Dola ni lazima ipigiwe kura na raia wengi na waipitishe, acha kufananisha Dola halali na serikali za wakoloni, na zungumzia kupingana na Dola halali , lazima rungu limshukie
Kumbe!!Unaweza kuwa chini ya mkoloni ambaye ni raia wa nchi yako
Hivi hamjaelewa tu where is the diverting point started? Mama alianza vizuri na infact hakutaka kabisa kuishi kwenye siasa za mivurugano na mitifuano. Anaamini kwenye kuliendea jambo kwa njia ya utaratibu na mazungumzo. Bado sijajua why intelligensia ya Chadema ni mbovu kiasi cha kushindwa kwenda naye na kupenyeza agenda zao na kuziweka sawa.Alikuwa na nafasi moja nzuri sana ya kujijenga kisiasa na kupata heshima kubwa ya kukumbukwa kama kiongozi aliyeibadili Tanzania kutoka kwenye janga.
Miaka minne hii, angejikita katika kufanya mabadiliko ya kisiasa nchini, akasimamia haki, utawala wa sheria.
Angewanyima wapinzani ajenda ya kumsumbua, na 2025 asingepata upinzani wa kumtisha.
Haya yote kayatupilia mbali kwa muda mfupi sana. Lililobaki kwake sasa ni kuzidi kukandamiza zaidi ili yeye na chama chake waendelee kuwepo madarakani.
Hii ni kazi ngumu. Hakuna ajuae Tanzania itaendelea kuvumilia kuwa chini ya udikteta.
Hiyo ni cnn sio serikali ya marekani. Ni kama misago tv tu siku hiziWana best intelligence inayowapa up to date information ya kinachojiri.
Samia anaanza kuonekana kituko mbele ya Dunia iliyostaarabika, Sijui nani alimdanganya avunje kiapo chake cha kutenda haki bila kuonea!
Sasa hivi tumeanza kumuelewa. Mwanzoni hatukumuelewa alikua anacheza na nyani wakati blueprint mathubuti ya jinsi ya kuongoza nchi kaachiwa na jemedari jpm. Ssa anaitumia blueprintShe is Magufuli wannabe!
Ndiyo maana mtaani raia hawamuelewi kabisa na hizi series za makosa yake anayoyafanya.
she will never be a JPM, not even a replica.Sasa hivi tumeanza kumuelewa. Mwanzoni hatukumuelewa alikua anacheza na nyani wakati blueprint mathubuti ya jinsi ya kuongoza nchi kaachiwa na jemedari jpm. Ssa anaitumia blueprint
Waendelee kushangaa hivyo hivyo, kila Rais ana mambo yake, huwezi kucheka na Nyani mda wote, utavuna mabua
You are definately right, Atleast for once she's applying the same approach to deal with political hooligans...for that a give her credit!she will never be a JPM, not even a replica.
anatuna-tuna tu.
Hawa cnn si ndio wana reporters wao hawana hata maadili, reporter yuko live zoom meeting alafu anapiga punyeto laive...ningenge la kutafuta habari zozote ili mradi waongee tuKwanza Wana uthibitisho gani kwa wansyoyasema
Wahuni tuuHawa cnn si ndio wana reporters bao hawana hata maadili, reporter yuko live zoom meeting alafu anapiga punyeto laive
Cnn endeleeni kupiga punyeto. Fake news media...
CNN ni fake news Rais Samia ana haki ya kulinda umoja wa Tanzania kutoka kwa hao maamluki wa kisiasa akina Mbowe and his company. Leo watanzania wameamini Hayati Magufuli alikuwa sahihi kabisa jinsi alivyoshughulikia hawa wanasiasa wa upinzani. Mbowe, Tundu Lissu na Maria Sarungi wasitegemee kuyumbisha nchi hii chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. CCM ni ile ile
Mama ameleta aibu kubwa nchini.
Hizi ni taarifa kama taarifa zingine hazitawasaidia Chadema popote
Kenge wakubwa hao ,wametuletea pesa au wamempa huyo Mbowe alete pesa za maendeleo?Nimegundua hawa jamaa wanaelewa kila kitu kinachoendelea nchi hii.
Ukiacha hili la Mbowe,huyo Prof. anajua mpaka habari ya hizi tozo za laini za simu na wanasema kabisa ni za kututia watanzania umasikini.
Tuko uchi!
Labda useme watanzania wendawazimu ndio wanaoamini kuwa marehemu alikuwa sahihi alivyokuwa akiwwfanyia uharamia wapinzani.CNN ni fake news Rais Samia ana haki ya kulinda umoja wa Tanzania kutoka kwa hao maamluki wa kisiasa akina Mbowe and his company. Leo watanzania wameamini Hayati Magufuli alikuwa sahihi kabisa jinsi alivyoshughulikia hawa wanasiasa wa upinzani. Mbowe, Tundu Lissu na Maria Sarungi wasitegemee kuyumbisha nchi hii chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. CCM ni ile ile
Hao ni wapuuzi tuu ,namuomba mh.Rais wala asihangaike na kujibizana na hao wajinga awapuuze na achape Kazi tuuCNN ni fake news Rais Samia ana haki ya kulinda umoja wa Tanzania kutoka kwa hao maamluki wa kisiasa akina Mbowe and his company. Leo watanzania wameamini Hayati Magufuli alikuwa sahihi kabisa jinsi alivyoshughulikia hawa wanasiasa wa upinzani. Mbowe, Tundu Lissu na Maria Sarungi wasitegemee kuyumbisha nchi hii chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. CCM ni ile ile