Dunia yashangazwa na kubadilika ghafla kwa Rais Samia kutoka kuwa mtenda haki na kuanza uonevu

Dunia yashangazwa na kubadilika ghafla kwa Rais Samia kutoka kuwa mtenda haki na kuanza uonevu

Alikuwa na nafasi moja nzuri sana ya kujijenga kisiasa na kupata heshima kubwa ya kukumbukwa kama kiongozi aliyeibadili Tanzania kutoka kwenye janga.

Miaka minne hii, angejikita katika kufanya mabadiliko ya kisiasa nchini, akasimamia haki, utawala wa sheria.
Angewanyima wapinzani ajenda ya kumsumbua, na 2025 asingepata upinzani wa kumtisha.

Haya yote kayatupilia mbali kwa muda mfupi sana. Lililobaki kwake sasa ni kuzidi kukandamiza zaidi ili yeye na chama chake waendelee kuwepo madarakani.
Hii ni kazi ngumu. Hakuna ajuae Tanzania itaendelea kuvumilia kuwa chini ya udikteta.
Hivi hamjaelewa tu where is the diverting point started? Mama alianza vizuri na infact hakutaka kabisa kuishi kwenye siasa za mivurugano na mitifuano. Anaamini kwenye kuliendea jambo kwa njia ya utaratibu na mazungumzo. Bado sijajua why intelligensia ya Chadema ni mbovu kiasi cha kushindwa kwenda naye na kupenyeza agenda zao na kuziweka sawa.

Sadly wakachagua njia ya vurugu. Ukizingatia tabia za wanawake kutopenda kuonekana wanyonge na nguvu kubwa iliyokuwa imezoea siasa za mipasho, umekuwa rahisi kwao kumshawishi mama kwamba "Hawa watu hawabebeki".

In short kinachoendelea ni kile kiitwacho LISILO BUDI HUTENDWA.

Katika hili sioni pa kumlaumu Samia zaidi ya bad approach ya Mbowe na Chama chake. Honestly speaking, Chadema imekuwa na utaratibu kutuchanganya tunaoiamini.
 
She is Magufuli wannabe!

Ndiyo maana mtaani raia hawamuelewi kabisa na hizi series za makosa yake anayoyafanya.
Sasa hivi tumeanza kumuelewa. Mwanzoni hatukumuelewa alikua anacheza na nyani wakati blueprint mathubuti ya jinsi ya kuongoza nchi kaachiwa na jemedari jpm. Ssa anaitumia blueprint
 
Sasa hivi tumeanza kumuelewa. Mwanzoni hatukumuelewa alikua anacheza na nyani wakati blueprint mathubuti ya jinsi ya kuongoza nchi kaachiwa na jemedari jpm. Ssa anaitumia blueprint
she will never be a JPM, not even a replica.

anatuna-tuna tu.
 
CNN ni fake news Rais Samia ana haki ya kulinda umoja wa Tanzania kutoka kwa hao maamluki wa kisiasa akina Mbowe and his company. Leo watanzania wameamini Hayati Magufuli alikuwa sahihi kabisa jinsi alivyoshughulikia hawa wanasiasa wa upinzani. Mbowe, Tundu Lissu na Maria Sarungi wasitegemee kuyumbisha nchi hii chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. CCM ni ile ile
 
Labda useme watanzania wendawazimu ndio wanaoamini kuwa marehemu alikuwa sahihi alivyokuwa akiwwfanyia uharamia wapinzani.
 
CNN ni fake news Rais Samia ana haki ya kulinda umoja wa Tanzania kutoka kwa hao maamluki wa kisiasa akina Mbowe and his company. Leo watanzania wameamini Hayati Magufuli alikuwa sahihi kabisa jinsi alivyoshughulikia hawa wanasiasa wa upinzani. Mbowe, Tundu Lissu na Maria Sarungi wasitegemee kuyumbisha nchi hii chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. CCM ni ile ile
Hao ni wapuuzi tuu ,namuomba mh.Rais wala asihangaike na kujibizana na hao wajinga awapuuze na achape Kazi tuu
 
Back
Top Bottom