monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,888
- 13,645
No reform no electionPetition ya kwenye mitandao.Jitokeze kuzuia uchaguzi uvunjwe pua
No reform no electionPetition ya kwenye mitandao.Jitokeze kuzuia uchaguzi uvunjwe pua
Sasa hivi LISSU akisema HAKI imeshindikana kwa njia za AMANI kwahiyo tuzidai kwa NGUVU namfuata Msituni,civil war mara nyingine huwa inalazimishwa na Watawala.Lini uliwahi toka kuandamana?
Ni kweli vyama vipo vingi tu ... CUF , NCCR TLP na wengineo watashiriki tu wacha wao wasuseKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina haki ya kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuwa suala hilo ni hiyari kwao na hakuna haja ya kuwalazimisha kushiriki.
Amesema hayo wakati akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Wahariri, leo Aprili 4, 2025.
Watu kama nyie mlitakiwa mnyongwe hadharani kwa muktabadhi mzima wa taifa.Huna familia ataukifa hakuna hasara.
Vyama vingine havishiriki?Baadaye Watawapataje Sasa COVID 19
Kukidhi Matakwa Ama Wataokoteza Wapinzani Wowote
Huyu mheshimiwa tayari tunamhesabu ni mnufaika wa hujuma yoyote itakayofanywa kwenye uchaguzi,maana yeye tayari ni mgombea mwenza upande wao,Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina haki ya kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuwa suala hilo ni hiyari kwao na hakuna haja ya kuwalazimisha kushiriki.
Amesema hayo wakati akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Wahariri, leo Aprili 4, 2025.
Ili mpate ushindi bila kuiba kwani sababu ya wizi ni hofu yaoYupo sahihi asilimia mia moja naunga mkono na wakileta fujo virungu vihusike kenge hawasikii maumivu mpaka watoke damu puani!
Msitu gani sept 23,2024 ulijifunika shuka 2020 alikimbilia ubalozini peke yake kenge zote za mtandaoni jumlisha kimada wake wa nairobi mariah sarungi hazikuonekana hata unyayo...Sasa hivi LISSU akisema HAKI imeshindikana kwa njia za AMANI kwahiyo tuzidai kwa NGUVU namfuata Msituni,civil war mara nyingine huwa inalazimishwa na Watawala.
Kuna njia mbili, moja ni iliyomlazimu Ruto awe mpole, na ya pili ni njia iliyolazimu Tshisekedi awe mpole.Msitu gani sept 23,2024 ulijifunika shuka 2020 alikimbilia ubalozini peke yake kenge zote za mtandaoni jumlisha kimada wake wa nairobi mariah sarungi hazikuonekana hata unyayo...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina haki ya kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuwa suala hilo ni hiyari kwao na hakuna haja ya kuwalazimisha kushiriki.
Amesema hayo wakati akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Wahariri, leo Aprili 4, 2025.
Zote kenge wa mtandaoni hamziwezi waoga wakubwa..kima ya nairobi inawadanganya..Kuna njia mbili, moja ni iliyomlazimu Ruto awe mpole, na ya pili ni njia iliyolazimu Tshisekedi awe mpole.
Hizo njia mbili zinakuja.
M23 pia walitwa Kenge Mende nk. mwishoni ilikuwaje?!Zote kenge wa mtandaoni hamziwezi waoga wakubwa..kima ya nairobi inawadanganya..
Hakuna anaewalazimisha chadema kushiriki uchaguzi, ila lissu anawalazimisha wasishiriki uchaguzi. Mimi sitashiriki uchaguzi sababu tunaweza kuwa na rais bila uchaguzi na imewezekana.Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina haki ya kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuwa suala hilo ni hiyari kwao na hakuna haja ya kuwalazimisha kushiriki.
Amesema hayo wakati akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Wahariri, leo Aprili 4, 2025.
Waliitwa huko rwanda na wale ni wanajeshi kamili wezi.. kenge za mtandaoni bongo hawaonekani kwenye kura wala maandamano waoga kweli kweli..M23 pia walitwa Kenge Mende nk. mwishoni ilikuwaje?!
Uje ww na mume wako mkae mbele kutuzuia, ndio mtajua hamjui.Petition ya kwenye mitandao.Jitokeze kuzuia uchaguzi uvunjwe pua
Wewe tuliza ashki utajionea mwenyewe bila hivyo Nchi hii inaenda kuuzwa Omani.Waliitwa huko rwanda na wale ni wanajeshi kamili wezi.. kenge za mtandaoni bongo hawaonekani kwenye kura wala maandamano waoga kweli kweli..
Maua yako Mkuu💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐Uje ww na mume wako mkae mbele kutuzuia, ndio mtajua hamjui.