Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
===Yaani mpaka hapo CCM wana-prove kuwa wao ndio Tume ya Uchaguzi na wanaweza amua chochote kwenye uchaguzi maana wanajibu hoja zisizowahusu wakati wao wenyewe wanashiriki uchaguzi kama vyama vingine.
Huu ni ushahidi tosha kuwa hakuna Tume Huru ya Uchaguzi na kinachoenda kufanyika ni Uchafuzi na sio Uchaguzi.
Ukimsikia mtu yeyote anasema CHADEMA wamesusia Uchaguzi wa mwaka huu 2025, kaa mbali nae na muogope kama ukoma.
Ni wapi CHADEMA wametoa kauli ya kususia uchaguzi? Tusiwawekee CHADEMA maneno ambayo hawajayasema.
Yeye ndio kaandaa huo mkutano wa waandishi wa habari. Toka lini waandishi wa habari wakafanyia mkutano wao Songea? Hayo anayoongea ndio ajenda ya hicho kikao cha hao waandishi wa habari.Kwa hiyo hao wahariri kumbe wameenda kupokea tu maagizo huko Songea kuhusu no reform, no election! Kweli njaa siyo poa hata kidogo.
Ni sahihi.CHADEMA ndiyo kitu gani?Wasuse tu hawajajiandaa na uchaguziKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina haki ya kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuwa suala hilo ni hiyari kwao na hakuna haja ya kuwalazimisha kushiriki.
Amesema hayo wakati akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Wahariri, leo Aprili 4, 2025.
Hawa ni kenge majiYupo sahihi asilimia mia moja naunga mkono na wakileta fujo virungu vihusike kenge hawasikii maumivu mpaka watoke damu puani!
Ngojeni muone hiyo petition ambayo inakaribia saini milioni 20 ndio mtajua sasa Watanzania wako serious.Yupo sahihi asilimia mia moja naunga mkono na wakileta fujo virungu vihusike kenge hawasikii maumivu mpaka watoke damu puani!
CHADEMA hawana hoja ni upumbavu tu.Wanaojaribu kuzuia uchaguzi usifanyike wapigwe tuNingemuona wa maana kama angejibu hoja za Chadema
Petition ya kwenye mitandao.Jitokeze kuzuia uchaguzi uvunjwe puaNgojeni muone hiyo petition ambayo inakaribia saini milioni 20 ndio mtajua sasa Watanzania wako serious.
Lissu hana uwezo wa uongozi. Mzee wa KUROPOKA kwenye ubora wake, hapa CHADEMA watakumbuka Freeman Mbowe. Waliingia choo cha mashoga, hawatoboiNingemuona wa maana kama angejibu hoja za Chadema
Polisi wa CCM hawafiki laki moja sisi wananchi millioni hamsini hawatatuweza.Petition ya kwenye mitandao.Jitokeze kuzuia uchaguzi uvunjwe pua
Upuuzi huo Haidan khenani anataka uchaguzi sugu anataka uchaguzi hizo saini hata umoja wa wapiga ngoma wana saini!Ngojeni muone hiyo petition ambayo inakaribia saini milioni 20 ndio mtajua sasa Watanzania wako serious.
Ningemuona wa maana kama angejibu hoja za Chadema
Lini uliwahi toka kuandamana?Polisi wa CCM hawafiki laki moja sisi wananchi millioni hamsini hawatatuweza.
NO REFORMS NO ELECTION
Kwa tume hii ya sasa ambayo ni tume FEKI ya UCHAFUZI hakuna HAKI itakayotendeka.Upuuzi huo Haidan khenani anataka uchaguzi sugu anataka uchaguzi hizo saini hata umoja wa wapiga ngoma wana saini!
Ukipata saini 20 Milioni za hiyo petition then what next?Ngojeni muone hiyo petition ambayo inakaribia saini milioni 20 ndio mtajua sasa Watanzania wako serious.
Huna familia ataukifa hakuna hasara.Polisi wa CCM hawafiki laki moja sisi wananchi millioni hamsini hawatatuweza.
NO REFORMS NO ELECTION