KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Clouds waliathirika vipi?Kwanza Kubenea ni mwandishi wa habari hivyo ana maslahi na hiyo kesi ila Kwa nini Clouds wenye maslahi na hiyo kesi hawajafungua kesi mpaka sasa?
Ni sawa na wewe kumshitaki jamaa anayezini na mke wa jirani yako.Wamwache akajitetee kama wengine, sheria za kipuuzi sana DPP kupinga mtu kufunguliwa mashtaka, gharama zao wenyewe acha wasikilizwe na mahakama huru, DPP mtu wa ovyo sana kaamua kuwa kada wa CCM kutetea wahuni
Lini msukuma atakuwa rais tenaKwa sababu wanampango nae kwa utumishi wa Baadae.
Siku zake hazijafika tu.Makonda ni Untouchable..
Clouds hawako safi, wamejaa makandokando.Kwanza Kubenea ni mwandishi wa habari hivyo ana maslahi na hiyo kesi ila Kwa nini Clouds wenye maslahi na hiyo kesi hawajafungua kesi mpaka sasa?
Acha mahakama ikatae kesi sio DPPNi sawa na wewe kumshitaki jamaa anayezini na mke wa jirani yako.
Huyu mupe yure muruke
Kwani USA ni peponi ? We vipi ?Mkuu kama kweli yeye ni untouchable vipi watu wa USA walimpiga biti asiende kwao?
Anaitwa Bashite.SiyoWadau naomba kuuliza Makonda anashtakiwa kwa Kutumia Madaraka vibaya akiwa Kiongozi km Kuvamia Clouds
Kubandika Namba ya RC kwenye Magari binafsi n.k
Cha kushangaza DPP na DCI WANAPINGA Je kwanini WANAPINGA je ni HALALI kwa MKUU wa MKOA kufanya ALIYOYAFANYA MAKONDA? Na kama Alimshtaki hana Maslahi ni NANI ANASTAHIRI KUMSHTAKI?
Ni hivi kushabikia hii kesi ni sawa na mtu anaekubali mfumo; wa unanijua mimi ni nani.Acha mahakama ikatae kesi sio DPP
Clouds waliathirika vipi? Kuna vitu walipoteza au kuna watu waliumizwa hadi kufikia hatua ya kushitaki?