StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Kama Kiroho hawajakombolewa haitasaidia chochote!Kuna kitu cha kufanya kuwaandaa vijana toka msingi huko kwa ajili ya maisha ya familia - emotional intelligence, familia na malezi, wajibu na haki katika ndoa, etc ni maandalizi muhimu sana hasa hawa Gen Z na watakaofuata. Yaani kuna vijana wanaingia kwenye ndoa bila hata kujua kwanini wanaoana!
hili ni kundi ovu kundi linaloitaji vipimo vya afya ya akiliKupitia haya matukio, wapo wanaume wanaofurahia
ni bora zaidi kuliko hayalakini wapo wanaume wanaondelea kujenga uwoga wa kuingia kwa ndoa.
Hiki nacho ni kitu gani💔Kitakachotokea mbele huko ni waume kuoa waume wenzao. Ujasiri wa kiume unatoweka taratibu.
Sio kwamba dini, imani, the so called kiroho zimefeli?Kama Kiroho hawajakombolewa haitasaidia chochote!
Haiwezekani kuzuia kama watu hawajakombolewa kiroho!Daaaaah si jambo la kufrahia kuna haja ya kama taifa kutafakari kwa kina na kuchukua hatua za kuzuia haya mambo kwasababu hawa wanaouawa inawezekana leo hawatuhusu lakini kuna siku moja watakua Dada zetu, Shangazi zetu, Mama zetu, wadogo zete na hata ndugu zetu. Narudia inaweza isiwe leo ama kesho ama keshokutwa lakini ipo tu siku. Bila kujali mtu kafanya kosa gani lakini kutoa adhabu ya kifo kwa mtu mwingine ni mbali sana huko kama hayawezekani bora watu waachane tu.
Mimi sio kijana; nina kaumri kangu.Mkuu,
Umeongea kama upo na kijana mwenzako, nieleweshe vizuri.
So sad and embarrassing. On the point of "go"; it is not less than 3yrs + before his case can be mentioned for the first time.Sad, he'll spend the rest of his fucking life behind bars until the law states otherwise.
Hilo halina cha Udini wala nini. Ni Ibilisi/Shaitwan tu katamalaki na si vinginevya.
Exactly dearJF machizi tunao wengi na ndo hao wa mtaani wauaji..!!
Wanataka kuheshimiwa hata kwenye hamnaHapa jukwaani ukitaka upendwe na wanaume usiwakosoe, wakikutukana unyamaze..!! Hapo utasifiwa mpole na una haiba ya kike.
Nina ushuhuda kuna siku nimeporomoshewa matusi na I'd ambayo sikuwahi kuiona kablaJaribu kumjibu uone mtiti wake..
Atakutafutia parody ili aje akutukane, akushushie heshima. Hapo ni mtandaoni.
Vicha niwengi clinic za afya ya akili zifunguliweSasa mijitu kama hiyo uraiani inakuua kwa kukosa akili na jinsi ya kuzuia mihemko yao.
Ndio ujue vichaa na wenye changamoto ya afya ya akili ni wengi.
Unataka kusema as long as Chanzo kitaendelea kuwepo, sio rahisi kupata Mwarobaini?Maadam chanzo bado kipo,yatendelea kuwepo!
Well said mkuuHiyo ni njia(Mtindo ) ya kizamani sana - mwaka 47. Mwanaume unatakiwa au unashauriwa kuonesha umahiri katika kutumia akili zaidi kuliko kutenda kwa mihemuko au kukurupuka. Kumbuka Hasira Hasara.
Ndio maana ake. Sipendi kujifariji kwenye hamna. Ukweli lazima usemwe!Unataka kusema as long as Chanzo kitaendelea kuwepo, sio rahisi kupata Mwarobaini?
Kuna kitu cha kufanya kuwaandaa vijana toka msingi huko kwa ajili ya maisha ya familia - emotional intelligence, familia na malezi, wajibu na haki katika ndoa, etc ni maandalizi muhimu sana hasa hawa Gen Z na watakaofuata.
Hilo ni kweli kabisaYaani kuna vijana wanaingia kwenye ndoa bila hata kujua kwanini wanaoana!
Nikweli mauaji hayafai ila kiukweli Kuna muda mtu unafanya tu bila kujali kitu...wenyeji wa soko kuu lindi wanakijua kisa cha mzee mmoja alishauriana na mkewe wakope pesa ili wafanyie biashara ya vinywaji ,,,,na kweli wakakopa pesa ndefu tu mke ndie akawa Anakaa dukani sasa kama unavyojua ujinga wa sokoni dogo ambae ni sawa na mtoto wao ndie akawa anamla yule mama na mama nae akaelewa mikito dogo akanunuliwa pikipiki TVs iliyotumikaNaona kuna wapuuzi humu wapo proud kabisa kuua wanawake,acheni ujinga,jua hata dada yako ipo siku atafikiwa
Hawaelewi tunda linahitaji kumwagiliwa daily tena with care ili liendelee kumea na kupendeza in all aspects.Hilo ni kweli kabisaWengi wao hudhani wanaoana ili wajilie Tunda "at room temperature"
Sasa mkuu; Kama chanzo kimebainika na kipo tufanyeje? The way forward p/s.Ndio maana ake. Sipendi kujifariji kwenye hamna. Ukweli lazima usemwe!
Safi kabisaa. Na hapo ndipo wanapofeli.Hawaelewi tunda linahitaji kumwagiliwa daily tena with care ili liendelee kumea na kupendeza in all aspects.
Yamkini wewe ni miongoni mwa wahanga wa kutoelewa kwa nini Yesu aliacha enzi yake mbinguni akaja duniani. Ndio maana huoni tofauti Kati ya Dini/Imani na Wokovu.Sio kwamba dini, imani, the so called kiroho zimefeli?
Dini/imani na mwanadamu ni kipi/yupi mkuu kuliko kingine?Yamkini wewe ni miongoni mwa wahanga wa kutoelewa kwa nini Yesu aliacha enzi yake mbinguni akaja duniani. Ndio maana huoni tofauti Kati ya Dini/Imani na Wokovu.
Kwa faida yako ni kwamba Dini or the so called Imani has nothing to do with setting individuals free from spiritual slavery. Mtu akiwa mtumwa anatenda mambo ambayo hayapendi ndio kama haya ya kuua halafu baadae unaanza kujutia.
Utumwa wa kiroho ndio anguko la Mwanadamu lilipo bila kujali status yake!
WARUMI 7
14 Kwa maana twajua ya kuwa torati asili yake ni ya rohoni; bali mimi ni mtu wa mwilini, nimeuzwa chini ya dhambi.
15 Maana sijui nifanyalo, kwa sababu lile nilipendalo, silitendi; bali lile nilichukialo ndilo ninalolitenda.
16 Lakini kama nikilitenda lile nisilolipenda, naikiri ile sheria ya kuwa ni njema.
17 Basi sasa si mimi nafsi yangu ninayetenda hilo, bali ni ile dhambi ikaayo ndani yangu
18 Kwa maana najua ya kuwa ndani yangu, yaani, ndani ya mwili wangu, halikai neno jema; kwa kuwa kutaka nataka, bali kutenda lililo jema sipati.
19 Kwa maana lile jema nilipendalo, silitendi; bali lile baya nisilolipenda ndilo nilitendalo.
20 Basi kama lile nisilolipenda ndilo nilitendalo, si mimi nafsi yangu nilitendaye, bali ni ile dhambi ikaayo ndani yangu.
YOHANA 8
36 Basi Mwana akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli.
Enhe! Hivi unadhani mzee akigundua huo Ufidhuli alochezewa atamtendaje huyo Mke? Ref Math. 24:51. ..... atamkata vipande viwili, na kumwekea fungu lake pamoja na wanafiki; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.Nikweli mauaji hayafai ila kiukweli Kuna muda mtu unafanya tu bila kujali kitu...wenyeji wa soko kuu lindi wanakijua kisa cha mzee mmoja alishauriana na mkewe wakope pesa ili wafanyie biashara ya vinywaji ,,,,na kweli wakakopa pesa ndefu tu mke ndie akawa Anakaa dukani sasa kama unavyojua ujinga wa sokoni dogo ambae ni sawa na mtoto wao ndie akawa anamla yule mama na mama nae akaelewa mikito dogo akanunuliwa pikipiki TVs iliyotumika