Dodoma: RC Antony Mtaka amchana Waziri wa Elimu kuhusu mwisho wa Watoto kusoma kuwa ni saa tisa
Kauli ya mkuu wa mkoa ni kali, kama alisomea uongozi na akaiva hangeweza kutoa kauli kali kwa waziri. Kumbuka waziri ni ngazi ya Kitaifa ila mkuu wa mkoa ni ngazi ya kimkoa.
Yaani ninyi ndiyo mnaturudisha nyuma kabisa. Kazi kutetea ujinga ujinga tu. BADILIKENI VIJANA. UNAONGELEA UONGOZI KUSOMEA, UNAUJUA? AU UNADANDIA ?
 
Mtaka Hana adabu kabisa. Kungelikuwa Samia I would have fired him. Angelitafuta forum ya staha kusema aliuoyasema na si kubwatuka
Kuna MTU majuzi..kapost jambo humu akisema utawala huu unaupiga mwingi.. Alisema hakuna mpira kukaa sehemu moja Kwa muda mrefu... topics zinabadirika daily.. watanzania wanApata shida to keep up..iko Ka zubaisha bwege(waliocheza cha ndimu mnajua)
 
Ntinje, kuna maono ya kuzaliwa na ya kusomea, hivyo kusomea uongozi ni muhimu ili kila unachonena kijenge jamii na sio kubomoa. (We need a visionary leader) formal education and informal education are necessary.
 
Mtaka Hana adabu kabisa. Kungelikuwa Samia I would have fired him. Angelitafuta forum ya staha kusema aliuoyasema na si kubwatuka
Kwani amesema uongo? Haya mambo ya kuoneana aibu! Eti kutafuta forum ya staha, na upuuzi mwingine! ndiyo kunakoifanya nchi yetu kufanya maendeleo kwa kusuasua!

Wewe unafurahia kuona Rais na Mawaziri wake kuhamasisha Elimu Bure kwa Watoto wa Watanzania, huku watoto wao wakiwasomesha kwenye shule za malipo? Tena shule za mamilioni ya shilingi!

Kama siyo kuchezeana akili huku, ni nini?
 
Ntinje, kuna maono ya kuzaliwa na ya kusomea, hivyo kusomea uongozi ni muhimu ili kila unachonena kijenge jamii na sio kubomoa. (We need a visionary leader) formal education and informal education are necessary.
Naomba nijue taaluma yako kwanza ...kisha niendelea na hoja.
 
Thubutuuuuu RC mtaka hawezi kutolewa ni miongoni mwa best Rcs we have in our country.ht JPM aliwah mtaja km ni RC wa mfano nenda simiyu mkoa ambao kitaaluma ulikuwa unakuwa wa mwisho lkn sasa unafanya vizuri
Anaweza akawa RC Bora but huwezi kumshambulia personally waziri ambaye ni cabinet member wa serikali ambayo unaiwakilisha hapo mkoani...analeta umbeya eti mtoto wa waziri anasoma international school,anatembelea mbuga za wanyama..vitu vya kuchonganisha tuu...SASA sijui anajua watoto wa PM au Katibu mkuu wanasoma wapi... nilikua namheshimu but Kwa attacks hizi kakosea Sana... waziri yeye anasimamia Sera ambazo nyingi zina Baraka za Baraza la mawaziri ambayo chairman ni Rais na Katibu mkuu ni secretary..Rais wa Zanzibar ni member pia ambaye yeye pamoja na watoto wake hawajawai kukanyaga hizo shule za kata...RC kawasengenya wengi Sana Kwa kujifanya anamsema waziri mmoja AME attack almost the entire government....he has to go..you can't have collectiveness by senior officials attacking others on matter of personal issues in public.
 
Pole sana! utasubiri sana ...haondoki mtu. Tupo tutaona! Ukweli utaendelea kuwa ukweli!
 
Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma.

Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school.

Sikiliza audio hapo.
Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu.

View attachment 1851200

Ndalichako ni Waziri wa kawaida sana. Tokea aingie Wizarani ni kufitinisha tu wenzake.

Wakuu wa taasisi wanamkoma huyu Mama. Wakuu wa idara Wizarani wanaipata habari yake.

Ndalichako badilika Mama Samia yupo tofauti na mwendazake.

Hakuna thamani uliyoongeza hapo Wizarani zaidi ya kufitinisha wakurugenzi na mamlaka za uteuzi.

Tabia ya kuwafitinisha wenzako waondolewe kwenye uteuzi acha mara 1.
Ndalichako alishindwa Baraza la Mitihani kwa ubishi wake ilikuwaje apewe Wizara.
Mama Samia tuondolee huyu Ndali
Watu wanataka Katiba Mpya ili madaraka ya Rais yapunguzwe. Maana yake kila mkoa kila parokia kila tarafa wawe na Rais wao aamue anachotaka. La muhimu hapa ni hilo la International School, linaingiaje? Kumbuka kuwa Waziri niMbunge, anawakilisha watu, ambapo RC ni mteule kwa vigezo visivyojulikana. Hapa RC sianadhalilisha wapiga kura wa Ndali?
 
Mtaka yupo sahihi kuhusu Kambi zake. Lakini approach ya kumjibu waziri, yaani mteule wa rais hivi kuna mushkeli kidogo. Labda yupo undercover ili kumexpose waziri kurahisisha uamuzi wa mamlaka
Ndio tatizo lenu, mnapenda tabia ya kupongezana na kuita spade kijiko kikubwa badala ya sepetu.
Moja ya mambo yanayo mtanabaisha Mtaka kuwa kiongozi bora ni tabia ya kusema ukweli.
 
Uongozi hausomewi
Kauli ya mkuu wa mkoa ni kali, kama alisomea uongozi na akaiva hangeweza kutoa kauli kali kwa waziri. Kumbuka waziri ni ngazi ya Kitaifa ila mkuu wa mkoa ni ngazi ya kimkoa.
 
Ndugu zangu habarini za asubuhi! Nimajuzi niliongelea kuhusu wizara hii ya elimu na taasisi zake. Kiukweli nazidi kusisitiza tena na tena Wizara ya Elimu inahitaji kumulikwa na kusafishwa kabisa ikianza na waziri mwenye dhamana. Hii Wizara namuomba sana Mama yetu Rais SAMIA, ikikupendeza safisha hii Wizara na pia tizama taasisi zilizo chini yake utendaji ni mbove kweli kweli. Kitendo cha Mkuu wa Mkoa kuongea vile , kinaweza kuchukuliwa kuwa ni ukosefu wa approach sahihi kwa waziri lakini binafsi NASEMA HAPANA. HUYU MAMA NI TATIZO HATA KWA MAKATIBU WAKUU WA WIZARA. Mama yetu SAMIA, tuondolee huyu mtu Wizara ya Elimu. Baada ya kusema hayo naomba tena nigeukie TAMISEMI. Kuna dada yetu UMMY, hana utendaji wowote isipkuwa ni uigizaji katika media basi...na ujanja wa kuongea. Wizara hii bado haijapata mtu sahihi. Utendaji wake ukilinganishwa na Jafo au Simbachawene...haufikii hata asilimia ishirini. Bado mama yetu SAMIA, wizara hii nayo inashida sana tena sana,
Weka jina na namba zako za simu na cv tukupendekeze wewe wizara zote mbili
 
Anaweza akawa RC Bora but huwezi kumshambulia personally waziri ambaye ni cabinet member wa serikali ambayo unaiwakilisha hapo mkoani...analeta umbeya eti mtoto wa waziri anasoma international school,anatembelea mbuga za wanyama..vitu vya kuchonganisha tuu...SASA sijui anajua watoto wa PM au Katibu mkuu wanasoma wapi... nilikua namheshimu but Kwa attacks hizi kakosea Sana... waziri yeye anasimamia Sera ambazo nyingi zina Baraka za Baraza la mawaziri ambayo chairman ni Rais na Katibu mkuu ni secretary..Rais wa Zanzibar ni member pia ambaye yeye pamoja na watoto wake hawajawai kukanyaga hizo shule za kata...RC kawasengenya wengi Sana Kwa kujifanya anamsema waziri mmoja AME attack almost the entire government....he has to go..you can't have collectiveness by senior officials attacking others on matter of personal issues in public.
Utaenda wewe
 
Waziri yupo sahihi,

Muda wa kazi wa Serikali ni saa tisa na nusu.

Waziri kafuata sheria ya kazi ilivyo.

Kinyume na hapo ni fujo.

RC amemkosea heshima Waziri.

Hakupaswa ajibu.Angepiga kimya na akaendelea na mipango yake kimya kimya tu.
Na hii mambo ya kimya kimya ndio mara zote inatugharimu.

Hoja za Mtaka ni valid
 
Na hii mambo ya kimya kimya ndio mara zote inatugharimu.

Hoja za Mtaka ni valid
kwa mara ya kwanza nasikia maagizo ya waziri niliona kama hakutumia akili sawasawa. muda wa ziada ilikuwa advantage kwa wanafunzi hasa wasio na uwezo wa tuisheni,pia kuendelea kuwaweka pamoja wanafunzi badala ya michezo. shule ziliweka mkazo zaidi madarasa yenye mitihani ya taifa. Waziri ni hovyo kabisa
 
Ni kweli kiongozi wa serekali huwezi kuongea vile hadharani....
but huyu waziri wa elimu alikuwa mteule wa Magu....naona akitolewa kitini......
nikirudi kwenye fikra namaizi mtaka hayupo pekeyake.,...
he was sent
Na kwa jinsi jamaa wa kobazi wasivyompenda, sitashangaa akitumbuliwa.
Inawezekana ni mwanzo wa movie ili apewe kwa heri ya kuonana
 
Back
Top Bottom