Unataka nchi wakabiziwe Wana jeshi ili yatukute ya Sudan [emoji848]

Hapana tunataka utawala wa kiraia wanajeshi wabaki kambini
 

Kweli kabisa mkuu.
 
Yani mie sielewi hivi inakuwaje Mwanaume mzima unashindwa kum comtrol Mwanamke hadi akufuate fuate.
Kama kashindwa kumcontrol ndani unadhani atamuweza nje. 😀
Mungu amsaidie apone
Kwanini anamuogopa mkewe ivo?
Mke akiwa mtata lazma uingie ubaridi maana wengine hawana aibu anaweza kukujazia nzi. 🤣
 
"Mwamba alikosea timing",hayo ni maneno ya kujifariji ya watu wenye tabia yake,tunasahau kuwa za mwizi ni 40...
 
Uislam mwema sana, angekuwa Muislam angekuwa na mke zaidi ya mmoja kihalali kabisa.

Hakika, kila msiba ni mawaidha kwa tulio hai.

Hahahahah!!sawa mama lakini Mbona wapo Waislam tena ukute anamke zaidi ya mmoja na bado anapiga show za nje?Umetolewa Mfano mmoja wa Yule Mbunge(Naibu Waziri) Mwaka 2012 aliye Ibiwa Hotelini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…