Mtaka yupo sahihi kuhusu Kambi zake. Lakini approach ya kumjibu waziri, yaani mteule wa rais hivi kuna mushkeli kidogo. Labda yupo undercover ili kumexpose waziri kurahisisha uamuzi wa mamlaka
popote pale uwemakini na MTU anaitwa RAS au DAS
Nadhani huyu alianza kusikika kwenye eneo LA RAS

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Amejiharibia sana huyu, hajaweza kudhibiti ulimi wake, yawezekana nia yake ni njema lakini hajatumia diplomasia kumnanga kiongozi mwenzake jukwaanni
Exactly, huyu hafai.
 
Uhuru wakutoa ushauri prof asad anasema Tue tunaambizana

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Yuko sahihi sana. Ila hakumlenga Waziri moja kwa moja, kawalenga wafanya maamuzi Wizarani. Mkuu wa Mkoa yupo vizuri sana. Huyu ndio anastahili kuwa Waziri wa Elimu.
Mfanya maamuzi gani huyo ambaye gari yake inatembea na bendera wizarani kama sio Waziri, waziri Mkuu na Raisi tu.?
Kusema asikilizwe yeye tu yeye ndo mtaalamu wa Elimu.?
 
Yuko sahihi sana. Ila hakumlenga Waziri moja kwa moja, kawalenga wafanya maamuzi Wizarani. Mkuu wa Mkoa yupo vizuri sana. Huyu ndio anastahili kuwa Waziri wa Elimu.
Nope, wafanya maamuzi wangapi wizarani wanapeperusha bendera
 
Huyu mama siyo kiumbe mzuri aliwahi kutufanyia mbaya sana fourm four na form six wa 2013 hiki kimama huwa ni kijinga kijinga kweli kina misimamo ya kupuuzwa MTAKA viva sana
 
Mtaka yupo sahihi kuhusu Kambi zake. Lakini approach ya kumjibu waziri, yaani mteule wa rais hivi kuna mushkeli kidogo. Labda yupo undercover ili kumexpose waziri kurahisisha uamuzi wa mamlaka
Hii haipo sawa.....
viongozi wa serekali moja wanapokinzana....
 
Ndali huyu ni mpuuzi ila kwa sababu wewe ni follower wake hujui huyu mama elimu anaiharibu sana mtaka yupo sawa ,, watoto wa kitz lazma uwakazie ndo wasome hata kwetu Huku Nanyumbu tunafanya vile aacha mikakati tuliojiwekea tujifanyie ili watoto wafaulu ,, sina hasara wala faida mtoto akifel
 
The Best RC.. Mtaka ni kiongozi kweli kweli, hana unafiki na ukweli ndio huo..

Ndalichako hii wizara ya Elimu inamzidi kabisa.. Mh. Rais Samia atafute Waziri wa Elimu mwingine.
 
Mkuu tunaongozwa na matokeo- kama umefanya jambo na likaleta matokeo mazuri siyo vibaya unalirudia
 
Ni kweli kiongozi wa serekali huwezi kuongea vile hadharani....
but huyu waziri wa elimu alikuwa mteule wa Magu....naona akitolewa kitini......
nikirudi kwenye fikra namaizi mtaka hayupo pekeyake.,...
he was sent
 
Wajinga mmezoea kuficha Kila kitu
 
Kwanza rekebisha jina ni Mtaka.
Pili naunga mkono hoja ya Mtaka
Haya mambo ya kipaumbele cha Elimu, Mtaka hakuyaanza leo, wala hakuanzia Dodoma, msikilize hapa,
P
 
Bibi kama yule bado anashinda salon kuondoa mvi ili atembee na vijana. Hovyo sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…