Elon Musk azikosoa vikali ndege vita za F-35 na mradi mzima wa utengenezaji wa ndege hizo

Well said
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Una project gani ya tech ambayo umeshawahi kui innovate hapa nchini !? Ambayo Ina kubalika kiwilaya tu Achana na ngazi ya kitaifa, kama Ipo basi utakuwa Una Haki ya kumkosoa guru wa tech Kwa sasa Elon musk lakini kama hauna Hiyo project basi utakuwa unatupigia makelele tu hapa

Kumbuka Elon ni public figure ana ushawishi mkubwa kidunia mpaka anaongea Jambo la kukosoa sekta ya tech katika Serikali ya nchi yake hawezi kuwa amekurupuka , Kama hata Hilo pia unalipinga Anza kujitafakari mkuu inaweza kuwa Umechanganyikiwa ila haujijui
 
Mshauri wa trump akiwa kazini..

Sasa tutazuiaje starlink take afu jamaa ndio anakunywaga chai na trump
 
Just because musk anakosoa it doesnt mean ni mbaya, musk ni mfanya biashara, ana malengo yake. Hajawa ku serve jeshini, kuachilia mbali kuwa rubani tu. So anapokosoa akosoe kwa technical details, including nyie. Si kukosoq kwa blah blah. Hiyo ndege ni few of technical marvels

For the tecord na history, wakati F-16 inaingia ilikosolewa sana, leo ndio back bone ya US airfoece, Yf-17 ambao leo ndio F-18, leo ndio backbone ya US navy , na progam zingine

Zote zilianza na madhaifu baadae zikaboreshwa it normal
 
kapuyanga kivipi,leteni facts jinsi alivyoingia chaka...
 
Yaani mbongo anaita f35 makopo, aisee waafrica alietuloga sijui nani
 
Hakuna kitu kinachokua pafekt kwa mia mia ila F35 ndege ya mchongoma marekani wahangaike sana itawachukua miaka mingi kupata ndege bora kama f22 na hata 16 kwa mbali ila hili kopo la 35 hapana kwa kweli
 
Na Pentagon waliposema zina shida ya engine nao ni wafanyabiashara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…