Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kwamba yeye hashindi kwenye kiyoyozi? Kwamba yeye haindeshwi kwenye gari ya kiyoyozi? Kwamba watoto wake hawasomi "international schools"??mkuu wa mkoa anamaanisha anachosema na amerudiarudia kutia msisitizo
Exactly! Hilo jukwaa halikuwa sahihi kabisa kwa maneno hayo!Angelitafuta forum ya staha kusema aliuoyasema na si kubwatuka
Ukweli hutafuta namna ya kumtoka mtu,ili awe huru na kufika panapo husika,ila kwa kawaida huwa ukweli no mchungu ila anaekubali kuumeza huweza kurekebisha yasiyo sawa.Mtaka Hana adabu kabisa. Nigelikuwa Samia I would have fired him immediately. Angelitafuta forum ya staha kusema aliyoyasema na si kubwatuka mbele za wazazi kumdhalilisha mteule mwenzake. Mtu anaweza kugeneralise kuwa the gov is disunited in it's dealings Amesema màneno ya kishenzi akiwa part of the government machinery.
Hafai kukalia ofisi ya umma.
Ni kweli hakuna kitu nachukua kwa kila mtu kujifanya mjuaji haya mambo ndio Makonda alikuwa anafanya,huku ni kukosa adabu kwa huyu jamaa mnaemsifiaga Sana wakati hana u special wowoteSwala la Elimu yetu kufanywa kama mpira wa danadana na kila mmoja kuwa anachezea, ni makosa makubwa sana, mwongozo wa pamoja uko wapi?
Napingana na huyo mkuu wa mkoa wenu pendwa, Inakuweje awe na mpango wa kivyake vyake?
Mkuu wa mkoa wa Songea naye awe na matako yake, na wa mikoa mingine, tutakuwa taifa la aina gani?
Acha kumtetea yule muha ana matatizo sana. Ni mambo ya kawaida kusemwa hadharani. Hata hao waliotuletea haya masystem wanasemana hadharani. Kila kitu kifichwefichwe ili iweje? Mambo hadharani muone ukihiyo wa waziri wenu. Narudia dozen times she has proved to be pathetic!Mtaka Hana adabu kabisa. Kungelikuwa Samia I would have fired him. Angelitafuta forum ya staha kusema aliuoyasema na si kubwatuka
Hilo neno matako umejisahau au ni maksudi bro! AhahahahSwala la Elimu yetu kufanywa kama mpira wa danadana na kila mmoja kuwa anachezea, ni makosa makubwa sana, mwongozo wa pamoja uko wapi?
Napingana na huyo mkuu wa mkoa wenu pendwa, Inakuweje awe na mpango wa kivyake vyake?
Mkuu wa mkoa wa Songea naye awe na matako yake, na wa mikoa mingine, tutakuwa taifa la aina gani?
Huu ndio uhuru wa maoni tunaoutaka CHADEMA alisikika mwana Bavicha mmoja kwenye kilabu cha chang’aaMtaka Hana adabu kabisa. Kungelikuwa Samia I would have fired him. Angelitafuta forum ya staha kusema aliuoyasema na si kubwatuka
Siku zote nimekuwa nasema Ndalichako doesn’t add up kama Phd; she is just too shallow ukimsikiliza mara nyingi.
Au mzee wa kutuliza kalio yule wa IringaSijui kama atabaki salama. Nahisi kitaota nyasi soon akaungane Chalamila
Usiku kucha unasoma nini hicho?Umeona! Ila inaudhi kudanganya watoto. Sisi tulisoma usiku kucha leo ati saa 9 tu! Big no
Akiwa na mama yako kwenye kilabu Cha chang'aaHuu ndio uhuru wa maoni tunaoutaka CHADEMA alisikika mwana Bavicha mmoja kwenye kilabu cha chang’aa
😂😂😂😂😂 akiwa na mimi bahasha wakeAkiwa na mama yako kwenye kilabu Cha chang'aa
Mhaya! RutaAcha kumtetea yule muha ana matatizo sana. Ni mambo ya kawaida kusemwa hadharani. Hata hao waliotuletea haya masystem wanasemana hadharani. Kila kitu kifichwefichwe ili iweje? Mambo hadharani muone ukihiyo wa waziri wenu. Narudia dozen times she has proved to be pathetic!
Yaani ulitaka waziri ndio atangaze kambi nje kabisa ya sera ya kitaifa ya elimu kuhusu muda? Hatuwezi kwenda holela bila sera inayotuongoza. Mtaka hayuko sahihi kumshambulia waziri kiasi kile kuhusu muda na kambi. Local arrangements zake asitake kuzilazimisha kuwa sera ya kitaifa.Changamoto za maeneo unazijua mkuu kiufupi mkuu wa mkoa yupo sahih
Mpango wa Waziri hata Waziri mwenyewe hauamini ndo maana mtoto wake anasomesha international school kwenye mtaala usiokuwa wa Tanzania