Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Noma kweli yaani !!mwendazake alikuwa tapeli la kimataifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma kweli yaani !!mwendazake alikuwa tapeli la kimataifa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi hakuna namna yoyote ya kumfungulia kesi huyu jamaa hata kama kafa ?
Miaka ya Magufuli ime tu expose Watanzania kama watu wa ovyo sana tunaoweza kuendeshwa kimabavu na mtu mmoja tu.Mwendazake alikuwa mpiga dili mkubwa.
Eric Kabendera ni investigative Journalist mwenye kiwango cha juu katika kufuatilia na kuchambua.
Kama angekuwa na kosa la kuchafua nchi, basi tungeona Serikali ikimfungulia mashtaka yanayoendana na Sheria ya Huduma ya Habari au Sheria Cyber crime ya Mwaka 2015.
Kitendo cha kumfungulia mashtaka kwa Sheria ya Kuhujumu Uchumi na kutakatisha fedha ni dhahiri kuwa Eric Kabendera alikuwa ameandika habari za ukweli ambazo Serikali haina majibu. Eric Kabendera ambaye Dikteta alimuweka rumande kwa sababu alikuwa anamkosoa.
Mama wa Eric alikuwa anaishi kwa madawa ya Bei ghali. Yule Bibi alimuomba DIKTETA amuachie mwanaye kwa vile hawezi kuishi bila dawa.
Magufuli hakusikia, na hakumruhusu Eric hata kwenda chini ya ulinzi kumuaga mama yake ambaye alifariki kwa kukosa dawa. Ni nani kwa Watanzania tuliobaki anaweza kutenda kama alivyotenda Magufuli kwa Eric Kabendera na Mama yake? Hakuna, ni hilo dubwasha tu SHETANI la Chato
Hakuna watu wapuuzi kama watanganyika,nyie enzi za Kikwete mlikuwa mnapiga kelele kuwa nchi imevamiwa na mafisadi, mpaka Wapinzani wakafanya maandamano, mpaka Bunge likataka kulipuka Lissu na Zitto wakitoa tuuma za wizi wa IPTL na akina AgeCCo na Richmond,tume kibao ziliundwa watu wakawajibika,hata enzi za Kikwete kuna watu walisamehewa, lakini kwa shariti la kurudisha ela walizozichukua, mpaka Kikwete akaitwa mwizi na dhaifu.Alivyo ingia Magufuli kawashulikia wale waliokuwa wanatumiwa kwa kuwakamata,leo hii eti Magufuli anaonekana mbaya kisa alishughulikia waliokuwa wakipigiwa kelele kuwa wameshindikana,kweli nchi kupata maendeleo ya kweli lazima kizazi hiki cha wanafiki kitoweke,kije kizazi kingine.
Miaka ya Magufuli ime tu expose Watanzania kama watu wa ovyo sana tunaoweza kuendeshwa kimabavu na mtu mmoja tu.
HujitambuiNdio vzr uchunguzi ufanyike kumsafisha Hayati na genge lake la Bhagosha
HujitambuiNdio vzr uchunguzi ufanyike kumsafisha Hayati na genge lake la Bhagosha
Wewe utapigwa mawe na wananchi . Ongea huu upuuzi mbele ya watu.Kama unampenda Sana magufuli nenda ukazikwe naye! Khaaa hamjui kusoma alama za nyakati ? "Mene mene tekel na peresi" magufuli was evil alikuwa na roho ya ushetani. I hated mwendazake [emoji817] alikuwa ni shetani yule.
Wananchi hao wa wapi wampge mawe!Wewe utapigwa mawe na wananchi . Ongea huu upuuzi mbele ya watu.
Vipi huko Ubelgiji mmeamka salama.Wananchi hao wa wapi wampge mawe!
Ana hasira alizibiwa mianya ya upigajiZitto Kabwe anashindana na marehemu
Hii siyo dalili nzuri Kwenye Ulimwengu wa roho kuna mmoja atamvuta mwenzake
Kuchambia nini?Gazeti la raia mwema linajulikana ni la kuchambia