Dodoma: Adaiwa Kumuua Mkewe kwa kumchoma kitu chenye ncha kali shingoni

Nimeshangaa sana hili, Eti amemuua kisha akalala nae🤔
 

Attachments

  • Screenshot_20261010_013028_Lite.jpg
    202.9 KB · Views: 3
Malizia story
Ilikuwa hivi dogo alivyokisimulia kijiweni ndipo wenzie wakamchoma wakamstua mzee ukaandaliwa mtego ndipo akanaswa yule dogo na ushahidi kabisa yupo na yule mama,,,alivyobanwa aisee alisimulia vitu vya hatari na vya aibu mno kuanzia kupangiwa chumba na ukumbi na kuwekewa samani zote,,, kiufupi yule mama akimuhudumia yule dogo kama mwanaume anavyohudumia mkewe halafu mbaya zaidi pesa zenyewe ni za Mkopo...maamuzi aliyokayafanya alimuandikia mkewe talaka tu ila yule mama hakuchukua miezi 2 akafariki aliumwa na nyoka na yule dogo nae aligongwa na pikipiki akafariki
 
Enhe! Hivi unadhani mzee akigundua huo Ufidhuli alochezewa atamtendaje huyo Mke? Ref Math. 24:51. ..... atamkata vipande viwili, na kumwekea fungu lake pamoja na wanafiki; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.
Inasikitisha na kufikirisha sana.
Kuna mambo yanaumiza mno na kila mmoja ana namna yake anavyoweza kulihimili jambo...Ndio maana unakuta mama anafariki watoto wake wakiambiwa taarifa Kuna mwingine anaweza kuzimia mwingine akalia sana na mwingine asilie kabisa tafsiri yake kila mmoja ana namna ya kulihimili jambo....
 
Kuna tatizo la Afya ya akili kwa watanzania wengi kwa Sasa. Serikali ifanye jambo, kuua imekua jambo rahisi sana. Sasa huyu kaua na kalala na maiti mpaka asubuhi.
 
Sheria ya umiliki silaha ikifanyiwa marekebisho na zikapatikana kana kwamba kila mtu aokote mgao wake.
Nchi itajaa mizoga.
 

Imeandikwa ishi nao kwa akili
 
Wachungaji, Mapadri, Masheikh na Waganga wafanye matambiko ya kitaifa
Kushindwa kwa mapadri, wachungaji, mashekhe na viongozi wa dini kwa ujumla ndio sababu ya hali hii iliyopo nchini..

Ufisadi
Mauaji
Wizi
Ushoga
Uchawa
Uzinzi
Uasherati
Ushirikina

Hivi vyote vingetoweka au kupungua kama hawa wanaoitwa watumishi wa Mungu wangetimiza majukumu yao.
 
Kiumbe kingine kimejaribu kuedit hati,pengine kuna mkakati maalumu wa kupunguza idadi ya hivi viumbe ifikapo ishirini arobaini(2040) maana inasemekana ni vingi kupindukia
 
Wanawake wa leo wasikie tu. Tena wanaitumia kama silaha kukomoa. Ingawa wakati mwingine wanakuwa sahihi hasa akihisi mumewe "hajatulia" analinda afya yake ila mwanaume haelewi then migogoro hatimaye mauwaji.
Sasa ikifikia hiyo hatua si watu waachane?. Mimi sielewi watu kwanini waishi nyumba moja wakati hawaeleweni. Hakuna sheria inalazimisha watu waishi pamoja kama hawawezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…