DRC Congo waanza ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme kuliko yote duniani, ‘The Inga Dam Project’, bwawa la RUFIJI linasubiri

Hahah lkn kwa case ya Congo wao ndio walimchokoza.

1.Early 1990's Mobutu alituma Special forces kumsaidia Habyarimana(rais wa Rwanda wkt huo) kupambana na waasi (RPA ya kina kagame) na vikosi vya Mobutu viliua sana Raia wa Rwanda na kuiba mali zao mpk Habyarimana akawafukuza warudi Congo.

2.Baada ya kina PK kuikamata Rwanda wanajeshi wa Serikali iliyopinduliwa+Interahamwe walikimbilia Congo na Mobutu akawa anawapa silaha na training wakawa wanakuja kushambulia Rwanda,nadhani kilichotokea ni Mobutu kuchomolewa madarakani na Congo kua hivyo ilivyo mpk leo.
Aaah hii ni excuse tu mkuu, kma alikua na nia ya kufuata Interehamwe na kumtoa Mobutu kulikoni ang'ang'anie RDC baada ya Mobutu kukimbia.

Alipokuja Kabila bado alivamia tena kusaka interehamwe, ila cha kujiuliza hao wahutu wapo Kivu tu ssa Katanga huko hadi Bas congo alifuata nni?

Kma issue ni Kagame kuchokozwa mbona hasemi watutsi walipofukuzwa Rwanda na Burundi miaka ya 50 walipokelewa na Mobutu. Huko Kivu/ituri kila wakitaka kuvamiwa na Wenyeji basi Mobutu alituma majeshi kuwasaidia watutsi wa huko masisi na !! Hayo yote kagame hakufahamu?

Ni visingizio tu ila hakuna kingine, kma ni kuwapenda sana watutsi mbona hakuvamia Burundi 1996 ili kuwatokomeza wahutu? Au kisa Burundi haina almasi? Vp hakuvamia CAR iliyoua watutsi huko Ituri ama hao nao sio maadui??
 
Sikujua kama DRC ni matajiri kiasi hiki, wanadai DRC ina utajiri wa USD trillion 2,000 katika mfumo wa rasilimali umefukiwa chini ya ardhi, huo utajiri hata hauwezi kuandikika katika pesa ya madafu. Jionee mwenyewe kwenye video clip hapo chini.

Nasikia waEthiopia wanakamilisha bwa kubwa kabisa la umeme kuliko yote Afrika , wanata ‘The GRAND RENNAISSANCE DAM’, yaani bado kidogo tu tungebaki sisi ndio tunashangaa shangaa tusijue tunaelekea wapi, bora tulistuka mapema

aise
 
Nimeitazama hiyo clip, inasema 75% ya hisa ya mradi huo ni za mchina!

Ujanja ujanja tu wa kinyonyaji miradi mingi Africa, kama nasi tulivyotaka kuingizwa mkenge kijinga jinga mradi wa bandari ya Bwagamoyo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Unanyonywa kivipi? Biashara zipo hivo siku hizi hata i phone au samsung ukiwa na pesa yako unafungua kiwanda hapa Tz unatengeneza i phone zako unawalipa tu fees kadhaa labda 30% zao ww nyingine ya kwako. Hii inasaidia kupunguza risk za biashara.

Lakini kwa upande wa pili kma hauna pesa utafanyeje mkuu? Hata bandari ya bagamoyo unless masharti yalikua magumu lakini faida ya miradi hii sio hizo hisa bali multiplier effect. Mfano hao wachina hta wakimiliki 75% ila watavutia uwekezaji, ajira zitamwagika, mapato kwa serikali, umeme utatumika kwa watu wa DRC pia n.k so sijaona shida. Maadam mkataba ni realistic sioni shida hisa kumilikiwa na wawekezaji wa nje.
 
Bado kuna mpumbavu atakuambia Bonde la mto rufiji ni Urithi wa dunia na hatupaswi kuharibu uoto wa asili uliopo hapo hahah yani Hao wanaokuambia ivo wao wamemaliza Mapori yao yote mpaka now wamehamia kwenye non renewable sources kama HFO na Nuclear ila wewe ambae una resource za kufua Renewable energy ambazo running cost ni kama free tu wanakuzia kufanya ivo, Nasema katika sehemu Nilipo muona JPM ni mzalendo haswa ni kuziba masikio na Kupush huu mradi wa MW 2115 wa Rufiji forwad huu Uamuzi wake hakika utaacha legacy kubwa sana na vizazi na vizazi vitamkumbuka, Niwaambie tu Dangote anazalisha Zaidi ya MW 75 kwa ajili ya kiwanda chake kule Mtwara sasa can you image ni hasara gani tunapata kama nchi? Je tukiwa na Enough energy kwenye National Grid huoni Dangote angekuwa consumers mkubwa sana umeme wetu kitu ambacho kinge ongeza revenue na kutengeneza ajira kwa watanzania? Dunia hii ya leo bila kuwa na Adequate Energy huwezi kusogea mbele tunahitaji Energy mno mno
 
Kuna sekta za kufanya hayo ila sio Sekta za Energy, ports, defence. Hivyo ni nyeti mno.
 
Umeongea asali tupu, big up!
 
Na Kina Museven na Kagame waliyatumia hayo madini kuendeleza nchi zao au walitia kapuni?
kuna kila dalili yalitiwa kapuni ,mimi hii issue nilimsikia msaidizi wa kagame anasema ambaye alikuwa incharge na vita vya mwaka 1997 pale congo.yangekuwa yalitumika kwa manufaa ya nchi ingetangazwa lakini kwakuwa ni top secret mission nadhani kina Kagame na Museveni walitia mfukoni almasi na dhahabu hizo ambazo zilisafirishwa na cargo plane
 
Basi hawa watu na familia zao watakuwa matajiri mno mno
 
sana mkuu,pesa walizonazo wanawazidi hata kina Dangote ,Joseph kabila tu unaambiwa ni tajiri zaidi ya Mobutu wakati mobutu alikaa madarakani miaka 32 .yani hata hawa viongozi wetu hapa wewe waone hivo hivo tu mtu ana access ya madini yote yaliyopo hapa Tanzania kwa miaka 10 sio mchezo
ujanja wanaotumia ni kwamba unakuta rais wa Congo anaweka pesa zake Tz alafu wa Tz anaweka Congo hivo basi hamuwezi kuzigundua
 
Back
Top Bottom