Dodoma: RC Antony Mtaka amchana Waziri wa Elimu kuhusu mwisho wa Watoto kusoma kuwa ni saa tisa
mkuu wa mkoa anamaanisha anachosema na amerudiarudia kutia msisitizo
Kwamba yeye hashindi kwenye kiyoyozi? Kwamba yeye haindeshwi kwenye gari ya kiyoyozi? Kwamba watoto wake hawasomi "international schools"??

CCM wanafiki sana sana, wacha wararuane
 
Exactly!
Angelitafuta forum ya staha kusema aliuoyasema na si kubwatuka
Exactly! Hilo jukwaa halikuwa sahihi kabisa kwa maneno hayo!

Labda kuna jambo in connection with this ...

And this statement in particular

"Juni 26, 2021, Prof. Ndalichako alitangaza kusitishwa kwa mchakato wa kuanza kufundishwa Historia ya Tanzania, akiueleza umma kwamba kuna “mambo yanaboreshwa kwanza.”
 
Mtaka Hana adabu kabisa. Nigelikuwa Samia I would have fired him immediately. Angelitafuta forum ya staha kusema aliyoyasema na si kubwatuka mbele za wazazi kumdhalilisha mteule mwenzake. Mtu anaweza kugeneralise kuwa the gov is disunited in it's dealings Amesema màneno ya kishenzi akiwa part of the government machinery.
Hafai kukalia ofisi ya umma.
Ukweli hutafuta namna ya kumtoka mtu,ili awe huru na kufika panapo husika,ila kwa kawaida huwa ukweli no mchungu ila anaekubali kuumeza huweza kurekebisha yasiyo sawa.
 
Jamaa kaongea ukweli kabisa, mawaziri wengi wanaongozwa na matamko toka juu tu.
Wadau mnasema angetafuta namna ya kumjibu amjibu vipi sasa kama hoja za watu wa chini hasikilizwi. Wacha awaambie wananchi wake.

Mliosoma izo private sio rahisi kumkubali huyu RC, matamko ya viongozi yanaathiri sana elimu ukizingatia hapa nchini kila mkoa ni tofauti na mkoa mwingine kwahiyo strategy zilizotumika mkoa huu si rahisi kutumika na kiufasaha mikoa mingine pia. Mikoa ingeachiwa walau nafasi ya kutatua matatizo yao kulingana na changamoto zilizopo
 
Swala la Elimu yetu kufanywa kama mpira wa danadana na kila mmoja kuwa anachezea, ni makosa makubwa sana, mwongozo wa pamoja uko wapi?

Napingana na huyo mkuu wa mkoa wenu pendwa, Inakuweje awe na mpango wa kivyake vyake?

Mkuu wa mkoa wa Songea naye awe na matako yake, na wa mikoa mingine, tutakuwa taifa la aina gani?
Ni kweli hakuna kitu nachukua kwa kila mtu kujifanya mjuaji haya mambo ndio Makonda alikuwa anafanya,huku ni kukosa adabu kwa huyu jamaa mnaemsifiaga Sana wakati hana u special wowote
 
Jaman Mtaka yupo Sahihi

Prof. anakurupuka mambo mengi hata bunge liliwahi kumfokea kupitia kwa Mlugo

Mazingira hayafanani na inatakiwa awaamini wenzake (walimu) ambao ndio watekeleza mtaala

Walimu ni wataalamu na ndio wanatafsiri mtaala na kufikiwa kwa malengo yake at very micro-level
 
Mtaka Hana adabu kabisa. Kungelikuwa Samia I would have fired him. Angelitafuta forum ya staha kusema aliuoyasema na si kubwatuka
Acha kumtetea yule muha ana matatizo sana. Ni mambo ya kawaida kusemwa hadharani. Hata hao waliotuletea haya masystem wanasemana hadharani. Kila kitu kifichwefichwe ili iweje? Mambo hadharani muone ukihiyo wa waziri wenu. Narudia dozen times she has proved to be pathetic!
 
Swala la Elimu yetu kufanywa kama mpira wa danadana na kila mmoja kuwa anachezea, ni makosa makubwa sana, mwongozo wa pamoja uko wapi?

Napingana na huyo mkuu wa mkoa wenu pendwa, Inakuweje awe na mpango wa kivyake vyake?

Mkuu wa mkoa wa Songea naye awe na matako yake, na wa mikoa mingine, tutakuwa taifa la aina gani?
Hilo neno matako umejisahau au ni maksudi bro! Ahahahah
 
Acha kumtetea yule muha ana matatizo sana. Ni mambo ya kawaida kusemwa hadharani. Hata hao waliotuletea haya masystem wanasemana hadharani. Kila kitu kifichwefichwe ili iweje? Mambo hadharani muone ukihiyo wa waziri wenu. Narudia dozen times she has proved to be pathetic!
Mhaya! Ruta
 
Changamoto za maeneo unazijua mkuu kiufupi mkuu wa mkoa yupo sahih
Yaani ulitaka waziri ndio atangaze kambi nje kabisa ya sera ya kitaifa ya elimu kuhusu muda? Hatuwezi kwenda holela bila sera inayotuongoza. Mtaka hayuko sahihi kumshambulia waziri kiasi kile kuhusu muda na kambi. Local arrangements zake asitake kuzilazimisha kuwa sera ya kitaifa.
Mpango wa Waziri hata Waziri mwenyewe hauamini ndo maana mtoto wake anasomesha international school kwenye mtaala usiokuwa wa Tanzania
 
Back
Top Bottom