Dunia hii vilaza ndo wanafanikiwa, wenye akili wanaishia kufa kwa stress

Mbaya zaidi serikali ikiundwa na vilaza watupu kupata maendeleo ya haraka ni ndoto. Kwa taarifa tu pcm na pcb wengi hudondoka form four na form six kisha huachwa watokomee kusikojulikana wajipambanie wenyewe. Usishangae kuwakuta kwenye shughuli za ajabu ajabu zisizo na element za maarifa waliyo nayo kupambana kupata ugali wa siku, inasikitisha sana
 
Bongo huku unakuta kilaza mmoja bogus tu anapachikwa kwenye wizara au kitengo nyeti ,tena anapewa mandate ya kufanya maamuzi .
Pumbavu sana hii nchi
 
Hao wanaojiona wamesoma au wana akili ndiyo hao wakipewa majukumu ndiyo hawawezi kabisa na elimu anzia majumbani kwao hata familia zao zinawashinda, sasa wakipewa huko ndiyo wanaharibi kabisa.
 
Very poor argument, hoja ya mleta mada kiuhalisia inaonyesha jinsi ambavyo kama nchi tusitarajie makubwa kwenye ulimwengu wa sayansi na technology. Mkazo kwenye sayansi na kuwajali waliosoma sayansi, (not necessarily kwenye nafasi kubwa kwenye uongozi wa nchi) kwa kuwalipa vizuri ungekuta tuna innovators kibao, jambo ambalo lingesaidia kuleta ajira na mapato kwa jamii na nchi. Sasa kwa kuwa vipanga wa sayansi wamedhauliwa na kupuuzwa, matokeo yake ndiyo haya kuagiza mpaka boxer na soksi China, majority vijana huko mijini ni machinga, uzalishaji vijijini bado ni duni kabisa. Nilipita huko Katavi, Kigoma na kwingineko bado watu wanalima kwa mkono au maksai, yaani ni aibu tupu..
 
Yaani wewe tayari ni kilaza, Creaming si understanding. Nyie ndio mlikariri, combination za masomo siyo determination za akili. Kila mtu ana akili, ila si kila mwenye akili ana ufahamu. Wengine ni vilaza TU walio kariri darasani. Itoshe kusema uwe na adabu na professional za watu. Ualimu watu wanasomea miaka wewe unasema everyone can teach. Hii ni dhani ya ukilaza.




Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Hata kingereza hujui. Proffesional za watu ndo Nini. Ni proffesions za watu siyo proffesional za watu. Sasa wewe so kilaza tayari
 
Hata kingereza hujui. Proffesional za watu ndo Nini. Ni proffesions za watu siyo proffesional za watu. Sasa wewe so kilaza tayari
Sasa unasema una Akili za science za PCM then unasubiri Ajira za siasa ?

Mtu smarter huwa anajitengenezea njia yake ya kupita na sio kusubiri kutengenezewa njia .
 
Sasa wewe hizo akili za kulalili za PCM na PCB umezitumiaje?

Kama umekua engineer, umeinjinia kitu gani?

Kama umekua Daktari, umevumbua kitu gani ?

Kama umekua mkemia , umezalisha kitu gani?

Acha kulialia, tumia ulichonacho uisadie dunia kuwa mahala salama pa kuishi.

Hao unaowataja waliosoma social science studies ndo hao wanaozitumia kwenye domain ya uongozi. Sasa wewe unataka usomee elimu ya mimea afu unataka uje uongoze binadamu?
 
Anzisha independent thread
 
Hii dhana masomo ya sayansi ni magumu na ndiyo vipanga ni ya kijinga!! Wa sayansi hawezi ya sanaa na wasanaa hawezi ya sayansi. Ni maumbile ya ubongo tu.Nchi gani iliyoendelea duniani viongozi wamesoma sayansi, wanasayansi wanamiliki viwanda hawasibiri uteuzi wa kuwa wanasiasa, marekani kina Clinton, Obama nk ni wanasheria Uingereza kina Tony Blair, wanasayansi ni wazalishaji siyo viongozi hata siku moja.
 
Bora rfk ako kapata four Nzuri jmaa angu yey alipata hyo ya four ya 33 kbsa d Moja tu Sasa Yuko jeshi mtwara Huko Ana kula maisha na Kuna wakt kaenda sudan
Mkuu Sasa kwenda Sudan ndo unaona anakula maisha ?
 
Umemaliza yote ila Kwa kua umeshauribyanayoonekana magumu kufanyika watayapuuza.
 
Not everybody can teach. Umbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…