Ebu tuwachanganye kidogo wadogo zetu wakina min me na wenzake

Kabisa now wakina p na jay wame haribu mfumo
 
Sana kiongozi kusema kweli sikukuu imepungua ladha
Kabisa

Siku kukuuu siku hizi watoto wanacheza ps wanaogopa kutekwa njee.

Ila pia miaka hio ya tisini mwishonu na 2000 mwanzoni kuliibuka wachuna ngozi
, duh kuna machali waliuliwa aiseee haswa madogooo
 
Ndio mkuuu

Mzee wangu alikuw na kauwezo kidgo anannipa mpunga

Mwalimu aliniona na 200 siku moja akasema nimkopesha aissee ikaxhukua karibua miezi sita

🀣🀣🀣
Kumbe ulikuwa NMB unatoa mikopo mpaka kwa walimu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kumbe ulikuwa NMB unatoa mikopo mpaka kwa walimu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Acha mkuu

Mzee alininuliaga jezi ya chicago bulls za jordan

Mtaani nikaabza kuitwa CHICAGO


🀣🀣

Alinunuliaga viatu flani hivi sneakers za kuwaka waka, mama mmoja jirani kwa kuumia akavitupa juu ya bat

🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…