Dunia ijiandae kushuhudia kile kitakachompata Israel -Tehran

watu wanaona ni jambo rahisi kuandika ww3 ila ikija hyo itakua vita mbaya sana basi tu kwakua hatuzijui vita tunaandika tu.....
Hata wasipoandika haiwezi kuzuia vita kutokea. Unadhani "soga" za hapa jukwaani zina uzito wowote kwa yanayotokea huko saa hii?
Kwani matukio yaliyotrigger WW zilizopita yalikuwaje?
Pia, unadhani WW ikianza utatangaziwa katika vyombo vya habari kuwa imeshaanza?
 
Kwani mara ya mwisho alivyotangaza alifanya au hakufanya?
Kila uongozi una misingi yake, unataka Iran ashambulie tu bila kuwapa raia wa kawaida wa Israel nafasi ya kujiokoa?
 
Mnadanganyana huyo Iran ana silaha zipi za maangamizi ambazo Israel hana? Iran akiingia kichwa kichwa anakuwa kichwa, hana uwezo wa kuzuia air force ya Israel atatandikwa hadi achoke, na utawala wake utaanguka. Sikio la kufa halisikii dawa, mark my word. Wasifikiri Israel amekaa kihasara eti anasubiri apigwe na makombora ya Iran, kutangaza hali ya hatari ni kawaida, nchi ikishakutishia lazima uchukue tahadhari kali, hapo mossadi watakuwa kazini kitambo.
 
Mimi naona ni kinyume chake! Dunia itashangazwa na kile ambacho Israel itaifanya Iran.
Nadhani Ile plan ya Israel kuharibu vinu vya nuclear vya Iran itakuwa imekamilika.
Lazima ujue hiyo ndiyo plan ya muda mrefu ya Israel,na hapo Iran ilikuwa inatafutwa iingizwe kwenye 18 za Israel.
 
Iran wameshajiuliza matokeo ya watakayoyafanya?Watabaki salama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…