concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Kama nakuelewa vileAkili kama zako wanazimiliki chadema ndiyo maana ccm inawasumbua hawajui la kufanya ...nakuakikishia ni ngumu Samia kuondoka madarakani kama akifika 2030 kuliko hata ilivyo sasa....hadi ikifika 2030 kutakuwa na kundi kubwa la chawa wa,samia ambao watakuwa
Kumbe inatakiwa atoke kabla ya oktobawamefanya uovu mwingi sana pamoja naye na mikono yao itskuwa na damu , hivyo kuondoka kwa samia kutakuwa ni giza la mauti mbele yao watashirikiana kufa na kupona kuakikisha anabaki na yeye atakuwa na hofu ya kuachia uongozi kutokana na mambo yatakavyo kuwa ya kutisha na maovu waliyo tenda. ...
Roho zao zitakuwa ngumu kuondoka madarakani kama roho ya firauni farao wa misri alivyo kuwa na roho ngumu kuwaachia waisrael...uwezekano wa kikwete kufa baina ya 2025-2030 ni mkubwa sana na sababu ndiyo hizi
Hapa nahisi unamaanisha hata jk hayupo nae maana anahisi lazima aondoleweninazo kueleza ...Nyuma ya Samia kuna genge hatari la raia feki na wazanzibar na chawa wanao tumika kujichafua mikono yao kwa damu ....hivyo kuondoka samia
maana yake damu iliyo mikononi mwao inaweza kuwa juu ya vichwa vyao.
Halafu kwa nini anaongea kimafumbo angeweka bayana hilo dude limefanyaje na kutatokea nini.UNABAHATISHA mkuu hahahahaha
Goodbye= kuaga, means "aga"Sio nimekosa Mimi nimekosa sana?
Hapo nimeelewa 2 tu zingine 2 sijaelewaMwenye kuweza kufungua hizi codes please!
Hizi code siamini kama ni majina ya watu bali .Smart Genius, codes zimeundwa kwa kutumia akili.
The words are twisted, but they give a sound which reasonates with their correct spellings.
Kumbe ndo mfanyavyo huko TEETH?
Janja janja tu.
Dalili za samia kuto kutaka kuondoka madarakani mtaziona wazi kuanzia 2028 na sababu zake mtaziona ...kwa sasa Samia amesha ota pembe 3 za kiburi cha upumbavu hadi 2029 atakuwa na pembe 7 za kiburi kikuu cha upumbavu ...nyuma yake kutakuwa na majoka anayo fuga yataua sana watu ndani ya ccm na tanganyika na kundi la msoga litateketezwa kwa asilimia 100 %Kama nakuelewa vile
Kumbe inatakiwa atoke kabla ya oktoba
Hapa nahisi unamaanisha hata jk hayupo nae maana anahisi lazima aondolewe
Unataka kutuaminisha kuwa Pana uadui kati ya huyo Mzee na aiyepo?Dalili za samia kuto kutaka kuondoka madarakani mtaziona wazi kuanzia 2028 na sababu zake mtaziona ...kwa sasa Samia amesha ota pembe 3 za kiburi cha upumbavu hadi 2029 atakuwa na pembe 7 za kiburi kikuu cha upumbavu ...nyuma yake kutakuwa na majoka anayo guga yataua sana watu ndani ya ccm na tanganyika na kundi la msoga oitateketezwa kwa asilimia 100 %
Nahisi ndo anachomaanishaUnataka kutuaminisha kuwa Pana uadui kati ya huyo Mzee na aiyepo?
Wale lao mojaNahisi ndo anachomaanisha
Tafsiri yake watu wanaungus ndani kwa ndani sema wanavumilia ila wakikutana na petrol huko mtaan wanalipuka hapo ndio kasheshe itakuwaUkiwa mtandaoni yaani utafikiri Tanzania kuna vita zaidi ya Gaza ila nenda mtaani nchi hiko vizuri na salama kweli kweli
Eehh alhamdulillahbaMtu ππππ
Labda ruangwa kwaheri!Huyu nae na code zake za kifala tu. Sasa Ru goodbye ndio code ya namna gani hii upuuzi tu.
Ru goobye ni luhaga mpina, mkono wa john cena ni Gwajima, rice oba ni Warioba.Mwenye kuweza kufungua hizi codes please!
Ru goodbye ni LuhagaLabda ruangwa kwaheri!
Usishangae hizo tetesi zinavujishwa maksudi ndani ya system ili wananchi waamini kuna upinzani wa kweli. Wakati yote hiyo ni show tu. Upinzani wa kweli unasota jela au umekimbia nchi.Tangu enzi za Nyerere kulikuwepo na tetesi kama hizi..
Sadly, nothing happened.
Yaani wanachama wa hicho chama chakavu wanaambiwa formu ni moja tu hata katiba yao ikavunjwa kufanikisha hilo kama kwamba hakuna wanaume wenye uwezo wa kuongoza japo ni vichwa vya familia zao... Hicho ni chama cha siasa au genge la waharifu ?TATIZO LENU NI KU UNDERESTIMATE UPUMBAVU WA MWANAMKE KIONGOZI ....KAZI YA KUMDHIBITI MWANAMKE MPUMBAVU MWENYE MAMLAKA YA MWISHO NI NGUMU KULIKO MWANAUME.
Kwanza akifanikiwa kujibakisha madarakani basiii....uwezekano wa kupisha Ikulu ifikapo 2030 itakuwa ni asilimia 10% tu na hata akipisha huyo atakaye mpisha lazima atamchagua yeye kwa asilimia 100% hivyo swala kama la form moja litatumika ili kuhakikisha huyo Mteule ni lazima awe yeye ...uwezekano wa huyo Mteule kuwa mkristo kama ilivyo kawaida ya kupokezana wakristo na waislamu utakuwa ni asilimia 3% ila uwezekano wa muislamu utakuwa asilimia 97%
Ukiondoa namba 2 wengine umeniachaBwana slow slow Ana backup moja kubwa sana
1.BOOT KUU
2. RICE OBA
4: RU GOODBYE
5: mkono wa Johncena