Duka la "Plea Bargain" lafungwa, Waliochukuliwa fedha zao waitwa kuhojiwa, uchunguzi waanza

Duka la "Plea Bargain" lafungwa, Waliochukuliwa fedha zao waitwa kuhojiwa, uchunguzi waanza

Eric Kabendera ni investigative Journalist mwenye kiwango cha juu katika kufuatilia na kuchambua.

Kama angekuwa na kosa la kuchafua nchi, basi tungeona Serikali ikimfungulia mashtaka yanayoendana na Sheria ya Huduma ya Habari au Sheria Cyber crime ya Mwaka 2015.

Kitendo cha kumfungulia mashtaka kwa Sheria ya Kuhujumu Uchumi na kutakatisha fedha ni dhahiri kuwa Eric Kabendera alikuwa ameandika habari za ukweli ambazo Serikali haina majibu. Eric Kabendera ambaye Dikteta alimuweka rumande kwa sababu alikuwa anamkosoa.

Mama wa Eric alikuwa anaishi kwa madawa ya Bei ghali. Yule Bibi alimuomba DIKTETA amuachie mwanaye kwa vile hawezi kuishi bila dawa.

Magufuli hakusikia, na hakumruhusu Eric hata kwenda chini ya ulinzi kumuaga mama yake ambaye alifariki kwa kukosa dawa. Ni nani kwa Watanzania tuliobaki anaweza kutenda kama alivyotenda Magufuli kwa Eric Kabendera na Mama yake? Hakuna, ni hilo dubwasha tu SHETANI la Chato

Halafu wana CCM walivyo wanafiki wakawa wanalia alipofariki.
 
Hakuna watu wapuuzi kama watanganyika,nyie enzi za Kikwete mlikuwa mnapiga kelele kuwa nchi imevamiwa na mafisadi, mpaka Wapinzani wakafanya maandamano, mpaka Bunge likataka kulipuka Lissu na Zitto wakitoa tuuma za wizi wa IPTL na akina AgeCCo na Richmond,tume kibao ziliundwa watu wakawajibika,hata enzi za Kikwete kuna watu walisamehewa, lakini kwa shariti la kurudisha ela walizozichukua, mpaka Kikwete akaitwa mwizi na dhaifu.Alivyo ingia Magufuli kawashulikia wale waliokuwa wanatumiwa kwa kuwakamata,leo hii eti Magufuli anaonekana mbaya kisa alishughulikia waliokuwa wakipigiwa kelele kuwa wameshindikana,kweli nchi kupata maendeleo ya kweli lazima kizazi hiki cha wanafiki kitoweke,kije kizazi kingine.

Magufuli alikuwa ana roho mbaya , mengine ni mbwembwe za kumtetea
 
Miaka ya Magufuli ime tu expose Watanzania kama watu wa ovyo sana tunaoweza kuendeshwa kimabavu na mtu mmoja tu.

Kweli kabisa. Tulionesha udhaifu mkubwa. Yani watu wanatekwa na kupotea kusikojulikana lakini watu wanajifanya kutokujali. Ilikiwa wakati mgumu Sana.
 
Wewe unajulikana ni mpambe na kibadaka wa wahuni wa CCM mmezoea upigaji na unanufaika na upigaji
Screenshot_20221013-071530.jpg
 
Kama unampenda Sana magufuli nenda ukazikwe naye! Khaaa hamjui kusoma alama za nyakati ? "Mene mene tekel na peresi" magufuli was evil alikuwa na roho ya ushetani. I hated mwendazake [emoji817] alikuwa ni shetani yule.
 
Kama unampenda Sana magufuli nenda ukazikwe naye! Khaaa hamjui kusoma alama za nyakati ? "Mene mene tekel na peresi" magufuli was evil alikuwa na roho ya ushetani. I hated mwendazake [emoji817] alikuwa ni shetani yule.
Wewe utapigwa mawe na wananchi . Ongea huu upuuzi mbele ya watu.
 
Back
Top Bottom