ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina haki ya kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuwa suala hilo ni hiyari kwao na hakuna haja ya kuwalazimisha kushiriki.
Amesema hayo wakati akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Wahariri, leo Aprili 4, 2025.
View: https://www.instagram.com/p/DIBWFLTidQE/?igsh=aXc0NXhucjdkZzg0