe. Spika akitoa taarifa kwa Wabunge kuwa taarifa ya CAG isijadiliwe katika kikao kinachoendelea sasa huko Dodoma. Najiuliza wenye hela ni sisi wananchi kwa nini taarifa hii muhimu isiendelee kujadiliwa Bungeni?. Au Serikali inaendelea kuaibika kutokana na taarifa hiyo?. Jana Mhe. Mpina alisema kuwa ukijumlisha upotevu wote wa fedha za umma ni Trillioni 33. Hili ni jambo la kusikitisha sana. Kuanzia taasisi kabisa ya juu mpaka Mtendaji wa kijiji wanatakiwa wajiuzulu mara moja.