DPP na DCI waweka mapingamizi manne kufunguliwa kesi ya Makonda. Wasema Kubenea hana maslahi na maombi hayo

DPP na DCI waweka mapingamizi manne kufunguliwa kesi ya Makonda. Wasema Kubenea hana maslahi na maombi hayo

Mbona ni rahisi tu mkuu.

Sabaya kwani ni nani alimfungulia kesi?

Najua siyo mtu binafsi kama mkuu 'The Icebreaker', Kubenea au hata 'mirindimo' mwenyewe.

Hiyo ndiyo tofauti ya hawa wawili, Makonda na Sabaya.
 
Kwanza Kubenea ni mwandishi wa habari hivyo ana maslahi na hiyo kesi ila Kwa nini Clouds wenye maslahi na hiyo kesi hawajafungua kesi mpaka sasa?
Clouds waliathirika vipi?

Kuna vitu walipoteza au kuna watu waliumizwa hadi kufikia hatua ya kushitaki?
 
Wamwache akajitetee kama wengine, sheria za kipuuzi sana DPP kupinga mtu kufunguliwa mashtaka, gharama zao wenyewe acha wasikilizwe na mahakama huru, DPP mtu wa ovyo sana kaamua kuwa kada wa CCM kutetea wahuni
Ni sawa na wewe kumshitaki jamaa anayezini na mke wa jirani yako.
 
Makonda akistakiwa nchi itachafuka, huyu anajua siri nyingi Sana akimwaga mboga.

Thus wanamlinda.
 
Tiss awatoruhusu makonda ashtakiwe wataaibika
 
Kwanza Kubenea ni mwandishi wa habari hivyo ana maslahi na hiyo kesi ila Kwa nini Clouds wenye maslahi na hiyo kesi hawajafungua kesi mpaka sasa?
Clouds hawako safi, wamejaa makandokando.

Makonda ingawa yuko nje ya mfumo anajua makando kando yao, wana wasiwasi kwamba wakijitokeza mbele mambo yao yanaweza kuwa exposed.

Na Clouds wamejaa uchawa, watu wa namna hii hawapambaniagi haki!
 
For legal reasoning hiyo kesi aikutakiwa kufikia hatua hizi kwa kanuni za criminal cases under ‘Penal Code’ za tanzania nor international ‘Civil Case’ procedures.

Tuna majaji wa ovyo wanaotumika na wanasiasa kwa hii case with ‘Penal Code’ ni serikali pekee ndio inayoweza shitaki criminal offence and with civil cases ni damaged party pekee ndio inayoweza fungua kesi.

Personal sina shida na Clouds TV, GSM or anyone who was directly abused by Makonda wakimshitaki na ushahidi; karma is a bitch. Utavuna ulichopanda kwenye maisha.

But rules are rules na huu upuuzi wa watu kutaka kulipa visasi kwa kutumia migongo ya wengine kwa kufungua kesi za kijinga ni uvunjifu wa maadili ya legal practice ndio kinachoendelea kwenye hii kesi ya Makonda; the legal system inaonekana kuwa corrupt kwa kuendekeza ujinga wa Kubenea.

If it’s wrong it’s wrong; mahakama za Tanzania kuendelea na hii kesi ya Makonda ni kujidhalilisha na kuuthibitishia umma kiwango cha ufisadi kilichotamalaki kwenye uraisi wa Samia; apparently it’s very easy to corrupt the courts kama ilivyokuwa kipindi cha Jakaya Kikwete.

Kubenea hana uhalali wa kumshitaki Makonda miaka 800. ku-entertain hii kesi ni kuonyesha kiwango cha ufisadi uliopo chini ya serikali ya mama Samia.

Wapo watu wakiamua kumshitaki Makonda wana kesi, lakini sio Kubenea.

Let’s respect our legal system and not use politics to influence and dilute its quality.
 
DPP na DCI kwa muktadha wa hii kesi awakutakiwa kuweka pingamizi in the first place.

Mahakama ilitakiwa kuifuta hii kesi ilipofunguliwa tuu on legal reasoning the claimant has no ties with the case.

Nchi yetu imeanza kuwa ya ovyo mno, kwa wahuni wanaotaka kulipa visasi.

Wapi duniani raia anaeweza fungua kesi isiyomgusa.

Mama Samia ajitafakari kama hiyo kazi inamtosha na Simbachawene. Atuwezi kuwa na raisi ambae yupo ransom ikibidi akubali lolote kufurahisha kikundi cha wahuni wamlindie uraisi wake hadi 2030.

Rules are rules; the woman has to go come 2025 enough of her nonsense.
 
Katiba Mpya ndio MWAROBAINI pekee wa uhuni huu wa CCM, tuendelee kupambana hadi ipatikane.
 
Wadau naomba kuuliza Makonda anashtakiwa kwa Kutumia Madaraka vibaya akiwa Kiongozi km Kuvamia Clouds
Kubandika Namba ya RC kwenye Magari binafsi n.k
Cha kushangaza DPP na DCI WANAPINGA Je kwanini WANAPINGA je ni HALALI kwa MKUU wa MKOA kufanya ALIYOYAFANYA MAKONDA? Na kama Alimshtaki hana Maslahi ni NANI ANASTAHIRI KUMSHTAKI?
Anaitwa Bashite.Siyo

Makondefu.Tatizo jina.
 
Acha mahakama ikatae kesi sio DPP
Ni hivi kushabikia hii kesi ni sawa na mtu anaekubali mfumo; wa unanijua mimi ni nani.

Kuna watu wakumvaa Makonda wakiamua lakini sio Kubenea ambae katumwa na watu wanaojiona katika utawala wao sisi ni watumwa wao.

Kwa vigezo vya kuheshimu sheria ni mwehu tu ndio anaeweza kutetea kesi ya Kubenea na mahakama ikiendeleza hii kesi ni kielelezo cha serikali ya kifisadi iloyepo madarakani.

Makonda awajibishwe na watu aliowaumiza kuja mbele kama wapo tayari kama ilivyokuwa kwa Sabaya.

Lakini kesi za visasi vya siasa kama ya Kubenea kutumwa ambayo aina kichwa wala miguu lazima iondoke na Bi Tozo atuwezi kuwa na raisi anae endekeza wahuni; ilimradi atuongoze hadi 2030.
 
Back
Top Bottom