Hongera
Kitila Mkumbo kwa kupata promotion na kuwa associate professor, your CV is impressive ingawa hukuweza kuandika makala (papetr) na mwanafunzi wako postgraduate yoyote. Hata hivyo una rekodi nzuri.
Kati ya
Nyani Ngabu na
kijakazi wa II kuhusu Wamba wa Diamba, anayesema ukweli hap ni Nyani. Mpaka miaka ya themanini hapo UDSM kulikuwa na maprofessor wengi (tena full professor) ambao hawakuwa na Ph.D. Professor Wamba Dia Wamba ni mmoja wao ambaye hakuwa na Ph.D na wala hajawahi kuipata; wengine ni pamoja na Professor Kanywanyi, Professor Simon Mbilinyi, pamoja na Professor Mgongo Fimbo ambao hata hivyo baadaye walikuja kuzipata hapo hapo UDSM kwa vile iliamuliwa kuwa kila professor lazima awe na Ph.D hivyo wakasomea Ph.D wakiwa tayari ni maprofessor; credibility ya Ph.D zao inaweza kuwa questioned. Professor Penina Mlama naye angeweza kuwa mmoja wao ila yeye alifanikiwa kupata Ph.D ambayo iliambatana na kupandishwa kuwa associate professor immediately. Ilikuwa ni concidence kwa vile process ya kumpandisha kuwa professor ilianza kabla haijajulikana kama atamaliza kuandika Ph.D thesis yake. Mwingine maarufu ni pamoja na Professor Sarungi ambaye mpaka leo hana Ph.D
Kwenye ubishi kuhusu tofauti ya Thesis na Dissertation, ni kwamba hakuna tofauti. Unaweza kuiita Ph.D thesis au Ph.D Dissertation, na vile vile unaweza kuiita masters Thesis au Masters Dissertation. Inategemea na chuo pamoja na idara ambapo digree hiyo inapotolea.