Afya ya akili na mihemko inachangia..!!Mahii wanaume watanzania wanachanganyikiwa
Wafanyiwe vipimo
Acheni kusingizia pombeMambo ya pombe hayo!
Nashindwa kuelewa ,tangu oct 1 matukio yamekuwa mengi sanaKwamba ni kumbukizi?
Acheni kusingizia pombe
Kuna mmoja ka comment huko juu et here we go anajiona mwamba kumbe jinga la mwisho na mihemko ipo juu kuliko ufanisi wa akiliAfya ya akili na mihemko inachangia..!!
Sikujua kama watu wengi wana tatizo la afya ya akiliSi umeona hapa jukwaani baadhi ya wanaume wanamsifu Kweka bila aibu.
Vipi huko mtaani kwenye vijiwe?
Wanapeana ushauri mbovu na hao vichaa kwa mihemko yao wanatekeleza wakijua ndo UANAUME kumbe ni upumbavu..!!
muache akae huko mpaka huu upepo upiteMie wangu hayupo nchini, ana week ya 2 sasa.
Ndoa zenye miaka 20 kushuka chini zisitishwe kwa muda, wanandoa wasubiri kupangiwa utaratibu mwingine wa kuishi baada ya kujiridhisha kuwa wapo sawa.
Katazo la kufunga ndoa la dharura lipitishwe ndoa zianze kufungwa tena hali itakapokuwa shwari nchi nzima...TAHARUKI imetanda katika Mtaa wa Mailimbili Darajani, jijini Dodoma, kufuatia tukio la mwanamume anayedaiwa kumuua mkewe kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali shingoni.
Marehemu ametambuliwa kwa jina la Shukran Riziki (30) na mtuhumiwa ni Khatibu Mfaume, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 39.
Kwa mujibu wa taarifa za awali, tukio hilo linadaiwa kutokea jana, huku wanandoa hao wakitajwa kuwa na historia ya kugombana mara kwa mara.
Baada ya tukio hilo, Mfaume anadaiwa kwenda kunywa pombe kabla ya kurejea nyumbani na kulala karibu na mwili wa mkewe.
Taarifa zaidi zinaeleza kuwa asubuhi ya leo, Oktoba 9,2026 mtuhumiwa alikwenda kujisalimisha katika kituo cha polisi cha kata kabla ya kuhamishiwa Kituo Kikuu cha Polisi Dodoma.
Tayari Jeshi la Polisi limefika katika eneo la tukio kwa ajili ya kuuchukua mwili wa marehemu na kuendelea na taratibu za uchunguzi.
Hata hivyo, maelezo hayo ni ya awali na sababu kamili za tukio hilo bado hazijathibitishwa rasmi.
Soma Pia: Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam
Kuna kitu cha kufanya kuwaandaa vijana toka msingi huko kwa ajili ya maisha ya familia - emotional intelligence, familia na malezi, wajibu na haki katika ndoa, etc ni maandalizi muhimu sana hasa hawa Gen Z na watakaofuata. Yaani kuna vijana wanaingia kwenye ndoa bila hata kujua kwanini wanaoana!Afya ya akili na mihemko inachangia..!!
Si umeona hapa jukwaani baadhi ya wanaume wanamsifu Kweka bila aibu.
Vipi huko mtaani kwenye vijiwe?
Wanapeana ushauri mbovu na hao vichaa kwa mihemko yao wanatekeleza wakijua ndo UANAUME kumbe ni upumbavu..!!
Lini uliona nikiongelea ukabila mimiSasa si umesikia alienda kulewa akarudi kufanya tukio! π
Hukawii kuingiza uchaga hapa wewe!
We bhana.. kusema kuna pepo la taifa linaandama labda tupo pamoja.. Maana damu imemwagika shekhe.!Hii miezi Wanaume wenzangu hebu tuchukue mapumziko twende hata hapo Forodhani tukale urojo, ili kama kuna pepo linatuandama la kuua wenza wetu lishindwe na lilegee
It doesn't make sense to kill your beloved wife whom you promised, you will protect to death
Uko wapi ule upendo wa mwanzoni wakati ambapo majina ya honey, sweetheart, nyonga mkalia ini yalikuwa hayakauki midomoni mwetu?
Haijalishi amekukosea kwa kiwango gani, hastahili kulipwa kifo.
Wanandoa Mungu atusaidie, huyu shetani anayetunyemelea kwa kuua wenza wetu ashindwe na alegee
Lini uliona nikiongelea ukabila mimi
Ukabila na udini ndio upumbavu no moja nisiopenda
Hakuna kisingizio cha kuua mtu hakuna sababu inayotosha kumuua mkeo
Wanaume wenye roho za kuku acheni kujihusisha na mahusiano nendeni mkafie kwenye vibanda vya betting
Nyumbani kusikose fimbo na mijeledi ya kutosha maana walishaanza kutupanda kichwaniWanaume round hii tumeamua ππ
Karibu πBasi sawa, nimekuelewa. π
Namaanisha ambao wameshaoana ila ndoa zina <20 years, zisitishwe kwanza mpaka hapo baadae maana ni mwendo wa kutoana uhai tu na ukitazama zote ni ndoa hazina >20.Watu waoane wakifikisha miaka mingapi ?
Ndoa ndio fani pekee yenye cheti ambacho watu wanakipata bila proof of mastery of the art!TAHARUKI imetanda katika Mtaa wa Mailimbili Darajani, jijini Dodoma, kufuatia tukio la mwanamume anayedaiwa kumuua mkewe kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali shingoni.