Dudu Baya azimiwa mic jukwaani baada ya kusema Ommy Dimpoz chakula cha watu

Ilikuwa sahihi kabisa kuzimiwa mic. Huyu jamaa ana mental issue
 
Ukitoa tuhuma zenye udhalilishaji, mtuhumu ndio mwenye burden of proof. So, kumuita mtu shoga unapaswa wewe mtuhumu ulete ushahidi wa ushoga, mfano Alete video ikionyesha jamaa anakazwa. Ila sio maneno matupu tu. Atalipa faini huyu.
Unafahamu vipi kama hana ushahidi..?
 
Wewe unafahamu vipi ushahidi anao ama hana?
 
Nani hajui kuwa yeye na Mr nice walikua wana share muarabu alikua boss Wa moro united. Na aliwekeza nini kule Arusha.

Lina jistukia hilo lizee, limeshindwa kujikubali basi linaleta hasira kwa wengine.
Mxxxiiiieeew
Balaa... ina maana kaliwa na watu wawili kwasababu tajiri wa madini naye alikuwa anatafuna.
 
Sasa mtu ataropoka mbele za watu akiwa anajiamini kipi? Kama hana ushahidi usiotia shaka?
🀣. So pia huna hakika. Unafanya reasoning isiyo sahihi kabisa, ukiamini kuwa watu wote wana-act reasonably.
 
Sasa utak unadhan garama kwanzia usafiri kula na matibabu kwenda India na kurud m rahisi ivyo,ukipata jibu pigia mstari apo mkuu😜😜
Kwahiyo ndo ana pesa?
Hebu weka hiyo hesabu yake ya nauli na matibabu ya ugonjwa alioenda kutibiwa tuone..!!
 
Pisi laki moja hata ungeenda kwa yule jamaa wa Room of Jeans hana.
😹😹😹 Town kwa kujazana na kukuzana watu wapo vizuri..!!
Wauzaji wa jumla wenyewe wametulia wanaangalia tu..!!

Eti dudu naye muuzaji wa jumla 😹😹
 
Mtoto Coca cocastic nakugubali sana mwanetu.

Uko sahihi kabisa, Wakati haurudi nyuma. Tarehe ikipita imepita hiyo hairudi nyuma kamwe.
 
Sema wewe uduguu, mie nachoka kabisaa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
😹😹😹 Wao waseme ana duka lake la uchuuzi inatosha..!!

Mtu kaweka vi-Tshirt vyake vya MAMBA piece 100 tayari anaitwa tajiri wa kujumlisha nguo..!! Mtsiewwww 😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…