Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Fayulu angeshinda urais wa Congo nchi ingekuwa vitani sasa hivi.Mwenye noma na Kagame ni yule jamaa wa upinzani anayeitwa Martin Fayulu,huyu siku akiwa Rais lazima wazichape.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fayulu angeshinda urais wa Congo nchi ingekuwa vitani sasa hivi.Mwenye noma na Kagame ni yule jamaa wa upinzani anayeitwa Martin Fayulu,huyu siku akiwa Rais lazima wazichape.
Hiyo 40,000 MW ni kwa mabwa yote 8 yatakayojengwa along the river, Inga 1 na Inga 2 zilishajengwa zamani na zinazalisha umeme, hii ya sasa hivi ni Inga 3 ya kuzalisha MW 11,000
[/QUOTE.
Aaah hii ni excuse tu mkuu, kma alikua na nia ya kufuata Interehamwe na kumtoa Mobutu kulikoni ang'ang'anie RDC baada ya Mobutu kukimbia.Hahah lkn kwa case ya Congo wao ndio walimchokoza.
1.Early 1990's Mobutu alituma Special forces kumsaidia Habyarimana(rais wa Rwanda wkt huo) kupambana na waasi (RPA ya kina kagame) na vikosi vya Mobutu viliua sana Raia wa Rwanda na kuiba mali zao mpk Habyarimana akawafukuza warudi Congo.
2.Baada ya kina PK kuikamata Rwanda wanajeshi wa Serikali iliyopinduliwa+Interahamwe walikimbilia Congo na Mobutu akawa anawapa silaha na training wakawa wanakuja kushambulia Rwanda,nadhani kilichotokea ni Mobutu kuchomolewa madarakani na Congo kua hivyo ilivyo mpk leo.
aiseSikujua kama DRC ni matajiri kiasi hiki, wanadai DRC ina utajiri wa USD trillion 2,000 katika mfumo wa rasilimali umefukiwa chini ya ardhi, huo utajiri hata hauwezi kuandikika katika pesa ya madafu. Jionee mwenyewe kwenye video clip hapo chini.
Nasikia waEthiopia wanakamilisha bwa kubwa kabisa la umeme kuliko yote Afrika , wanata ‘The GRAND RENNAISSANCE DAM’, yaani bado kidogo tu tungebaki sisi ndio tunashangaa shangaa tusijue tunaelekea wapi, bora tulistuka mapema
Hakika mkuu kwa 100%.Fayulu angeshinda urais wa Congo nchi ingekuwa vitani sasa hivi.
Unanyonywa kivipi? Biashara zipo hivo siku hizi hata i phone au samsung ukiwa na pesa yako unafungua kiwanda hapa Tz unatengeneza i phone zako unawalipa tu fees kadhaa labda 30% zao ww nyingine ya kwako. Hii inasaidia kupunguza risk za biashara.Nimeitazama hiyo clip, inasema 75% ya hisa ya mradi huo ni za mchina!
Ujanja ujanja tu wa kinyonyaji miradi mingi Africa, kama nasi tulivyotaka kuingizwa mkenge kijinga jinga mradi wa bandari ya Bwagamoyo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza Kabila asingekubali kumkabidhi nchi business rival wake.Hakika mkuu kwa 100%.
Usiniambie hujui umuhimu wa Energy ivo viwanda ambazo vita wapa ajira watu je vinatumia Siasa kufanya kaziHayo maendeleo ya mabwawa ya kufua umeme ya nini?.
Manyumbu wanataka maendeleo ya watu.watu wamiliki marange rover na ma estate mazurimazuri.
Exactly.Usiniambie hujui umuhimu wa Energy ivo viwanda ambazo vita wapa ajira watu je vinatumia Siasa kufanya kazi
Aisee!!!Inga 3 ikikamilika itakuwa na uwezo wa kazalisha mw zaidi us elfu 30
Kuna sekta za kufanya hayo ila sio Sekta za Energy, ports, defence. Hivyo ni nyeti mno.Unanyonywa kivipi? Biashara zipo hivo siku hizi hata i phone au samsung ukiwa na pesa yako unafungua kiwanda hapa Tz unatengeneza i phone zako unawalipa tu fees kadhaa labda 30% zao ww nyingine ya kwako. Hii inasaidia kupunguza risk za biashara.
Lakini kwa upande wa pili kma hauna pesa utafanyeje mkuu? Hata bandari ya bagamoyo unless masharti yalikua magumu lakini faida ya miradi hii sio hizo hisa bali multiplier effect. Mfano hao wachina hta wakimiliki 75% ila watavutia uwekezaji, ajira zitamwagika, mapato kwa serikali, umeme utatumika kwa watu wa DRC pia n.k so sijaona shida. Maadam mkataba ni realistic sioni shida hisa kumilikiwa na wawekezaji wa nje.
Umeongea asali tupu, big up!Bado kuna mpumbavu atakuambia Bonde la mto rufiji ni Urithi wa dunia na hatupaswi kuharibu uoto wa asili uliopo hapo hahah yani Hao wanaokuambia ivo wao wamemaliza Mapori yao yote mpaka now wamehamia kwenye non renewable sources kama HFO na Nuclear ila wewe ambae una resource za kufua Renewable energy ambazo running cost ni kama free tu wanakuzia kufanya ivo, Nasema katika sehemu Nilipo muona JPM ni mzalendo haswa ni kuziba masikio na Kupush huu mradi wa MW 2115 wa Rufiji forwad huu Uamuzi wake hakika utaacha legacy kubwa sana na vizazi na vizazi vitamkumbuka, Niwaambie tu Dangote anazalisha Zaidi ya MW 75 kwa ajili ya kiwanda chake kule Mtwara sasa can you image ni hasara gani tunapata kama nchi? Je tukiwa na Enough energy kwenye National Grid huoni Dangote angekuwa consumers mkubwa sana umeme wetu kitu ambacho kinge ongeza revenue na kutengeneza ajira kwa watanzania? Dunia hii ya leo bila kuwa na Adequate Energy huwezi kusogea mbele tunahitaji Energy mno mno
Na Kina Museven na Kagame waliyatumia hayo madini kuendeleza nchi zao au walitia kapuni?hata sisi watanzania hatunufaiki na mali zetu, unajua Laurent kabila alimpa Kagame na Museveni magunia ya Madini mwaka 1999 kama shukrani ya kusaidiwa vita ? yani madini ya nchi za Africa yanatumiwa vibaya
kuna kila dalili yalitiwa kapuni ,mimi hii issue nilimsikia msaidizi wa kagame anasema ambaye alikuwa incharge na vita vya mwaka 1997 pale congo.yangekuwa yalitumika kwa manufaa ya nchi ingetangazwa lakini kwakuwa ni top secret mission nadhani kina Kagame na Museveni walitia mfukoni almasi na dhahabu hizo ambazo zilisafirishwa na cargo planeNa Kina Museven na Kagame waliyatumia hayo madini kuendeleza nchi zao au walitia kapuni?
Basi hawa watu na familia zao watakuwa matajiri mno mnokuna kila dalili yalitiwa kapuni ,mimi hii issue nilimsikia msaidizi wa kagame anasema ambaye alikuwa incharge na vita vya mwaka 1997 pale congo.yangekuwa yalitumika kwa manufaa ya nchi ingetangazwa lakini kwakuwa ni top secret mission nadhani kina Kagame na Museveni walitia mfukoni almasi na dhahabu hizo ambazo zilisafirishwa na cargo plane
kuna kada mmoja anasema hakuna mwananchi anaekula umeme, kwa hiyo sio kipaumbele😂😂Kina lissu Wanakwambia hayo sio maendeleo
Basi hawa watu na familia zao watakuwa matajiri mno mno
Na kiuhalisia Dayulu ndio kipenzi cha wakongoMwenye noma na Kagame ni yule jamaa wa upinzani anayeitwa Martin Fayulu,huyu siku akiwa Rais lazima wazichape.