Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

Huyu ndo yule uliyetaka kumnunulia Evoque? Mzenji?

Hapana, yule Mzenji (naye alikuwa doctoral candidate, I specialize in that it seems) kashachukuliwa na muarabu mmoja ana kisima cha mafuta mashariki ya kati.

Apparently habari za Evoque hazikuwa za kuvutia zaidi.

Huyu Georgian peach. Tena huwa ananichezea zile sorority dances unazopenda, basi nakukumbuka sanaa akicheza.

I am notching it up a lil with the Porsche Macan 🙂
 
Hahahaaa we sikuwezi. Now I wanna be like you when I grow up!

Sasa huyu Georgia Peach yeye ka-pledge wapi? AKA? Delta Sigma Theta? au Delta Gamma Rho?

Majuzi hapa nilimpeleka bi mdogo wangu kwenye stroll-off ya sororities hapo Spelman College basi eti naye akienda college ata-pledge AKA. Kapenda rangi zao za pink na kijani...hahaaa.

Porsche Macan? 2015? You doin' it big. Wewe na Le Mutuz both are about that life
2015-porsche-macan_100446603_l.jpg
 
Delta Sigma Theta.

Speaking of Spelman, she actually went there for her undergrad.
 
Huyu ndo yule uliyetaka kumnunulia Evoque? Mzenji?

Mbona maprofesa wengi tu hapo chuoni wamepata uprofesa wakiwa vijana na mpaka leo wapo wanaopata wakiwa vijana? Kuna ajabu gani kwa kitila Mkumbo kuwa profesa. tena sio prof. kamili ni Profesor mshiriki. Unajua it is one thing to be learned while it is completely another to be educated. Kitila is a learned fellow, but not educated. Ukitaka kujua mtu aliye learned na educated, mwangalie anapokuwa field, yaani kwenye real life, anatumia usomi na busara. lakini kitila alipojaribu kuingia field amefeli vibaya. Kuonesha kwamba japo amesoma lakini bado hajaelimika. Hana busara. Na bila wisdom au busara eleimu haina maana. Ukisoma ule waraka wa kina kitila wa mabadiliko utaelewa ni kwa kiasi gani hana busara na kuwa na papara. Hebu tusubiri labda uprofesa utambadilisha.
 
Ni wazi kuwa wewe una wivu hadi unatia huruma. Na kila jambo unaliangalia kisiasa kisiasa. Hapa taaluma.
 
Hongera Kitila Mkumbo kwa kupata promotion na kuwa associate professor, your CV is impressive ingawa hukuweza kuandika makala (papetr) na mwanafunzi wako postgraduate yoyote. Hata hivyo una rekodi nzuri.

Kati ya Nyani Ngabu na kijakazi wa II kuhusu Wamba wa Diamba, anayesema ukweli hap ni Nyani. Mpaka miaka ya themanini hapo UDSM kulikuwa na maprofessor wengi (tena full professor) ambao hawakuwa na Ph.D. Professor Wamba Dia Wamba ni mmoja wao ambaye hakuwa na Ph.D na wala hajawahi kuipata; wengine ni pamoja na Professor Kanywanyi, Professor Simon Mbilinyi, pamoja na Professor Mgongo Fimbo ambao hata hivyo baadaye walikuja kuzipata hapo hapo UDSM kwa vile iliamuliwa kuwa kila professor lazima awe na Ph.D hivyo wakasomea Ph.D wakiwa tayari ni maprofessor; credibility ya Ph.D zao inaweza kuwa questioned. Professor Penina Mlama naye angeweza kuwa mmoja wao ila yeye alifanikiwa kupata Ph.D ambayo iliambatana na kupandishwa kuwa associate professor immediately. Ilikuwa ni concidence kwa vile process ya kumpandisha kuwa professor ilianza kabla haijajulikana kama atamaliza kuandika Ph.D thesis yake. Mwingine maarufu ni pamoja na Professor Sarungi ambaye mpaka leo hana Ph.D

Kwenye ubishi kuhusu tofauti ya Thesis na Dissertation, ni kwamba hakuna tofauti. Unaweza kuiita Ph.D thesis au Ph.D Dissertation, na vile vile unaweza kuiita masters Thesis au Masters Dissertation. Inategemea na chuo pamoja na idara ambapo digree hiyo inapotolea.
 
Last edited by a moderator:
hahahaha nchi yetu unatunukiwa na baraza la chuo? hii kali kikubwa wenzetu wanapoint za kutokana na research na kufanya publication za paper mbalimbali kwenye journal nzuri zinazofahamika kimataifa nasi vingine
 
Hongera Kitila Mkumbo kwa kupata promotion na kuwa associate professor, your CV is impressive ingawa hukuweza kuandika makala (papetr) na mwanafunzi wako postgraduate yoyote. Hata hivyo una rekodi nzuri.

Kati ya Nyani Ngabu na kijakazi wa II kuhusu Wamba wa Diamba, anayesema ukweli hap ni Nyani. Mpaka miaka ya themanini hapo UDSM kulikuwa na maprofessor wengi (tena full professor) ambao hawakuwa na Ph.D. Professor Wamba Dia Wamba ni mmoja wao ambaye hakuwa na Ph.D na wala hajawahi kuipata; wengine ni pamoja na Professor Kanywanyi, Professor Simon Mbilinyi, pamoja na Professor Mgongo Fimbo ambao hata hivyo baadaye walikuja kuzipata hapo hapo UDSM kwa vile iliamuliwa kuwa kila professor lazima awe na Ph.D hivyo wakasomea Ph.D wakiwa tayari ni maprofessor; credibility ya Ph.D zao inaweza kuwa questioned. Professor Penina Mlama naye angeweza kuwa mmoja wao ila yeye alifanikiwa kupata Ph.D ambayo iliambatana na kupandishwa kuwa associate professor immediately. Ilikuwa ni concidence kwa vile process ya kumpandisha kuwa professor ilianza kabla haijajulikana kama atamaliza kuandika Ph.D thesis yake. Mwingine maarufu ni pamoja na Professor Sarungi ambaye mpaka leo hana Ph.D

Kwenye ubishi kuhusu tofauti ya Thesis na Dissertation, ni kwamba hakuna tofauti. Unaweza kuiita Ph.D thesis au Ph.D Dissertation, na vile vile unaweza kuiita masters Thesis au Masters Dissertation. Inategemea na chuo pamoja na idara ambapo digree hiyo inapotolea.

Mkuu kuna tofauti PhD au masters by thesis maana yako hufanyi course work hukai darasani akati PhD au masters by course work unakaa darasani na udsm ni semester mbl na ukimaliza ndo unafanya dissertation
 
Afadhali jirani umejitokeza na kuweza kutoa darasa kidogo maana kuna watu wabishi ilhali hawajui hata wanachokibishia ni kitu gani.

Kuna wakati fulani hapa hapa JF niliwahi kubishana na watu kuhusu vice-chancellor wa UDSM kuanzia mwaka 1980 hadi 1988.

Niliposema kuwa VC wa kipindi hicho alikuwa anaitwa Nicholas Kuhanga acha watu waanze kunisahihisha! Eti nikawa naambiwa ni Mathew Luhanga na si Nicholas Kuhanga.

Imagine mtu analeta ubishi kwenye jambo lililo factual kama hilo. Sijui wanadhani wengine tunabashiri tu tukiwa tunaongelea mambo ya UDSM...

Hawajui kuwa baada ya kutoka Ocean Road stop ya kwanza ilikuwa Simba Road.

Cc: Udadisi Kiranga
 
Siwezi kubishana na watoto wa Mlimani kuhusu historia ya uprofesa wa kibongo kama na wao wasivyoweza kubishana na mimi mtoto wa Upanga kuhusu historia ya Jumbe Tambaza alivyomfukiza Nyerere kwa zindiko la kuchinja mbuzi makaburi ya Tambaza.

Naweza kuwabishia kuhusu Dr. Kimambo huku nikifikiri namuongelea Professor Lumambo.

Above all, Miss Thang is a professor, working on her doctorate.

So I should know the difference.
 
Hapana; kwanza hakuna kabisa Ph.D. by course work na vile vile hata digrii inayojulikana kama masters by course work lazima iambatane na thesis ingawa uzito wa thesis hiyo unaweza kuwa siyi mkubwa sana.

Academic graduate degree yoyote ni lazima iwe na thesis/dissertation isipokuwa professional degrees tu kama vile Master of Engineering, MBA, MPA, na nyingezo za namna hiyo.
 
Afadhali jirani umejitokeza na kuweza kutoa darasa kidogo maana kuna watu wabishi ilhali hawajui hata wanachokibishia ni kitu gani.

Kuna wakati fulani hapa hapa JF niliwahi kubishana na watu kuhusu vice-chancellor wa UDSM kuanzia mwaka 1980 hadi 1988.

Niliposema kuwa VC wa kipindi hicho alikuwa anaitwa Nicholas Kuhanga acha watu waanze kunisahihisha! Eti nikawa naambiwa ni Mathew Luhanga na si Nicholas Kuhanga.

Imagine mtu analeta ubishi kwenye jambo lililo factual kama hilo. Sijui wanadhani wengine tunabashiri tu tukiwa tunaongelea mambo ya UDSM...

Hawajui kuwa baada ya kutoka Ocean Road stop ya kwanza ilikuwa Simba Road.

Cc: Udadisi Kiranga

Tehe Tehe, siku hizi Simba Road inaitwa Barabara ya Kunambi!
 
Siwezi kubishana na watoto wa Mlimani kuhusu historia ya uprofesa wa kibongo kama na wao wasivyoweza kubishana na mimi mtoto wa Upanga kuhusu historia ya Jumbe Tambaza alivyomfukiza Nyerere kwa zindiko la kuchinja mbuzi makaburi ya Tambaza.

Naweza kuwabishia kuhusu Dr. Kimambo huku nikifikiri namuongelea Professor Lumambo.

Above all, Miss Thang is a professor, working on her doctorate.

So I should know the difference.

Hahahaa haa dawa yako ni watoto wa Kariakoo/Gerezani n.k., kina Mzee Mohamed Said
 
Last edited by a moderator:
Hapana mkuu, sisi tunataka kujifunza ndio maana tumeuliza, ila wewe inaonekana hutaki kutuelewesha ndio maana unatuponda.
Mkuu samahani. Ukiangalia CV yake utagundua yafuatayo:
i. Anamachapisho mengi sana kati ya mwaka 2012 na 2013, hasa ambayo yeye ndo mtu wa kwanza na yale ambayo yeye anapewa nafasi ya mwisho. Hizi ndo nafasi za maana. Ya kwanza ina maana ndo mhusika mkuu na mwisho ni msimamizi (leader),

ii) Amefanya machapisho katika majarida ya kimataifa katika fani yake. Hii kuna kitu inaitwa "Impact Factor", ikimaanisha, mchango wa jarida katika tasnia husika (kiswahili hapa sijakijua vizuri),

iii) Ushiriki wake katika makongamano ya ndani na kimataifa. Hii inamaanisha, utambulisho wa chuo chako ndani na nje ya nchi, kwa wanataaluma wengine.

Mengine siyajui kiundani, ila kulingana na haya chuo cha muhusika ndo kinavyo tathimniwa na kupewa alama za mchango wake kwa maendeleo ya taifa na dunia.

Kulingana na vigezo walivyojiwekea vya chuo humtunuku nafasi ya juu ya utumishi.

nimemfuatilia hii historia yake na kuitafakari kwa mapana nikagundua mambo mawili

1;hana malezi ya wazazi, alilelewa zaidi na bibi, kwahiyo akajengwa kwenye mazingira ya kimtaa,,na kudekezwa hata ukifanya utumbo, !!!WALIOLELEWA NA BIBI WANATAMBUA HILI

2:Ana laana ya wazz wake(BABA).nimejaribu kusoma na kurudiarudia sikuona jitihada zake kuhusu kunfuatilia bb yake,kumthamini,kumsaidia kiuchumi na hata kuja kumzika bb yake(hana utofauti na kigwa)

kwa hali hiyo inatosha kusema jamaa laana inamuandama sana na hata ACT itakuwa hivyo kama alivyosaliti cdn
labda aende akaombe bb yake msamaha hapo ndipo atakapokombolewa kifkra na baadaye kukomboa jamii

wazaz walifanya juhudi gani kumlea mtoto wao..siku za zamani kidogo walezi wazuri walikuwa wakina bibi na wakina babu hata leo iko hivyo.Angekuwa anadekezwa asingefika hapo alipofika.wazazi wasiojali mtoto na mtoto anaye ona walezi wake ni kama wazazi kwa sababu ya kumlea tangu akiwa na miaka 3 mpaka anafika sekondari nani mwenye laana?we should stop being bias...
 
Back
Top Bottom