Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari
Serikali msijaribu kulificha suala la ajali ya Waziri Dugange, maana kama ilivyo KARMA itaondoka na vichwa vya watu.
Mwanzo kabisa zilitokea tetesi:
1. Naibu waziri apata ajali akiwa na gari la serikali akikimbizwa kufumaniwa na mke. Mpenziwe afariki kutokana na ajali hiyo.

2. Tetesi hizo zilikanushwa na Polisi, na kukanusha kuwa hakuna aliyefariki ajali hiyo

3.Makamu wa Rais alimtembelea Naibu Waziri hospitali.

4.Mpenzi wa Naibu Waziri bado hakujulikana, bodoboda waliofika eneo la ajali waliona maiti ya mwanamke.

5.Tunapata habari mwanafunzi Nusra Hassan ati kafia Moshi kilimanjaro kwa kipigo cha mpenzi wake.
Jina la mpenzi wake halijulikani.

6. Hospitali huko Himo Moshi, inakanusha kumpokea Nusra hospitalini hapo.

7. Taarifa mkanganyiko za kifo cha Nusrat Hassan toka chuoni kwake UDOM, zinakubali kutokea kifo lakini hazielezi mazingira wala sababu za kifo, wala kama wameripoti polisi.

8. Polisi kama kawaida inafuatilia tu taarifa za mitandao, haikiri kama kuna RB imefunguliwa na mtu yeyote.

9. Ndugu wa Marehemu Nusra isivyo kawaida hawajajitokeza hadharani kudai taarifa sahihi za kifo cha ndugu yao.

KUTOKANA na mlolongo huo ni dhahiri sasa mtu mwenye akili atagundua kuwa mwanamke aliyekuwa na Dugange si ajabu ni huyo Nusra, hatuna uhakika huo, lakini mazingira ya tukio yana shabihiana.

Hivyo basi, POLISI na Dugange , mumwogope Mungu.
Kubalini na muwe wakweli kwa yaliyotokea ili ukweli ukidhihirika wananchi watakuwa wepesi kusamehe.

Lakini mkipandikiza uongo juu ya uongo mbingu na nchi hazitawasamehe.

Mbaya zaidi mnamharibia Mama Samia, hatutaki kurudi kule tulikotoka, kuficha ukweli.
Kuna mdau mmoja alisema anao clip, anasubiria taarifa ya uchunguzi ya Polisi itoke!
 
Msanii amekufa na mambo yanatanzuliwa kisanii.
Kama ni kosa kufanya cover up I 'm not qualified to say.
Lakini it is fantastic kumpata Polisi ashiriki katika cover up,kumpata daktari ashiriki katika cover up.
Familia labda watadai fidia. Je,ni cover up ya kuokoa hela za Waziri?
Daktari kasema Nusra kafa Moshi kwa blood pressure.
BAADA ya Daktari kusema hivyo,Afande Misimi anasema,kafa Moshi,ndiyo,lakini hakuwepo ndani ya gari la Waziri.
Kama mtu ana habari tofauti,aje Polisi kutuambia.
Badala ya kusema kitu definitive,anaongea vague remarks.
Ashukuru tu boda boda waliona maiti kwenye scene ya ajali ama sivyo wangeambiwa wamemuua kwa kutaka kwenda Moshi kumtibu.
 
[emoji1] maana siyo kwa speed hizo za kutoka baru [emoji1]
Au mke anamtandikaga

Ova

Mke amekosea sana!

Kitendo cha kutafuta watu wa kwenda kulianzisha na kufanya fujo pamoja na kukodi waandishi wa habari ni jambo baya sana.

Mambo ya kufumaniana yameshapitwa na wakati.

Baki vumilia huku mkionyana au kubali kuachana ukaanze maisha yako kivingine kuliko kutafutiana mabalaa hivyo!
 
Ukiamua kufumania uwe na utayari wa kuachana ,

Lakini kufumania halafu ukabaki kuendelea kuishi pamoja ni upumbavu [emoji108]

Kama huwezi kuachana na ku-move on usipekenyue Simu wala kutafuta kujua Kama ana-cheat au la .

Ibaki kuombeana, kuonyana kwa upendo .
 
Serikali msijaribu kulificha suala la ajali ya Waziri Dugange, maana kama ilivyo KARMA itaondoka na vichwa vya watu.
Mwanzo kabisa zilitokea tetesi:
1. Naibu waziri apata ajali akiwa na gari la serikali akikimbizwa kufumaniwa na mke. Mpenziwe afariki kutokana na ajali hiyo.

2. Tetesi hizo zilikanushwa na Polisi, na kukanusha kuwa hakuna aliyefariki ajali hiyo

3.Makamu wa Rais alimtembelea Naibu Waziri hospitali.

4.Mpenzi wa Naibu Waziri bado hakujulikana, bodoboda waliofika eneo la ajali waliona maiti ya mwanamke.

5.Tunapata habari mwanafunzi Nusra Hassan ati kafia Moshi kilimanjaro kwa kipigo cha mpenzi wake.
Jina la mpenzi wake halijulikani.

6. Hospitali huko Himo Moshi, inakanusha kumpokea Nusra hospitalini hapo.

7. Taarifa mkanganyiko za kifo cha Nusrat Hassan toka chuoni kwake UDOM, zinakubali kutokea kifo lakini hazielezi mazingira wala sababu za kifo, wala kama wameripoti polisi.

8. Polisi kama kawaida inafuatilia tu taarifa za mitandao, haikiri kama kuna RB imefunguliwa na mtu yeyote.

9. Ndugu wa Marehemu Nusra isivyo kawaida hawajajitokeza hadharani kudai taarifa sahihi za kifo cha ndugu yao.

KUTOKANA na mlolongo huo ni dhahiri sasa mtu mwenye akili atagundua kuwa mwanamke aliyekuwa na Dugange si ajabu ni huyo Nusra, hatuna uhakika huo, lakini mazingira ya tukio yana shabihiana.

Hivyo basi, POLISI na Dugange , mumwogope Mungu.
Kubalini na muwe wakweli kwa yaliyotokea ili ukweli ukidhihirika wananchi watakuwa wepesi kusamehe.

Lakini mkipandikiza uongo juu ya uongo mbingu na nchi hazitawasamehe.

Mbaya zaidi mnamharibia Mama Samia, hatutaki kurudi kule tulikotoka, kuficha ukweli.
 
Hili suala nimeisha andika sn humu kwamba inakuwaje ndugu au wazazi wa huyu anaesemekana kufariki hawajitokezi hadharani kutoa hii taaruki. Hawa nao ni wahuni popote walipo ebu wakamatwe ili wanyooshe maelezo. Haiwezekani ndugu au mtoto wenu imesemekana amekufa kiutata alafu nyie mnaingia mitini. Huo siyo uhuni kweli. Wakamatwe hao maana wanaosababisha taharuki.

Pili Kuna taarifa zinasena eti mwenyekiti wa Kijiji anachotokea huyo Nusra kasema hapo kijijini kwake hakuna mtu aliekufa Wala hakuna msiba ktk kaya zake. Maajabu haya.

Jana usiku taarifa ya habari Azam TV kuna daktari wa hospitali moja huko Kilimanjaro (nimeisahau jina) alidai Nusra alifikishwa hapo hospitali na jamaa mmoja ( hakumtaja jina) na kupokelewa huku akiwa na hali mbaya. Alisema vipimo vilionesha kuwa sukari ilikuwa imepanda na figo zilikuwa na shida. Aliendelea kusema kuwa mbali na jitihada za madaktari lakini Nusra alifariki, ingawa hakusema km maiti Ilichukuliwa au bado ipo mochwali. Na km Ilichukuliwa nani alieichukuwa na km bado ipo mochwali ndugu wanasemaje.

Maajabu haya.
 
Kwani shida ni Nini!?

Rais Samia piga chini huyo kijana wako chagua mwengine.

Ni muhuni tu anakuchafulia serikali Yako.

Na polisi wanafaka kumfichia aibu kwa UZINZI wake
Kwaio kelele zote hizi Kumbe kinachotakiwa apigwe chini tu... Watanzania tuache roho mbaya na chuki dhidi ya viongozi.hata akipigwa chini nafasi iyo Huwezi kupewa Wewe
 
Tatizo kubwa ni kuwa Tanzania hatuna media bali waganga njaa waliofeli maisha wakaigiza ni waandishi wa habari. Hili jambo ni rahisi mno mno kupata ukweli wake tena na ushahidi usio na shaka kama mwandishi wa habari akiamua kufuatilia. Kina Pascal Mayalla kazi kuganga njaa tu.
Pamoja na ukweli kuwa media yetu tuna matatizo, it's not fair kutunyooshea vidole waandishi wote kuwa kazi yetu ni kuganga njaa!.

Kwenye uandishi wa habari pia kuna specialization of occupational, na news pia ziko za aina nyingi, kuna hard news na soft news, kuna magazeti yanaandika serious stuff kama broadsheet na mainstream media, na kuna magazeti yanaandika soft news na hadi umbeya kama tabloids na mitandao ya jamii. Mimi ni serious journalist, nimejikita kwenye kuandika hard news ambazo ni developmental news only!.

Matatizo ya media zetu nayajua na nimeisha yaeleza humu Tanzania tuna uhuru wa habari, ila media oga! Tungekuwa mbali sana kimaendeleo, rushwa, uhujumu, ufisadi, ubadhirifu vingeibuliwa kabla
P
 
Back
Top Bottom