Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Wale ndo wala nchi wenyeweUnafikiri wanajali
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale ndo wala nchi wenyeweUnafikiri wanajali
Ova
Kuna mdau mmoja alisema anao clip, anasubiria taarifa ya uchunguzi ya Polisi itoke!Serikali msijaribu kulificha suala la ajali ya Waziri Dugange, maana kama ilivyo KARMA itaondoka na vichwa vya watu.
Mwanzo kabisa zilitokea tetesi:
1. Naibu waziri apata ajali akiwa na gari la serikali akikimbizwa kufumaniwa na mke. Mpenziwe afariki kutokana na ajali hiyo.
2. Tetesi hizo zilikanushwa na Polisi, na kukanusha kuwa hakuna aliyefariki ajali hiyo
3.Makamu wa Rais alimtembelea Naibu Waziri hospitali.
4.Mpenzi wa Naibu Waziri bado hakujulikana, bodoboda waliofika eneo la ajali waliona maiti ya mwanamke.
5.Tunapata habari mwanafunzi Nusra Hassan ati kafia Moshi kilimanjaro kwa kipigo cha mpenzi wake.
Jina la mpenzi wake halijulikani.
6. Hospitali huko Himo Moshi, inakanusha kumpokea Nusra hospitalini hapo.
7. Taarifa mkanganyiko za kifo cha Nusrat Hassan toka chuoni kwake UDOM, zinakubali kutokea kifo lakini hazielezi mazingira wala sababu za kifo, wala kama wameripoti polisi.
8. Polisi kama kawaida inafuatilia tu taarifa za mitandao, haikiri kama kuna RB imefunguliwa na mtu yeyote.
9. Ndugu wa Marehemu Nusra isivyo kawaida hawajajitokeza hadharani kudai taarifa sahihi za kifo cha ndugu yao.
KUTOKANA na mlolongo huo ni dhahiri sasa mtu mwenye akili atagundua kuwa mwanamke aliyekuwa na Dugange si ajabu ni huyo Nusra, hatuna uhakika huo, lakini mazingira ya tukio yana shabihiana.
Hivyo basi, POLISI na Dugange , mumwogope Mungu.
Kubalini na muwe wakweli kwa yaliyotokea ili ukweli ukidhihirika wananchi watakuwa wepesi kusamehe.
Lakini mkipandikiza uongo juu ya uongo mbingu na nchi hazitawasamehe.
Mbaya zaidi mnamharibia Mama Samia, hatutaki kurudi kule tulikotoka, kuficha ukweli.
DuhKuna mdau mmoja alisema anao clip, anasubiria taarifa ya uchunguzi ya Polisi itoke!
Ndio mkuu, sasa huoni kama asingekimbia na mke angemfumania hapo batani, si angemuwashia moto na video zingesambaa sana mitandaoni?
[emoji1] maana siyo kwa speed hizo za kutoka baru [emoji1]Si angekanusha tu kwa kusema ni ndugu yake?
Kwani mke anawajua ndugu wa mume wote?
[emoji1] maana siyo kwa speed hizo za kutoka baru [emoji1]
Au mke anamtandikaga
Ova
Serikali msijaribu kulificha suala la ajali ya Waziri Dugange, maana kama ilivyo KARMA itaondoka na vichwa vya watu.
Mwanzo kabisa zilitokea tetesi:
1. Naibu waziri apata ajali akiwa na gari la serikali akikimbizwa kufumaniwa na mke. Mpenziwe afariki kutokana na ajali hiyo.
2. Tetesi hizo zilikanushwa na Polisi, na kukanusha kuwa hakuna aliyefariki ajali hiyo
3.Makamu wa Rais alimtembelea Naibu Waziri hospitali.
4.Mpenzi wa Naibu Waziri bado hakujulikana, bodoboda waliofika eneo la ajali waliona maiti ya mwanamke.
5.Tunapata habari mwanafunzi Nusra Hassan ati kafia Moshi kilimanjaro kwa kipigo cha mpenzi wake.
Jina la mpenzi wake halijulikani.
6. Hospitali huko Himo Moshi, inakanusha kumpokea Nusra hospitalini hapo.
7. Taarifa mkanganyiko za kifo cha Nusrat Hassan toka chuoni kwake UDOM, zinakubali kutokea kifo lakini hazielezi mazingira wala sababu za kifo, wala kama wameripoti polisi.
8. Polisi kama kawaida inafuatilia tu taarifa za mitandao, haikiri kama kuna RB imefunguliwa na mtu yeyote.
9. Ndugu wa Marehemu Nusra isivyo kawaida hawajajitokeza hadharani kudai taarifa sahihi za kifo cha ndugu yao.
KUTOKANA na mlolongo huo ni dhahiri sasa mtu mwenye akili atagundua kuwa mwanamke aliyekuwa na Dugange si ajabu ni huyo Nusra, hatuna uhakika huo, lakini mazingira ya tukio yana shabihiana.
Hivyo basi, POLISI na Dugange , mumwogope Mungu.
Kubalini na muwe wakweli kwa yaliyotokea ili ukweli ukidhihirika wananchi watakuwa wepesi kusamehe.
Lakini mkipandikiza uongo juu ya uongo mbingu na nchi hazitawasamehe.
Mbaya zaidi mnamharibia Mama Samia, hatutaki kurudi kule tulikotoka, kuficha ukweli.
Ataliwa kichwa alafu cheo chake mtapewa nyie wenye chuki dhidi yakeIla NW lazima ataliwa kichwa wanasubiri uji upoe utando ukae juu
Kwaio kelele zote hizi Kumbe kinachotakiwa apigwe chini tu... Watanzania tuache roho mbaya na chuki dhidi ya viongozi.hata akipigwa chini nafasi iyo Huwezi kupewa WeweKwani shida ni Nini!?
Rais Samia piga chini huyo kijana wako chagua mwengine.
Ni muhuni tu anakuchafulia serikali Yako.
Na polisi wanafaka kumfichia aibu kwa UZINZI wake
Pamoja na ukweli kuwa media yetu tuna matatizo, it's not fair kutunyooshea vidole waandishi wote kuwa kazi yetu ni kuganga njaa!.Tatizo kubwa ni kuwa Tanzania hatuna media bali waganga njaa waliofeli maisha wakaigiza ni waandishi wa habari. Hili jambo ni rahisi mno mno kupata ukweli wake tena na ushahidi usio na shaka kama mwandishi wa habari akiamua kufuatilia. Kina Pascal Mayalla kazi kuganga njaa tu.
kwa kweli anatuonea bure!.Muachieni Paskali jamani🤣
Mwenyekiti wa Kijiji cha Uchira akana kutokea kifo cha Mwanafunzi wa UDOM
Kufuatia tukio la kifo cha Mwanafunzi wa chuo Kikuu cha Dodoma Nusura Hassan Abbdallah kuendelea kujadiliwa katika mitandao ya kijamii, vyombo vya Habari na watu mbalimbali wakitaka uchunguzi wa kina kufanyika ili ukweli kupatikana, @Jambotv_ imefanya mahojiano maalumu na Mwenyekiti wa Kijiji...www.jamiiforums.com